Unaweza kukuta hata wewe ni msomi. Kama umefika hata form four na kupata walau D mbili basi inashangaza.

Ajali imesababishwa na hali mbaya ya hewa angani ambako eneo hilo lina hali mbaya ya hewa isiyotabirika sasa Netanyahu wako anahusikaje?

Kwamba Netanyahu ndiyo amepeleka hali mbaya ya hewa Iran?

Hii nchi no wonder haiendelei kwasababu ya kuwa na watu wengi waliokatwa vichwa wanatembea na viwiliwili pekee.
Madrasa zimekuwa ni production za ujinga.
 
Ninachokumbuka mimi Netanyahu ameapa wote waliohusika na tukio la october 7 ni walking dead.
Watu tupo tunafuatilia live news kutoka vyombo mbalimbali vya kimataifa wanaonesha eneo jirani na ajali inaposemekana kutokea hali ni mbaya mno huwezi kuona hata mita kadhaa mbele.

Sasa hapo utamhusisha mtu kwamba amesababisha ajali? Mkuu jaribu japo mara moja moja kuwa independent thinking person inasaidia ku criticize mambo na kuepuka kuendeshwa na mihemko ama mahaba niuwe.
 
Projection ya weather inajurika, hata sisi kina mbonde huku matakoni mwa dunia tuliandaliwa na kimbunga Hidaya, iweje Taifa linalojinasibu ni super power wasijuwe swala la weather forecast?
 
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.

Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.

Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah Al-Hashem na waziri wa mambo ya nje ya Iran Hossein Amir-Abdollahian.
Pole Raisi President.
 
Projection ya weather inajurika, hata sisi kina mbonde huku matakoni mwa dunia tuliandaliwa na kimbunga Hidaya, iweje Taifa linalojinasibu ni super power wasijuwe swala la weather forecast?
Hivi ni kweli umeshindwa kutofautisha namna weather condition inaweza kutofautiana?

Ipo ambayo inatabirika na isiyotabirika kutokana na hali halisi ya wakati huo.

Ulaya watu wanapewa updates za weather kila baada ya saa moja lakini ghafla hali inaweza kubadilika na ikawa kinyume kabisa na iliyotabiriwa.

Weather can change anytime tofauti kabisa na utabiri ulivyosema.

Haya ni mambo wanasoma Geography primary na secondary schools.
 
Helicopter sio usafiri wa kuuamini sana maana unauwa vibaya
Inaweza kuwa ajali na inaweza kuwa hujumu ila nafikiri ni ajali tu maana tumeshuhudia mpaka matajiri wakubwa zikiwagaragaza
Na nyie viongozi wenu wajitafakari maana ikianguka mimi nitajua ni ajali tu ingawa wapo wapiga ramli
 
Projection ya weather inajurika, hata sisi kina mbonde huku matakoni mwa dunia tuliandaliwa na kimbunga Hidaya, iweje Taifa linalojinasibu ni super power wasijuwe swala la weather forecast?
Ni sahihi hata mimi limenifikirisha sana. Inakuwaje kiongozi mkubwa wa nchi anaenda ziara kwenye eneo lenye Ukungu na baridi kali bila kuwa na uhakika wa usalama wake?

Nimewaza labda jamaa hana nguvu kimamlaka. Naomba nijifunze bro, yule Ayatoula ni nani? Yule anayepigaga mikwara Israel.
 
Back
Top Bottom