LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,504
Wadau,
Inashangaza kidogo kwa chalii star kama Dwight Howard wa Orlando Magic kuja Bongo moja kwa moja Monduli eti kutoa msaada wa mil 90 kwa shule ya sekondari Monduli?Sina tatizo na kutoa msaada Monduli,no,no,no.Na itakua very complex kujua ni processes gani zimetumika kumfanya aje,inaweza kua changa tu vile vile...Kinachoshangaza ni kwamba kaja kinyemela mno,watu hawakujua chochote ambapo ni kinyume kabisa na tabia za Dwight Howard kwa tunaomfatilia NBA tangu akiwa rookie na ni kwanini awe connected na Lowassa kiivyoo?Kuna nini hapo kati?
Huyu chalii yetu kaendaje endaje?Sio bure,kuna nguvu imetumika kidogo.Foundations za mastaa hupokea inquiries nyingi sana na hua wanaangalia watu gani wako in need zaidi.Monduli ni heaven(yaani ina afueni ukifananisha na maeneo mengi nchini mwetu).
Sasa basi:
1.Hii huenda ni marketing budget kwenye kambi ya Lowassa imetumika,au
2.Ni upenzi tu wa dogo Howard wa kuja baada ya kuchambua inquiries za maombi ya msaada
Swali zangu za msingi hapa wadau ni kwamba:
1.Je kuna connection yoyote ya faida za kisiasa kwa huyu Mbunge na celebrity wetu Dwight Howard the best true Centre of the NBA today?
2.Jee hii ni marketing ya kusafisha zile makitu zake?
3.Jee,trend itakua ni hii hii ya kupeleka mastaa Monduli tu?
4.Why this time around?
Hebu nitoe wasiwasi Mtanzania mwenzenu wadau!