Search results

  1. kichomiz

    Tabia za Uzandiki, Unafiki,Umasikini,na Roho za kwanini za Watanzania

    Hii nchi imejaa majitu ya ajabu sana, majitu yenye roho za kwa nini,machawi,yenye wivu,husda na kuombea wengine mabaya Pumbavu kabisa, Kuna mapumbavu ,linaweza likaenda hotel,bar au sehemu limealikwa au limetolewa out kwa uzuri tu,Ila likafika sehemu husika vizuri tu,kwanza likashangaa...
  2. kichomiz

    Vijana oeni mabinti wenye kwao

    Habari za juma pili wakuu, wacha leo niwakumbushe kidogo vijanajuu ya kupata wenza wanaokaa makwao. (1) Usioe binti ambae kwenye familia yao mama ndio Kila kitu. Yaani mama ndio mwenye sauti kuliko baba, akitoa neno tu mpaka baba anaufyata. Hapo usijaribu kusogeza pua kutaka kuoa, hiyo inakuwa...
  3. kichomiz

    Vijana acheni kuoa watu wenye jinsia ya kike, oeni wanawake

    Habari zenu wana Jamii Forums Twende moja kwa moja kwenye mada, Vijana wa leo wamekuwa wakurupukaji na malimbukeni,kwenye swala kuoa Wamejikuta wakioa watu wenye jinsia za kike na si wanawake, matokeo yake kuyumbishwa, kupelekeshwa na kurudishwa nyuma kiuchumi. Wengi huendeshwa na tamaa na...
  4. kichomiz

    Watu wenye roho mbaya ndio wanaofanikiwa maishani

    WATU WENYE ROHO MBAYA NDIO WANAOFANIKIWA MAMAISHANI. Dunia imebeba watu wa kila aina,wachapa kazi ,waviviu,wanyonyaji,majizi ,wachawi nk. Kuna makundi ya tabia mbali mbali, kuna wapole ,wenye roho mbaya,wakali,wasamalia,wenye roho nzuri nk. Sasa basi hapa nawazungumzia watu wenye roho...
  5. kichomiz

    Hii ndio hali halisi inayokuja

    Ngoja tuendelee  kusubiri
  6. kichomiz

    Dawa ya asili ya nguvu za kiume

    Acha kusumbuka na tatizo la nguvu za kiume,dawa hiyo hapo
  7. kichomiz

    Bunge la Kenya laishambulia Tanzania

    Wameanza chokochoko zao
  8. kichomiz

    Hivi hapa kuna mapenzi ya dhati au mapenzi ya cash?

    Haka kajamaa kanaoa huyo mwanamama. Sasa najiuliza je, ni kweli amekapenda kamshikaji au ni kujitoa kimasomaso a.k.a kutoa gundu? Maana huo mzigo naona kama ni over size
  9. kichomiz

    Ama kweli watu wamechafukwa

  10. kichomiz

    TBT

    TBT
  11. kichomiz

    Africa yetu

    Ugali wa hapo lazima use mtamu sana
  12. kichomiz

    Hivi Suma G uko wapi?

    Huyu jamaa nimemkumbuka na kile kibao chake cha VITUKO uswahili, "Uswahilini ukioga mchana utaulizwa, unakwenda wapi" "Uswahilini mtu ananawa miguu wakati miguuni hajavaa kandambili,akimaliza tu anakanyaga chini" Huyu dogo alikuwa na kipaji sana sijui yuko wapi?ⁿ
  13. kichomiz

    Sijui wanataka kumpeleka kwa Polepole??

    Noma sana
  14. kichomiz

    Uchochezi

    Unahisi hapa alitaka kutaja kabila gani????
  15. kichomiz

    Ni ukweli usiopingika

  16. kichomiz

    Honda crossroad

    Salaam waungwana Wakuuu mwenye kuijua hiyo gari tajwa anisaidie uimara wake na upatikanaji was spea,naona imenivutia sana sasa kabla ya kufanya lolote ningependa kupata ushauri wenu wajuvi wa magari
  17. kichomiz

    Kipanya ni balaa

  18. kichomiz

    Umejenga nyumba yako kwa muda mrefu kwanini uibomoe kwa muda mfupi?

    Habari zenyu bana, Watu wengine wanashangaza sana, unakuta limtu limehangaika Kwa muda mrefu kuijenga nyumba yake kwa hali na mali,mwisho wa siku linakuja kukubali ibomoke kirahisi rahisi tu wendawazimu huu. Mtu ulikuwa hohehahe wa kutupwa kama ganda la muwa liloisha utamu,wakati huo hakuna...
  19. kichomiz

    Hivi watu wa Kigamboni wanaweza kurubunika kirahisi namna hiyo?

    Kwenye hotuba ya leo ya Magufuli, amewaambia watu wa Kigamboni kuwa wakimchagua na kuwa Rais atafuta nauli ya kivuko na watavuka bure kasoro magari. Hivi alipowaambia kama hawataki kuongezewa nauli wapige mbizi alikuwa anamaanisha nini? je, walikuwa sio watu wa Kigamboni? au ndio kusema...
  20. kichomiz

    Ulishawahi ona barabara inapigwa deli?

    Watu wamepiga deki barabara ili muheshimiwa Rais apite
Back
Top Bottom