Search results

  1. Mo shyner

    Leo asubuhi nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa badala ya chai naomba ushauri wenu

    Uko sawa mkuu... Maisha ya kibongo ni pasi ndefu, hapa tukutane jioni!
  2. Mo shyner

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Live mukuda ana nafasi kwa wana Gunner's kaka...
  3. Mo shyner

    Nimepandishwa cheo hapa JF Mshahara wangu utakuwaje?

    Senior anakula kama Mia 4 na sh sabini hivi...
  4. Mo shyner

    Hawa maafisa mikopo wa online ni kero mno

    Mii nlikopa nkafunga mkeka ukaliwa... Halafu wakaanza kunidai na hela yenyewe sijaishika... Nliwambia waifate sport pesa wamekulana wao kwa wao mii nlibonyeza simu tu, lugha zikagongana naona mpaka leo kimya!
  5. Mo shyner

    Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    Bado tunaendeleza siasa zetu za kiafrika zaidi...
  6. Mo shyner

    Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    AFPCopyright: AFP Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amemteua mtoto wake, Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).Gazeti la Daily Monitor la Uganda limeripoti. Anachukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa biashara katika mabadiliko...
  7. Mo shyner

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tumebaki juu zile goal tulizokuwa tunawatembezea upako zimetulinda..!
  8. Mo shyner

    Kuna vitu navidhania

    Sema endelea muwaza mkuu... Maana napatemo kadhaa kwenye mawazo yako..!
  9. Mo shyner

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Kwani nmekquote mkuu..?
Back
Top Bottom