Search results

  1. sweetlady

    Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

    Baada ya ccm kuambulia watu 23 kwenye mkutano wao wa leo maeneo ya uwanja wa stadium bar ... Mkutano ambao wananchi wa arusha wameufananisha na kikao cha send off.... Pole nyingi kwa Ole sendeka na Mary Chatanda manake wamekuwepo eneo la mkutano toka sa 5 asubuhi bila kuambulia watu...
  2. sweetlady

    With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

    Happy birthday to you Happy birthday to you Happy birthday dear Erickb52 Happy birthday to you!!! How old are you now How old are you now Happy birthday, happy birthday Happy bitthday to you!!! Dear Erickb52 Hoping that this day will be a special one for you, A day for...
  3. sweetlady

    Get well soon Erickb52

    Wapendwa wa chit chat naona bado jinamizi la magonjwa linaendelea kuliandama jukwaa letu! Naomba tujumuike pamoja kumwombea mwana chit chat mwenzetu Erickb52 kwani yu mgonjwa kitandani! Nawaita kwa moyo wa upendo Filipo, Mungi, PakaJimmy, Arushaone, watu8, Madame B, cacico, gfsonwin...
  4. sweetlady

    Jamani wana chit chat hebu njooni tumpe hongera

    Wapendwa wana chit chat kuna huyu memba anaejiita Arushaone .......daaaah jamani sio mchoyo wa kutoa like......hebu na tumpe hongera zake manake hana mpinzani chit chat na majukwaa mengine kwa sasa.....yaani mie ananishangaza kwa kweli.....huyu mwenzetu sijui atakuwa anatokea kabila lipi...
  5. sweetlady

    Tatizo ni wewe Vin Diesel

    Nimeamini raha ya upendo ikipotea huwa karaha! Sikutaraji kama leo hii nitabaki na jeraha! My number one fun tatizo ni wewe umefanya anitose! Wakati bado nampenda nafsi imejaa upendo wake! My number one fun tatizo ni wewe umefanya anitose! Wakati bado nampenda nafsi imejaa upendo wake...
  6. sweetlady

    Happy birthday lovely husband Vin Diesel

    Happy birthday to You! Happy birthday to You! Happy birthday dear Vin Diesel! Happy birthday to You! How old are you now? How old are you now? Happy b'day happy b'day, happy b'day to you! Dearest Mwenyezi Mungu akujalie afya njema, akupe maisha marefu yenye furaha, amani...
  7. sweetlady

    Happy Birthday Young Master

    A simple celebration, a gathering of friends, here is wishing you a great happiness, a joy that never ends! May your birthday be filled with sunshine and smiles, laughter love and cheer! I hope that for every candle on your cake you get a wonderful suprise ! :A S 465:Happy...
  8. sweetlady

    Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

    Happy birthday to yo !:A S-heart-2::A S-heart-2: Happy birthday to you! Happy birthday dear Erickb52 happy birthday to yo How old are you now, how old are you now, happy...
  9. sweetlady

    Rais Kikwete punguza safari za nje

    Tumepata kuandika na leo tunaandika tena tukimsisitiza Rais Jakaya Kikwete na washauri wake kupunguza safari za nje ya nchi kikazi wakati taifa likiwa kwenye hali tete. Licha ya misafara yake kulalamikiwa ndani na nje ya nchi kwa sababu ya kuongozana na msururu wa watendaji ambao wengine hawana...
  10. sweetlady

    Lipi ujinga zaidi???

    1. Kujiita romantic wakati uko single. 2. Kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size. 3. Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha. 4. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi. 5. Kupigiwa simu hafafu unaangalia balance yako. 6. Kutafuta...
  11. sweetlady

    Wishing you a Speedy Recovery Asprin

    Passing time in bed is awful yet necessary this time, so that you can go back to yourself stronger than ever before. Get Well Soon.
  12. sweetlady

    "Jesus is the king"

    Jesus is the king, because in HISTORY he is the rock of ages, in BIOLOGY he raised the dead from death, in CHEMISTRY he changed water into wine, in MATHEMATICS he balanced 2 fishes and 5 loaves of bread being eaten by 5000 men, in CIVICS he is the wise man with wisdom, in PHYSICS he broke the...
  13. sweetlady

    Wiki endi njema wana Jf wote

    Upendo & Ukarimu wanawasalimu, Furaha & Unyenyekevu wako njiani kuja kwenu, ila Tabu na Shida hawatakuja sababu Mateso anaumwa. Mashaka, Mawazo & Kukata tamaa wako jela. Kukataliwa & Umasikini walikufa. Ushindi, Utajiri, Upendo & Amani wanakuja. Mungu awatie nguvu ktk majaribu yote mnayokutana...
  14. sweetlady

    nafasi za kazi!

    New National Babu Hospital- Loliondo. Inatangaza nafas za kaz.1. Kuchochea kuni, nafasi 50!.2. Kubeba ndoo za maji kwa kchwa toka A town, nafasi 15 tu!3. Kumpa bau kampany ya kubeba dawa nafasi 4 tu. 4. Ku2nza jero, jero za babu nafasi 2 tu! Wahi sasa. Kwa wale waombaj wa kwnz watapata nusu...
  15. sweetlady

    Mwenye kujua jibu anisaidie

    nmepatw na hal ya kuondokewa na hisia za mapenz. Cjui imesababshwa na nini. Npo under 30. Huu ni km mwez wa3, nile nin/nfanye nn krudsha hica?
  16. sweetlady

    'a strong woman'

    A strong woman knows how 2 keep her life in order. Even wth tears in her eyes, she still manages 2 say 'I'm Ok' wth a smile. Send this 2 a strong woman. Happy Woman Day to woman wote wa Jf.
  17. sweetlady

    Nahitaji msaada wa mawazo.

    Habari wana jamii wenzangu. Nimeolewa, kabla sijapatwa na mkasa ninaotaka kuwaeleza nilikuwa namuamini sana mume wangu. Mwaka jana mwezi wa 6 nikagundua kuwa ana mwanamke (mama mtu mzima ) Kuanzia hapo moyo wangu umekuwa mgumu sana kumwamini ingawaje tulishayaongea na alikiri na kuniomba sana...
  18. sweetlady

    Naombeni mnikaribishe!!!!!

    Nawapenda woooote humu ndani!Zaidi sana kwa wote wenye kuitakia mema cdm! Nimekuwa msomaji mzoefu wa jamii forum ila ckuwahi kujiunga. Nimeamua kujiunga rasmi ijumaa ya last week so hope mtanipokea kwa mikono miwili.
Back
Top Bottom