Search results

  1. Alfred88

    Je, unapenda kufanya mapenzi mda gani?

    Ivi ni mda gani ungependa / ni mzuri kwako kufanya mapenzi..? Na katika mazingira gani?
  2. Alfred88

    Je, kuna tatizo lolote kwa mwanaume mwenye uwezo wa kuzi control hisia zake?

    Natumaini wote ni wazima wana JF, Mimi ni moja kati ya wanaume ambao na uwezo wa ku-control hisia zangu. Ninauwezo wa kukaa na mwanamke/msichana kwa zaidi ya mwezi bila kufanya mapenzi mpaka pale tutakapoingia makubaliano kati yangu na yeye ya kufanya mapenzi. Pia nauwezo wa kuchezea mwili wa...
  3. Alfred88

    Ananizungusha kwenye suala la kunipa mchezo...Je, hii ni sawa..?

    Habari wana JF.. Mimi nina mpenzi wangu ambaye tayari alishazaa mtoto mmoja na mwanaume mwingine (nilimkuta tayari kasha zaa) . Nikamtongoza akakubari, nikampenda sana naye alinijibu the same kuwa ananipenda pia. Lakini kila nilipotaka sex alikuwa akinipa muda, Mfano naweza mnikamuomba mwezi wa...
  4. Alfred88

    Nimefanya mapenzi na dada yangu kwa miaka 3

    Baada ya kuhitimu form 4 nilielekea Mwanza kusaka life. Katika misele yangu nilimtongoza binti mmoja wa chuo cha sauti mwaka wa pili, akanielewa. Tukaendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi mpaka alipomaliza na kurudi kwao Kigoma mi nikabaki Mwanza. Kila nilipokuwa napata nafasi nilikuwa naenda...
  5. Alfred88

    Swali: Je, kitu gani cha kumfurahisha mpenzi wako?

    ...unadhani ni kitu gani au jambo gani ukimfanyia mpenzi wako either wa kike au wa kiume, atafurahi zaidi na kuzidisha mapenzi kwako/ akae akikukumbuka kila wakati na kutoenda kwa mwingine, means kukusaliti..??
  6. Alfred88

    Upendo ni nini?

    Tunapozungumzia upendo, ni hisia zinazotoka moyoni mwa mtu. Mtu anaposema "Nakupenda kutoka moyoni" hana maana kuwa moyo ndio unaokupenda bali hisia zake za moyoni zipo kwajili yako. Unajikuta umempenda mtu pasipo kujitambua wewe mwenyewe, lakini pia kuna upendo wa dhati(kweli) na upendo wa...
  7. Alfred88

    Jamani naombeni ushauli juu ya hili swala...

    Nina mpenzi wangu ananizidi umri kama miaka 6 ivi, yeye anamafanikio mazuri tu ambayo yanaweza kumuingizia kipato. lakini mi ndo ivyo xina kazi yoyote, xaxa kila napompigia cm hapokei na hata akipokea ananambia anakazi (mchana) uxiku pia ananambia anackia ucngizi. Lakini nimekuwa nikivumilia mda...
Back
Top Bottom