Search results

  1. Izc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Remember Azpillicueta my friend. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Izc

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Litakaporudishwa uje kusalimia pia Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Izc

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nyie tushawazoea mnajiita wazee wa kujenga timu. Sasa sijui mnajenga mnara wa Babel Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Izc

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hii ligi tangu Augost wameiongoza wengi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Izc

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kati ya timu zote za top 5 Liverpool ndo timu dhaifu kwa sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Izc

    Msaada Wa Kazi (Fundi Sanifu Madawa)

    Mkuu na wewe si umesoma hii kozi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Izc

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Izc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    I am very happy to see Alonso benched today Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Izc

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Wakuu salaam sana, Wiki jana TMT ilikuwa Mwanza na siyo watu wote walipata fursa ya kuhudhuria. Naamini wanaBukoba, Karagwe, Muleba na Misenyi ni watu wenye mwamko mkubwa katika maswala ya kielimu. Na hii fursa ya kielimu na kifedha si ya kukosa na haiwezi kutupita wana Bukoba. Hatujawahi...
  10. Izc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea iangalie vizuri isije ikamaliza ikiwa namba 10. Ukifungwa na Palace na Banley maana yake uko weak sana. Msimu uliopita ili kuchukua ubingwa tulipoteza mechi 2 tu. Sasa hata round ya kwanza haijaisha tumeshapoteza mechi mbili na drop moja. Kiukweli we are not among the tittle contenders...
  11. Izc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ugumu unatoka wapi? Mbona Chelsea umechezwa mzuri? Possession 54 kwa 46, shots nyingi kuliko Arsenal? Penalties are penalties and will remain to be penalties. Nashangaa mtu anaanza kulaumu eti sijui nini Wala nini! EPL mtu mwenye kikosi zaidi ya Chelsea ni man City Japo atapata shida kuunda...
  12. Izc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mkuu jezi ina uhusiano gani na mpira? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Izc

    Mkuu Wa Polisi Kawe Tuondolee Huyu Lesbian Mbezi Beach Anatuharibia Mabinti Zetu

    Wanaume wa Dar kwa kweli! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Izc

    Mama mkwe katuma tena SMS. This time nimemjibu, ebo!

    Bado hujakua kijana, yani ukija kukua kiakili utajidharau sana ukiona hizi thread zako. Mambo ya kwenye ndoa yanaishia ndani, yani ww na mkeo. Mm nashangaa mtu na mkewe wanashindwa kusuruhishana alafu eti wazazi au viongozi wa dini wakija ndo wanawasuruhisha! Kwani kipi zaidi huwa wanafanya...
  15. Izc

    Wanawake mtatuvunja viuno kwa hili.

    Hayo mambo mnayoyasema huwa siyaelewi kabisa. Maana mm huwa naona hata nao la pili sijalimaliza mwanamke anakwambia nimechoka tupumzike.
  16. Izc

    Kamilisha Malengo: Karibu semina iliyo andalia na Mtanzania aliye kataa kulipwa mil 450 Marekani

    Huo mwandiko ni wa Fernandez mwenyewe au ni ww unayemletea tangazo? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Izc

    Nanunua Simu

    Habari wanajukwaa, nahitaji kununua simu kama kuna mwenye simu mpya au used(lakini iwe katika hali nzuri). Bei yake i-range kati ya 160,000- 180,000. Niko Bukoba.
  18. Izc

    Mheshimiwa Rais, watumishi wote wa umma wakatwe sh 5000 kuchangia ujenzi wa reli

    Na watu wa Kagera watachangia? Wakati reli haifiki mkoani kwao?
  19. Izc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Moses, Drogba, Etoo Walikuwa wanazisaidiaje timu za mataifa yao? Lkn mziki wao ulaya si ulikuwa unauona?
Back
Top Bottom