Search results

  1. AKILI TATU

    Router gani nzuri kwa matumizi ya ofisi yenye watu zaidi ya 500

    Kwanza nenda na tigo Ile ya 650k ukikosa nenda na ya airtell
  2. AKILI TATU

    Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare

    Amna Amna andaaa Milioni 45 Kwa nyumba ya kisasa
  3. AKILI TATU

    Nashangaa Rais Samia kuteua Boss mpya UDArt tena

    Kumbuka huyu jamaa anaendelea kulipwa mshahra kama aliokuwa akilipwa Bank private , alipoamia TTCL serikalini Kwa kuwa ndio serikali walimtaka obviously alitaka mshahara mkubwa zaidi...TTCl akakunja mshahara mnono...alipopewa ukuu wa mkoa akahama na mshahara wake wa ttcl now yuko Udart kama...
  4. AKILI TATU

    Tuliomuona Guede ni Garasa tukutane tunamuomba Radhi na pia tukawawambe Makofi waliotumwa Wachovu Fred na Job

    Unahoja....but baleke alipaswa kuondoka huku akiwa anachapwa bakora nyingi Kwa utoto aliokuwa anaufanya Simba.... PHIRI angevumiliwa pengine angekuwa njia Kwa wapya... Kingine hao wote wawili waliachwa kutoa nnafasi ya kusajiliwa hao wawili wapya.. Na dirisha kubwa Kramo ataachwa asajiliwe mayele
  5. AKILI TATU

    TBT: Ulipokea matokeo yako ya Form Four ukiwa wapi, na ilikuwaje?

    Kwa kweli aisee....nilikuwa na west time tu school
  6. AKILI TATU

    TBT: Ulipokea matokeo yako ya Form Four ukiwa wapi, na ilikuwaje?

    Kiukweli nilikuwa nazagamua mmama wa mtu ndani kwake...huyu mama alikuwa mke wa mjeshi ...so nilikuwa naenda enda sana kwake kumpa kampani as Mme wake alikuwa congo huko akilinda usalama... So nikiwa namzagamua akapigiwa simu na mdogo wake naye kamaliza form four..amwangalizie matokeo... Basi...
  7. AKILI TATU

    Bachelor unafanya mapenzi mara ngapi?

    Kufanya nayo..hesabia
  8. AKILI TATU

    Nipe sababu tatu unapenda kuishi ukanda gani mwa Tanzania?

    Mzee ulishaachaga kumeditate ...au ndio ulimeditate ukapata kazi huko ntwara!?
  9. AKILI TATU

    Siku niliyotumia dawa ya nguvu za kiume ilikuwa hatari; dont try!!

    Mzee next time ukila tena haya madawa..wanashauri ule na pain killer yoyote haswa haswa Panadol..huwa inasaidia kupunguza makali yake...pia inashauriwa usikamie game...nenda slow slow...maana muda wote moyo unapush damu Kwa Kasi...sasa wewe ukiwa unapump Kwa speed ya farasi lazima udai chenji...
  10. AKILI TATU

    Benjamin Mkapa Stadium. Je mabango ya matangazo ya umeme yameacha kufanya kazi?

    Hapana...yanafanya KAZI mbona...sema machi hizi za caf mfumo wao ni stick...Yani yake mabango hayatembei..yabakuwa yanaonekana Kwa mpangilio ule ..tazama mechi zote hata za sauzi kwenye viwanja wenye LED tv parameters utaona inavyokuwa... Plus kingine Yale ni mwekezaji kaweka...sio serikali...
  11. AKILI TATU

    Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

    Labda kukusaidia kwenye hili, Hamas wanakawaida ya kushikilia maiti za mateka wa kimaitaifa Kwa lengo la kulazimisha mamlaka za Israel kuwaachilia mateka wao...mfano mdogo ni yule dada wa kijerumani...walimuua juzi na maiti yake kuizungusha mchana kutwa ..wakitaka mateka wao waachiliewe ndio na...
  12. AKILI TATU

    Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) tunaomba maelezo juu ya hili

    Mhhh..wapi huko..huku nilipo joto Kali na maradi ya kijinga tu badala ya kinyesha
Back
Top Bottom