Search results

  1. Sol de Mayo

    Mbunge Mohammed Issa aliyesema yeye si Mtanzania, kwanini bado yupo Bungeni?

    Zanzibar mpaka ina Rais wake na bendera yake, sasa atashindwaje kujiita mzanzibari! Zanzibar ni Nchi Tanzania ni Nchi So, ana haki kusema yeye ni mzanzibari, na sio Tanzania
  2. Sol de Mayo

    Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

    Wabarikiwe Historia ya kusadikika, mzungu amejua kuwakamata kweli kweli, ni zamu ya wale walioshirikiana na makafiri wa kizungu kufanya biashara hiyo, wajitokeze kuomba radhi
  3. Sol de Mayo

    Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

    Bado tu una chuki! Pole sana Hawatakuwa radhi nasi mayahudi na Manaswara mpaka tufuate mila zao
  4. Sol de Mayo

    Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

    Kinachokusumbua ni chuki dhidi ya waarabu na Uisilamu kwa ujumla, na si kingine. Swali, ulikuwepo wakati waarabu wanafanya biashara hiyo?
  5. Sol de Mayo

    Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

    Uislamu upo, na utaendelea kuwepo na unazidi kunawiri siku hadi siku, eti waombe radhi, wewe ulikuwepo wakati wanafanya uharamia huo?
  6. Sol de Mayo

    Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

    Waombe radhi kwa kitu ambacho hawajakifanya! Wewe endelea kuamini tu waarabu walishiriki, ila wenye elimu zao wanajua kama waarabu hawakuhusika. Waarabu wabarikiwe sana
  7. Sol de Mayo

    Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

    Kwahiyo unataka mtu mweusi asimkingie kifua mwarabu hata kama hakuhusika na biashara haramu ya utumwa! Waarabu wabarikiwe sana
  8. Sol de Mayo

    Huyu ni wa mkoa gani unafikiri?

    Vipi na wale wavaa mabuti makubwa na vitrauza vyao vya kubana😄 ila hii nchi basi tu
  9. Sol de Mayo

    Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

    Waarabu hawakuhusika na biashara ya utumwa, kama nikweli unaweza ukaweka ushahidi hapa
  10. Sol de Mayo

    Haya hapa ndio makabira 125 Tz , je we uko namba ngapi hapo

    Unamaanisha maxence ni Mchagga? Na sio mhaya!
  11. Sol de Mayo

    Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

    Hilo haliwezekani, kupsmbana na hamas hawezi, anachoweza yeye ni kuuwa watoto, na hilo kafanikiwa. So Huyo atakufa kifo cha kidhalili sheikh, laana ya Allah iwe juu yake kafiri huyo
  12. Sol de Mayo

    Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

    Hii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe. Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu wenyewe Wanakiri kuwa wao ndio walioanzisha Biashara ya utumwa hiyo haramu ya utumwa Nchini Zanzibar, na...
  13. Sol de Mayo

    TANZIA Mtanzania Mansoor Daya Afariki Dunia, alianzisha kiwanda cha kwanza cha Madawa Afrika Mashariki 1962

    Allah akuongezee ziwe nyingi zaidi ya mbili min -me na ufanikiwe
  14. Sol de Mayo

    Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

    Wayahudi na silaha zao, na teknolojia yao ila wameshindwa kupambana na Hamas, kazi kuuwa watoto, wamama, wazee na kuomba msaada nchi za magharibi zije kusaidia kuuwa innocent people, hiyo ni akili kweli!!
  15. Sol de Mayo

    TANZIA Mtanzania Mansoor Daya Afariki Dunia, alianzisha kiwanda cha kwanza cha Madawa Afrika Mashariki 1962

    Kwahiyo angekuwa mweusi ila ni mganda au mkenya ungesemaje! Utakuta huyo ni raia wa asili zaidi yako
  16. Sol de Mayo

    Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

    Acha kabisa kuwafananisha waarabu waislamu na hao magaidi wa kizayuni waliolaaniwa, na ndio maana hawana amani all the time
  17. Sol de Mayo

    Halmashauri ipi nchini inafaa kupandishwa hadhi kuwa Jiji la Saba?

    Kahama inaenda kwa kasi sana, labda na iringa japo sijawahi fika then morogoro Moshi hapana kwakweli, ❌❌❌❌
Back
Top Bottom