Search results

  1. Robidinyo

    Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Kwanini haukumtengenezea mazingira ya kujichunga mwenyewe mpaka umchunge mtu mzima mwenye akili timamamu?
  2. Robidinyo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sportybet wameshakua wahuni Game ya Ts Galaxy Vs Orlando Pirates, hawajaiweka kwa makusudi kabisa/uoga
  3. Robidinyo

    CHADEMA mnajivua nguo kwa kuanzisha michango ya kumnunulia Lissu gari la kifahari. Hampo kwa ajili ya wananchi

    Serikali ya CCM iliomba msaada wa 100m kujenga matundu ya choo
  4. Robidinyo

    Wachezaji waliofukuzwa uwanjani kwa kelele za mashabiki wasiojua mpira

    Uwezo wao umefika mwisho, tuige kwa wenzetu wakiona uwezo umefika kikomo uhamia timu zisizo na presha na kulinda heshima zao kwa club
  5. Robidinyo

    TP Mazembe waomba kufundishwa football management na Yanga

    Haya ni mafanikio ya kipumbafu, kwani utopolo wametumia mda gani kufikia huto tufanikio ulitotuorodhesha hapo?
  6. Robidinyo

    TP Mazembe waomba kufundishwa football management na Yanga

    Hiki ni kichekesho, yani wafundishwe namna ya kutembeza mlungula na kuvunja kihuni mikataba ya wachezaji?
  7. Robidinyo

    Leo Tottenham kumpokonya Man City Ubingwa

    Kivipi?
  8. Robidinyo

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Tapeli huyo hapo kwenye 4 ongeza sifuri 2
  9. Robidinyo

    Sababu za wanawake kugawa tendo ovyo hizi hapa; wanaume chukua tahadhari

    Yamenikuta haya, Mwezi wa tatu huu kila pisi nayotongoza inachomoa.
  10. Robidinyo

    Sababu za wanawake kugawa tendo ovyo hizi hapa; wanaume chukua tahadhari

    na kwa mwanaume akitongoza kila mwanamke anamkataa...inakua kama nyota imezima. Unakuta mtu ni kijana mzuri kabisa, ana ndoto kubwa na ameshaanza kuifukuzia ghafla anapotea na kuacha kila kitu....anakuwa haeleweki tena.
  11. Robidinyo

    Badala ya kupambana gesi ishuke, yeye anataka gesi iwe kama Luku

    Hajawai kusimama upande wa wana nchi toka aingie madarakani ni mwendo wakukamua raia wake na kuwakandamiza kwa makodi Ni Kibu denis kwenye siasa
  12. Robidinyo

    Badala ya kupambana gesi ishuke, yeye anataka gesi iwe kama Luku

    Washauri wake ndo wanampa hayo mawazo ya kijinga kwa kujikomba na kujipendekeza, na yeye bila kuchekecha anayachukua na kuyatoka kama yalivyo hajali.
  13. Robidinyo

    Msaada namna na kuondoa watuamiaji kwenye router ya airtel 5G

    Mwambia aache kuwapa watu wengine uwezo wa kutumia iternet yako au umuogopa?
  14. Robidinyo

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Klopp alishamaliza baada ya game pale OT, arsenal inaenda kukamilisha msemo wa klopp
  15. Robidinyo

    Stori ya Maisha yangu

    Pamoja Sana Mkuu
  16. Robidinyo

    Hivi inakuaje mtu kufanya hivi?

    Bila shaka wewe ni bonge, kwakua unachomekea basi wanahisi una vipesa wanakuita big
  17. Robidinyo

    Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

    Itakua Shimo Lilikua Kubwa hata radha hakuna, mwana akaona asipoteze mda na asikuchane utajisikia vibaya
Back
Top Bottom