Sneakers Store - Msaada wa Mawazo

LebronWade

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,615
1,504
Wadau:

Naomba msaada kidogo wa real experience ya watu kuhusu hiyo mada hapo juu.Im a businessman,ila nataka ku-expand into a very new business venture....kufungua a street corner sneakers store preferably pale Mwenge au Sinza au hata Mikocheni.Ni dedicated kwa ajili ya raba tu,ambazo ni origional kabisa preferably kutoka US na Germany.Zina-embrace utamaduni wa HipHop na basketball hasa ligi ya NBA.Marketing yake itatumia hasa NBA stars brands na major hiphop names,brand names kwenye inventory itakua Adidas (hasa zile low na superstar),Air Jordans,Nike,Converse na Asics.

Nitalenga hasa low end (80%) na high end (20%) customers hasa wale wa 18yrs mpaka 45yrs waliokulia 80's,90's na 2000's miaka ya golden hiphop and basketball,wengi wao wapo makazini now and they have earnings. Maswali yangu ni:

1.Je ni kweli 18yrs-45yrs Tanzanian can spend 50,000/= - 120,000/= to buy a geunine raba?Hasa kwa maisha yetu haya ya ki-Tz?
2.Mzigo wa kuanzia,kwa duka la sizes kama yale ya mwenge ni pair ngapi hasa?600? or 1,000? or less than 600?
3.Mwenye experience ni raba size gani hasa zinaenda sana kwenye soko?
4.Ni kweli young tanzanians wanavaa raba zaidi ya viatu vya ngozi?
5.Hivi ni kweli ile pride ya kuvaa Converse au Nike au Air Jordans au Air Force Ones au The Lebrons origional ipo among Tanzanian youths kama miaka ile ya 90's?
6.Mwenye experience kwa siku au mwezi ulikua unaweza kuuza pair ngapi za high end sneakers?Je,youngmen walikua wanaulizia sana these brands (Adidas,Air Jordans,Nike,Converse na Asics)?

Ntashukuru sana kwa michango yenu wadau.
 
Back
Top Bottom