Kuna mchina mmoja alikuja ofisi X akitaka huduma alikuwa na NIDA CHETI CHA KUZALIWA vyote vinaonyesha ni mtanzania mwenzetu, ila sasa shida ikaanza kwenye kuongea kiswahili
Shule zingine wakichukua pre form one ndo intake ya form one hiyo hiyo hawapokei wanafunzi wapya...masomo yanaanza, wakirudi next year wanaendelea. Hii inawasaidia kumaliza syllabus mapema wanaanza za form two zile nyepesi
1. Uwe unamfanyisha mazoezi na stretching ya viungo.
2. Asubuhi kabla ya jua kuwaka mtoe nje mtembeze peku kwenye bare soil sio tiles wala pavings blocks...natural healing ya soil. Sisi ni udongo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.