Search results

  1. byakunu

    Daraja la Nyerere foleni kuvuka na magari imekua kubwa NSSF mnatengeneza foleni

    Hili daraja sasa limeshaanza kuwa kero, Kigamboni inakua watu wanaongezeka, magari yanaongezeka lakini daraja gate out na gate in ni zile zile, na zinazidiwa sasa. Imefika wakati foleni inajaa upande wa magari yanayotoka mjini kuingia kigamboni foleni inaanzia mpaka kwenye daraja lenyewe...
  2. byakunu

    Acheni kuuza magari kwa kuthaminisha thamani ya gari na NAMBA

    Hii trend ya kuuza gari mtu anaangalia usajili wa namba namba ya gari ni ya lini mfano EEM, DYL, DME ndo atamke bei ni ushamba sana unaendekezwa na washamba, Kwamba gari nzuri ni yenye namba latest? Unakuta mtu anauliza kabsa namba gani? Tanzania tuna mambo ya kishamba sana. Kuna gari zina hali...
  3. byakunu

    Memories Kiss Fm Weekend Top 30 na Top 40

    If you grew up listening to Hollywood Hamilton, Casey Kasem na Ryan Seacrest via KISS FM....na ulikua hukosi America Top 30, Top 40 na Billboard top 100...gather here tafadhali....[emoji16]
  4. byakunu

    Dar: Wahamiaji haramu wamejaa sana kuna shida gani na vyombo vyetu?

    Sasa hivi kila ukizunguka hata kwenye bar za tabata kuna wahindi wengi wapakistan, wanaijeria kibao ukanda wa mikocheni, kigamboni wamejaa wamalawi, na wahindi wamejaazana ukienda maeneo kama sun n sand wengine hata kiswahili cha kuibia hawajui means hawajazaliwa Tanzania, Warundi wamejaa wa...
  5. byakunu

    Walioitwa kwenye usaili TRA idadi yao ni kama Nchi zima

    Watu wameitwa wengi mpaka inatia uvivu kwenda kuwenye interview yenyewe mfano tax management officer II wameitwa wagu elfu kumi na mbili mia mbili thelathini na tatu 12,233 hiyo ni post moja bado kuna post zingine. Aloo wenye mabasi waatapata maokoto sana wiki ijayo
  6. byakunu

    Unaikumbuka blogspot gani enzi hizo?

    Miaka ya 2005 kuja 2010 enzi hizo Jamiiforum siyo maarufu, kulikuwana na blogspots nyingi sana zilizokua hot. Mimi nazikumbuka hizi. 1. Mbeya yetu blog, Morogoro yetu, Iringa yetu, habari za maendeleo ya mikoa 2. Dinahicious blog mambo ya malavidavi na mahaba ili kua chimbo balaa sana 3...
  7. byakunu

    Nissan Dualis: Dxf Nyingine Imewaka Moto

    Ni katika muendelezo ule ule wa Dualis a.k.a sigala na vayolensi za moto, nakuletea nyingine hii ni DXF imelipuka huko iliko lipukia. Ifike mahali hizi gari na kuwaka moto zimalize tofauti zao. Ni dualis ya 6 inawaka moto katika nilizowahi kusikia. Nadhani hizi gari zina shida katika mfumo wake...
  8. byakunu

    Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?

    Maeneo ya mbezi beach tangi bovu, Nissan Dualis imekutwa inawaka moto yan imelipuka. Mimi binafsi hii ni dualis ya 4 kupata taarifa imewaka moto. Hizi gari zina shida gani? Halafu hizi ndo sababu nyingine zinazochangia hata bei yake kushuka.
  9. byakunu

    Wenye "high-mileage cars" tupeane uzoefu

    Nina gari Rav4 kili time ya mwaka 2000 plate namba ABB mpaka leo natembelea, imeshafikisha kilometa 223,320Km m. Hakuna fault yoyote nnayopata, dashboard haiwaki taa zingine zaid ya mafuta na mkanda. Matatizo mengine yaliyopo ni madogo madogo tu yanarekebishika TOYOTA's don't die. Wenye gari...
  10. byakunu

    Wanaijeria wamepigwa marufuku kuingia Dubai

    Dubai authorities have announced total rejection of visa applications from Nigerians It is not any politicians that caused it, it was Nigerians themselves. How will u go to another country and be causing riots and forming cult group, does it make sense.
  11. byakunu

    Walioshinda Green Card waje watupe msaada imewasaidia nini au wanatushauri nini? Hapa tunahitaji undani wake

    Nataka kujua walioshinda greencard miaka 10 nyuma wamefika hatua gan kimaisha? Living in USA na living in Bongo wapi kuna unaafuu wa maisha na amani ya moyo? Nawaza kuacha kila kitu nnachokifanya bongo na kwenda kuishi marekani ambako sijui nitaenda kufanya nini? Kila nchi inakimbilia Marekani...
  12. byakunu

    Wavuvi Kempu Coco Beach lile ni chujio la kiuchumi sio kila mchovu ataingia pale

    Kama hujawahi ingia hili chimbo naomba uje ununue hata soda kwa elfu 4 ujifunze maisha watu wanaishije watu, wana spendije. Hapa Heineken inauzwa 8500, Serengeti lite 7000. Heineken bucket inauzwa 46,000. Sasa we jibebe unakotoka uje na sh 20,000 uendelee kuleta fujo kama hauta tupwa baharini...
  13. byakunu

    Wachungaji wengi makanisa ya kilokole ni kero, mmezidi kupiga makelele watu hatupumziki majumbani kwetu

    Jaamani hili suala nani ana regulate? Imekua kero kupita kiasi, makanisa mengi ya kilokole yanaleta kero za makelele, noise polution kwa watu wasio na interest. Ina maana wamehalalishwa ku shout ovyo makelele kutwa nzima na usiku mzima? Kama leo mkesha wa krismas kuna mchungaji anaitwa Katunzi...
  14. byakunu

    Dar: Kuna Tatizo la watu Homa na Mafua, Wizara ya Afya ipo kimyaa..

    Takribani kwa muda wa wiki moja tangu tarehe 10 Desemba 2021, kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wakaazi wa Dar es Salaam, wamekumbwa na hali ya homa sambamba na kupata mafua na kikohozi, kila mtu analalamika kwa namna yake, Mimi juzi nimekumbwa na hii homa nikahisi nina malaria ila ni...
  15. byakunu

    Kuwa na wapenzi wengi inakulazimu kutokana na Mazingira

    Nilikaa Juliana Pub, kadri muda ulivokuwa unaenda aisee kitu nilicho kiona ni ongezeko kubwa sana la watu ilikuwa wanaoongezeka zaid ni wanawake yan walikua wengi kuliko wanaume, nikatoka nikaingia Tips the same wanawake wamefurika kuliko wanaume. Nikabadili chimbo nikaingia Maison na...
  16. byakunu

    Changamoto ya michango ya harusi

    Suala la michango ya harusi wenzangu limekua changamoto sana katika jamii na kwa baadhi ya wenzangu sijajua na nyie kwenu wana jamvi tusaidiane mawazo. Wakati unaoa wewe unaomba michango na una post kwenye magroup ya classmates, work mates na majirani kuna watu watakuchangia na wengine hawata...
  17. byakunu

    Namba D

    Huyu jamaa angekua na subira si angepata namba T 101 DAA?[emoji23][emoji23][emoji23]
  18. byakunu

    Kilometa za Magari yanayouzwa bongo zina uhalali?

    Wanajamvi habari zenu... Nina jambo linanipa ukakasi kidogo, kuhusu haya magari yanayo uzwa na wabongo wenzetu kwenye page mbali mbali kama insta na kwingineko, ukakasi huo upo hasa kwenye uhalali wa Mileage ya gari husika au kilometa za gari linalouzwa. Japo kuna ukakasi mwingi zaidi ya...
  19. byakunu

    Changamoto nilizopata wakati wa kupokea kupokea Parcel Posta

    Wadau habari zaJioni naomba kuwasema Shirika la Posta kuwa wanacho tufanyia wateja sio haki hata kama wapo kutimiza wajibu wao lakin wakumbuke kuna haki ya mteja coz mteja ndo anawafanya na wao ku survive. Nimepokea parcel leo niliyonunua online kwa AliExpress parcel gharama yake ni dola 8...
  20. byakunu

    Kumezuka tabia ya mafundi magari kukata exhaust za magari ya watu bila wao kujua. Mwenye gari Tafadhari soma hii

    Wadau wenye magari habari zenu, heri ya xmass na mwaka mpya. Naomba kushea na ninyi jambo lililonikuta katika pitapita zangu katika magereji mbali mbali hapa Dar es salaam. Nilikuwa na gari yangu iligongwa na bajaji nikapeleka sehemu X kurekebisha katika maeneo ya magomeni, fundi akaniambia...
Back
Top Bottom