Search results

  1. Comred Mbwana Allyamtu

    Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Umeme wa zero tariff mwisho ni units ngapi kwa mwezi? Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  2. Comred Mbwana Allyamtu

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    BARUA YA WAZI KWA RAISI WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA LA KATOLIKI TANZANIA DR GERVAS NYAISONGA; KUFUATIA SAKATA LA UWEKEZAJI WA BANDARI KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA SERIKALI YA UMOJA WA FALME ZA KIARABU Imeandikwa na; BY LUGETE MUSSA LUGETE Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA Ndugu...
  3. Comred Mbwana Allyamtu

    Kutumia gari yenye plate number ya Afrika kusini

    Kutumia gari yenye plate number za nchi ZA. Habarini za leo naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe
  4. Comred Mbwana Allyamtu

    Wakuu ni Benki gani International iliyo bora kuitumia kwa hapa Tanzania?

    Crdb Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  5. Comred Mbwana Allyamtu

    Unaweza kuwa na nyota na usiwe na bahati na ukawa na bahati usiwe na nyota

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]
  6. Comred Mbwana Allyamtu

    Ahmed Abdel hadi Chalabi

    Kuna kisa kimoja cha Ahmed Chalabi, nadhani mnamkumbuka sana huyu bwana, alikuwa mpinzani mkubwa sana wa Saddam Hussein Kwanza tumfahamu huyu mtu hatari kuwahi kutokea kwenye siasa na ujasusi huko mashariki ya kati. Jina lake kamili aliitwa Ahmed Abdel Hadi Chalabi, alizaliwa tarehe 30 October...
  7. Comred Mbwana Allyamtu

    Salim Ahmed Salim

    SALIM AHMED SALIM; MWANASIASA MWENYE AKILI, MTULIVU, WAZIRI MKUU MSTAAFU, MWANADIPLOMASIA MKONGWE NA CHAGUO LA NYERERE KAMA MRITHI WAKE ILA FITNA ZA WAZANZIBARI NA UNYERERE UKAMPONZA, IKAMFANYA ACHUKIWE NA KUGEUKA LULU ISIYO NA THAMANI. Na. Comred Mbwana Allyamtu -CMCA Sunday- 1/1/2023...
  8. Comred Mbwana Allyamtu

    Ugiriki, falme ya Macedonia, Uyunani; mama na kitovu wa nchi za Ulaya, iliyokuwa dola-himaya ya nne ya dunia (4th world hegemony)

    UGIRIKI, FALME YA MACEDONIA, UYUNANI; MAMA NA KITOVU WA NCHI ZA ULAYA, ILIYOKUWA DOLA-HIMAYA YA NNE YA DUNIA (4th WORLD HEGEMONY) Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Wednesday-14/12/2022 Olasiti Arusha, Tanzania Ugiriki ni nchi yenye historia ndefu sana duniani, imewahi kuwa Dola kiranja wa 4...
  9. Comred Mbwana Allyamtu

    Hakuna taifa la kuingusha Marekani katika dunia hii, Marekani itajiangusha yenyewe

    HAKUNA TAIFA LA KUINGUSHA MAREKANI KATIKA DUNIA HII, MAREKANI ITAJIANGUSHA YENYEWE. Na Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Monday-5/12/2022 Marangu, Kilimanjaro, Tanzania Hadithi yetu inaanzia hapa, Wakati wa Vita Baridi, Milki na Dola ya Uingereza (United Kingdom and Great Britain Empire)...
  10. Comred Mbwana Allyamtu

    Binadamu walio acha athari kubwa ulimwenguni: dunia ikawa yao, kisha wao wakawa dunia mpaka leo

    BINADAMU WALIO ACHA ATHARI KUBWA ULIMWENGUNI: DUNIA IKAWA YAO, KISHA WAO WAKAWA DUNIA MPAKA LEO. Na. Comred Mbwana Allyamtu. (CMCA) Saturday-03/12/2022 Marangu Kilimanjaro Tanzania Hii list hapa chini ni ya viongozi ambao wameacha "Athari" Ulimwenguni, athari yao imebaki kama chachu hapa...
  11. Comred Mbwana Allyamtu

    Muhoozi Kainerugaba Rubereza. Duru za ndani zinaeleza kuwa yupo kwenye maandalizi ya kumrithi baba yake Museveni

    Picha mnato ni Jeneral Muhoozi Kainerugaba Rubereza. Duru za ndani zinaeleza kuwa yupo kwenye maandalizi ya kumrithi baba yake Museveni Kaguta wakati wowote. #CMCA
  12. Comred Mbwana Allyamtu

    Kitendawili kingine juu ya nadharia za kifo cha Robert Kennedy

    Pichani ni Seneta Robert Francis Kennedy, pia anafahamika kama Bobby, alizaliwa katika familia ya watoto 9 ya Mzee na Balozi Joseph Kennedy Snr, yeye akiwa mtoto wa saba. Picha ya kwanza kalaa chini baada ya kupigwa risasi 3 na Sirhan Sirhan usiku wa tarehe 5 june 1968, kwenye hotel ya...
  13. Comred Mbwana Allyamtu

    Faragha siku ya mazishi ya Malikia Elizabeth ll

    Mnakumbuka kuhusu hafla ya kumzika malikia Elizabeth ll yalifanyika kwa faragha siku ya mwisho ya kuuweka mwili wake eneo la mapumziko?. Sasa bwana jambo lile lilizua mjadala huko Uingereza, hoja nyingi zikajadiliwa kwanini walifanya fargha? Na utamaduni wao wamekuwa wakiona tukio la mwisho la...
  14. Comred Mbwana Allyamtu

    Bi Bernadette Olowo

    Pichani ni mwanamke wa kwanza duniani kuwa balozi ndani ya Vatican city, alikuwa balozi mdogo (Ambassador Extraordinary & Plenipotentiary to the Holy See at the Vatican) kutokea Uganda. Idi Amin alikiwa mtu na nusu, alivunja mila huko Vatican, na kuweka historia kwa kumteua na kumtuma...
  15. Comred Mbwana Allyamtu

    Bi Austeria Rutagambwa

    Pichani ni Austeria Rutagambwa, Mama yake mzazi na Paul Kagame, huyu ana nasaba na mfalme wa mwisho wa Rwanda, mfalme Kigeli V Ndahindurwa, ambaye alitawala Rwanda kuanzia mwaka 1959-1961. Bi Austeria Rutagambwa alikuwa mke wa Mzee Deogratius Rutagambwa ambae ndio baba mzazi wa Paul Kagame...
  16. Comred Mbwana Allyamtu

    Mummification

    Huko zamani Misri (Egypt) ilikuwa ikitumia utaratibu wa kuwazika maiti zao kwa kuwahifadhi kwa kuwakausha, utaratibu huu uliitwa "Mummification". Naposema zamani namanisha zamani, yani miaka ya 3370 BCE, mpaka sasa nizaidi ya miaka 5390 imepita. Kipindi hicho Misri iliitwa Kemet, hili ndio...
  17. Comred Mbwana Allyamtu

    Chimbuko la tattoo Duniani

    Upo mjadala mpana sana na bishaniwa kuhusu chimbuko la tattoo Duniani, mpaka kufika mwaka 2015 wanasayansi wengi wa kihistoria walikubaliana kwamba chimbuko la tattoo ni ulaya ya kati yani huko Oztal Alps. Walihitimisha uchunguzi wao kurejelea mwili wa kale uliopatikana huko Oztal Alps ulioitwa...
  18. Comred Mbwana Allyamtu

    Luteni Ian Kagame

    Pichani ni Ian Kagame (jina lake kamili ni lan Kagame Deogratius Rutagambwa) ambaye alijiunga na jeshi la nchi hiyo wiki iliyopita. Ian alikuwa ni miongoni mwa Maofisa cadets 568 waliopewa kamisheni katika Chuo cha Kijeshi cha Rwanda ambao waliweza kufaulu mafunzo ya kijeshi nchini Rwanda...
  19. Comred Mbwana Allyamtu

    Ushujaa na ukibaraka wa viongozi wa mwanzo wa Afrika

    USHUJAA NA UKIBARAKA WA VIONGOZI WA MWANZO WA AFRIKA. Na Comred Mbwana Allyamtu CMCA Wednesday-9/11/2022 Mount Kilimanjaro, Tanzania Mapema miaka ya 1920 mpaka 1975 Afrika ilichukua sura mpya, mageuzi mengi yaliivaa Afrika, kwanza ni vuguvugu la ukombozi (liberation of Africa), Pili ni...
  20. Comred Mbwana Allyamtu

    Sunak Waziri Mkuu wa 79 wa Uingereza

    Kijana mwenye asili ya India Rish Sunak hatimae amefanikiwa kuwa kiongozi wa Chama cha Conservative (Torry party) nafasi itakayo mfanya kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza baada ya kuidhinishwa na kuteuliwa na mfalme Charles lll. Sunak mwenye Miaka 42 ambaye ni mbunge wa Richmond (York) ni Waziri...
Back
Top Bottom