Search results

  1. Robot la Matope

    Mwalimu kwa mara nyingine tena

    Ndo mkome kuiba kura na kuchanga hela za fomu ya Urais. NB: WALIMU NI MIONGONI MWA WATU WANAOPASWA KULAUMIWA KWA MATATIZO YALIYO MENGI KATIKA NCHII KWA KUSAMBAZA NA KUENEZA UJINGA KUPITIA ELIMU WANAYOITOA MASHULENI. HIZI TABIA ZA MACHAWA SOURCE NI WALIMU WETU. TENDENI WEMA WALIMU
  2. Robot la Matope

    Tanzania hakuna mtu mwenye uwezo wa kununua Cybertruck za Tesla?

    Timaya akiwa na TESLA CYBERTRUCK
  3. Robot la Matope

    Rich or Poor Challenge

    Wewe ni tajiri au masikini? Tuwekee picha tuone maana mmezidi kujitapa nyie matajri.
  4. Robot la Matope

    Golden Garden Boy

    GARDEN BOY IMPREGNATES THREE BIOLOGICAL SISTERS. According to reports, the Kenyan parents to the girls kept their daughters indoors and could not allow them to mingle with friends. The gardern boy was the only close friend they knew. Without their strict parents knowing, he started sleeping...
  5. Robot la Matope

    TAKUKURU Wala rushwa Serikalini ni wengi lakini wao wanahangaika na Mawakala

    MOROGORO: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro imebaini mbinu chafu zinazotumiwa na baadhi ya mawakala kuwaibia wateja wao pindi wanapohitaji kufanya miamala ya kuweka fedha kupitia akaunti zao za kibenki. - Mwakilishi wa Mkuu wa Takukuru mkoa huo, Christopher...
  6. Robot la Matope

    Trafiki wa Nzega watafutiwe muarobaini

    Aisee wadau za saa hii? Naandika huu ujumbe nikiwa naendesha, lakini hawa Trafiki wa Nzega hapa njia panda ni wa kukata mapanga.
  7. Robot la Matope

    Wazungu ni wachawi sana

    Katika majira ya joto ya 1911 treni "Zanetti" yenye magari matatu na abiria 106 iliondoka Roma na ilipaswa kupitia handaki ya mlima huko Lombard. Treni iliingia kwenye handaki la urefu wa nusu maili katika Mlima wa Lombardy lakini haikutoka kamwe! Tu, kutoweka! Hakuna mtu aliyeweza kutoa...
  8. Robot la Matope

    DOKEZO Hospitali za Serikali wanagoma kuwapa dawa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF

    Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana. Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa. Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
  9. Robot la Matope

    The Beekeeper (2024) Movie

    Mwalimu mstaafu Eloise Parker anaishi peke yake huko Massachusetts, lakini ana mpangaji katika boma lake, Adam Clay, anayeishi maisha ya utulivu kama mfugaji nyuki. Siku moja, Eloise anaangukia kwenye kashfa ya hadaa na anaibiwa zaidi ya dola milioni 2, ambazo nyingi ni za shirika la kutoa...
  10. Robot la Matope

    Hizi laptop zimefika Bongo?

    Bei yake ikoje??
  11. Robot la Matope

    Huko walipo Yanga, Simba walishapita kitambo

    LAZIMA TUWAKUMBUSHE Kuwa wakati mnatamba Rais wa Yanga Just kupiga picha tu , Mkumbuke Simba iliwahi kuombwa elewa neno Kuombwa wacheze mchezo wa Kirafiki dhidi ya Sevilla na mchezo ulichezwa Kumbuka Simba hawakupaswa kucheza mchezo huu kwa kuwa hawakuwa mabingwa wa kombe la Sportpesa...
  12. Robot la Matope

    Wasioilalamikia TANESCO kwa kukatakata umeme wazawadiwa BAISKELI ZA KISASA

    We endelea na kelele zako mtandaoni, utakula ulikopeleka mboga
  13. Robot la Matope

    Rais Samia na miradi ya Mwendezake. Yeye Tutamkumbuka kwa lipi??

    Miradi ya kimageuzi inaendelea kwa kasi chini ya uongozi imara wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. NB Hii miradi yote ni ya mwendazake. Yeye tutamkumbuka kwa lipi??
  14. Robot la Matope

    Nabii na Mtume Joseph Kibwetere, Aliyewachoma moto waumini wake nchini Uganda

    Nimetumia muda ku-google ili nipate ‘maana ya neno imani’ bila kugusa vitabu vitakatifu. Kila maana ninayosoma kwenye mtandao naona ni nyepesi kuliko nachokifikiria, kinachosimuliwa na kinachotokea. Kabla sijaamua kuachana na Google, nikakumbuka, Mwalimu wangu Denis Mpagaze aliwahi kutuambia kwa...
  15. Robot la Matope

    Kwanini Serikali inawahudumia Wazinzi na Mateja bure, wakati wagonjwa wa Saratani, Figo, Kisukari wanakufa bila msaada?

    Watanzania wenzangu wazalendo wa nchi hii habari za muda huu? Moja kwa moja kwenye mada. Naomba mwenye kujua atwambie ni kwanini Serikali yetu pendwa kwa awamu zoote imeendelea kuwahudumia dawa za kufubaza makali ya HIV na Uteja/arosto huku wagonjwa wenye magonjwa yasiyo ambukizwa wakifa kwa...
  16. Robot la Matope

    Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

    Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!! Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja? Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na...
  17. Robot la Matope

    Wasafirishaji mnafanyaje hii biashara??

    Just imagine milioni 700+ afu unapakia abiria 50 kwa elfu 50 Dar Kahama, unalipa wafanyakazi, engine kubwa inanyonya mafuta kama walevi wa KASKAZINI. Bado ukodi ofisi, trafiki, Latra etc!! Mnapigaje hapo???
  18. Robot la Matope

    Ushirikina Kigoma: Mwanamke aliyefariki Oktoba 2018 na kuzikwa aonekana akiwa hai

    Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limetoa ufafanuzi juu ya taarifa za Mwanamke mmoja wa miaka 40 Mkazi wa Kazegunga ambaye anadaiwa kuonekana November mwaka huu baada ya kufariki October 17,2018 wakati akijifungua Mtoto katika Hospitali ya Baptist iliyopo Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji na...
  19. Robot la Matope

    Mavunde awashushia rungu wafanyabiashara ya madini

    Kahama: Serikali imesimamisha leseni zote nchi nzima za Kampuni ya Nadoyoo Mineral Trading kufuatia kukamatwa kwa mmoja wa wahusika wa kampuni hiyo akituhumiwa kutorosha dhahabu zaidi ya kilo 4.3 zenye thamani ya zaidi ya Sh Milioni 562.3. Dhahabu hizo zimekamatwa katika operesheni ya...
  20. Robot la Matope

    Doha: Rais Samia azungumza na Sheikha Moza

    #PICHA Rais @samia_suluhu_hassan akizungumza na mke wa aliyekuwa Mfalme wa Qatar Sheikh Hamad Bin Khalifa Al- Thani, Sheikha Moza Bint Nasser Al-Missned wakati alipomtembelea Jijini Doha nchini Qatar tarehe 03 Oktoba, 2023. #EastAfricaTV
Back
Top Bottom