Toa maelezo yote ili ueleweke vizuri ni nini kinaongelewa baina ya wahusika. Unaonaje kwa ambayo angeanza na 'did you...?' hiyo ndio ingeonesha ni swali.
Ni mfumo wa ccm kwa makusudi kuwapumbaza WaTz ili tabaka lao litawale milele. Ufinyu wa waalimu, wakaguzi wao, ufinyu wa mishahara na mafao yao, ufinyu wa vifaa vya kufundishia, madarasa, madawati, shule zilizokamilika n.k. ni mpango mahsusi wa ccm kudidimiza ubora wa elimu kwa WaTz.
Kuwe na haki, uwazi na kuheshimu katiba na maamuzi ya wapiga kura, utapona kama hatapatikana mbadala wake. Nchi ya kutekana, isiyo na uongozi, ndio inasema ametosheleza? Anapwaya kupita maelezo!
Amani itakuwepo vipi duniani wakati USA watengeneza silaha wakuu duniani wanatafuta soko la bidhaa yao?
Kinachochekesha na kuhuzunisha zaidi ni pale Israel inaposhinikizwa na Marekani kuwa iruhusu misaada ya kiutu kutoka Marekani iwafikie Wapalestina la sivyo Marekani itasitisha kutoa msaada wa...
Barabara ya kutoka Tanga kwenda Mombasa imejengwa kwa hisani ya watu wa Marekani.
Miradi ya kupiga vita kifua kikuu, ukimwi na malaria, ambao wataalamu wanafuka mpaka maporini huko kutoa huduma ni hisani ya Serikali ya Marekani kupitia shirika la usaid.
Ingekaa kimya hata wewe usingejua. Kabla hata ya vipigo walishaona kupitia utabiri wa hali ya hewa, na maafa yanatangazwa si kama kwetu Tz ingekuwa Siri na pengine WaTz kupotezwa na bibie rais kwa kuweka ukweli hadharani.
Mameneja wana sifa ila watakayemnadi hana hizo sifa, WaTz si wajinga kiasi hicho! 4R zinafanya kazi gani mpaka sasa, ni geresha tu. Unaona amewakumbatia mpaka sasa ndio wanaofanana naye!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.