Search results

  1. LebronWade

    Huyu Chifu Msopa ni Nani?Katumwa?

    Kwenye taarifa ya habari TBC1 leo 23/11/2011 saa mbili usiku,kuna haka kachalii kanaitwa sijui Chifu Msopa kutoka sijui chama cha wapenda amani tanzania (if that is). Madai yake eti wanaiomba serikali isiruhusu maandamano yaliyopangwa na asasi zisizo za kiserikali kupinga kupitishwa kwa mswada...
  2. LebronWade

    Sneakers Store - Msaada wa Mawazo

    Wadau: Naomba msaada kidogo wa real experience ya watu kuhusu hiyo mada hapo juu.Im a businessman,ila nataka ku-expand into a very new business venture....kufungua a street corner sneakers store preferably pale Mwenge au Sinza au hata Mikocheni.Ni dedicated kwa ajili ya raba tu,ambazo ni...
  3. LebronWade

  4. LebronWade

    Kiukweli kabisa( Roho Safi),Lowassa ana Hela Kiasi Gani na Ameshika Uchumi Kiasi Gani Kibiashara?

    Bila kuleta conspiracy theories,naomba,mwenzenu nataka kujua kabisa Lowassa ameshika uchumi wa hii nchi kibiashara kwa kiasi gani.Mimi nashindwa kuelewa na sometimes hua nachanganyikiwa na huyu Lowassa,sijui watu wanam-overrate sana au tuna-fear something we do not understand.Kwa jinzi huyu...
  5. LebronWade

    Kwanini iwe Lowassa/Monduli na Dwight Howard wa NBA?

    Wadau, Inashangaza kidogo kwa chalii star kama Dwight Howard wa Orlando Magic kuja Bongo moja kwa moja Monduli eti kutoa msaada wa mil 90 kwa shule ya sekondari Monduli?Sina tatizo na kutoa msaada Monduli,no,no,no.Na itakua very complex kujua ni processes gani zimetumika kumfanya aje,inaweza...
Back
Top Bottom