Search results

  1. ngosha wa mwanza

    Hivi ni sawa mwanaume kumuomba mwanamke pesa?

    Kama boss wa nchi ni mwanamke na tunaviongozi kibao wanawake kwa nn uogope kumwambia kama una shida wakati wengine wana hela kuliko ukoo wako wote ...Haki sawa sasa hivi akiwa na maukoto anaombwa tu na hata hana akicheza kikoba siku ya kuvunja unashangaa anakuita baba Tembele nimepata laki saba...
  2. ngosha wa mwanza

    Maisha Bwana!😂 😂 😂

    🤣🤣🤣Pesa kidogo tu unaanza kugoogle madhara ya kula ugari😃
  3. ngosha wa mwanza

    Serikali imvue uraia Maria Sarungi arudi zao Hungary

    Jamaa fala sana kutokuolewa kwake kuna kuhusu nini!?.Kutokua na mtoto ulitaka akupe mimba uibebe na akizeeka na utam wake ww mbute unateseka na nn,😎Unataka umjue bwana wake ili akakutoboe spika...puuzi kabisa
  4. ngosha wa mwanza

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Sio mbaya endelea kufanya mambo mengine ila siku ukitaka sasa upate mwenza utakuja pia na uzi wa kupigwa matukio na kujilaumu kwa nn ulisubiri uzeeke ndo uolewe
  5. ngosha wa mwanza

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Dah🤣🤣🤣Hiii ndo jf og...sasa stress freee
  6. ngosha wa mwanza

    Kwa wanawake wenye tabia za kutegesha mimba acheni mara moja

    Jamani kumwagia nje wengine hatiwezi unakuta kale ka utam ndo unakasikiliza kumbe ndo mimba inaingia unamwaga kombe la kahawa kwa mtoto wa watu harafu unakuja jf kuponda ma single maza kama vile wanajipa mimba wao 🤣🤣🤣🤣
  7. ngosha wa mwanza

    Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum kwa mwaka wa fedha 2024/2025

    Watu mna moyo kuangalia bunge 🤣🤣🤣.Bajeti ambazo zaidi ni maumivu tu ni bora nikalima zangu viazi hapa watoto waende chooni
  8. ngosha wa mwanza

    Watu ambao mmeoa Tanga mtupe majibu hapa hii je ni kweli

    Acha ujinga ww msukuma gani analia lia kisa kupewa unyumba ...Ww hata sio mwalim wala msukuma umeamua tu kujipa usukuma ...👺
  9. ngosha wa mwanza

    Tundu Lissu anadai pesa ya matibabu kiasi Gani, na kwanini hajalipwa hadi Leo?

    Kama sheria za nchi hazimtambue mbunge asie na chama lakini mpaka leo kuna wabunge wako bungeni na hawana chama utasgangaa ya Lisu kunyimwa hela zake
  10. ngosha wa mwanza

    Kamati ya Bunge PAC: Kuna Uwepo wa Magari ya Serikali 547 ambayo Hayatumiki kwa Muda Mrefu

    Ndio maana mm hua nasema ukipata mwanya wa kutolipa kodi piga dili kweli kweli na usisahau hata kupeleka sabuni vituo vya yatima kuliko kuwapa hela mchwa
  11. ngosha wa mwanza

    TP Mazembe waomba kufundishwa football management na Yanga

    Hao kuna jambo la siri hatulijui 🤣🤣🤣
  12. ngosha wa mwanza

    TP Mazembe waomba kufundishwa football management na Yanga

    Dah hao Tp nao mafala sasa unakuja kujifunza kwa mtu ulie mpita kimaendeleo ...au wameletwa na GSM.Kama kweli wamekuja kujifunza yanga itakua ni kichekesho.
  13. ngosha wa mwanza

    Jinsi smartphone used ilivyonipeleka polisi

    Yaan hata nyumba hatununui kwa masharti yote hayo..ukipenda kitonga lazima unyee debe simu zipo mpya ww unataka za mkononi ama refub harafu vitu km simu kua na duka lako moja tena sio wale wa vizimba unakuta duka moja linavimeza kumi 🤣🤣🤣Na simu mpya unaunua ikiwa haijapasuliwa ile karatasi ya...
  14. ngosha wa mwanza

    Migogoro ya Ardhi haiishi sababu wafanyakazi wengi wa wizara ni watoto wa vigogo, hakuna wa kuwagusa

    Bado tena hata huku chini unakwenda kununua ardhi unamshirikisha mwenyekiti wa mtaa ama afisa mtendaji na mjumbe wa eneo husika lakini bado unapigwa.Hao wote hapo wanaweza kua wanajua ww unauziwa ni wa tatu ama wa pili lakini wako kimyaaa mbwa wale kisa kuna chochote wanapata inaumiza...
  15. ngosha wa mwanza

    Uzi wa vyakula tu

    Na maziwa ya mgando pembeni😋Na unavyojua kupika naweza maliza kilo ya Unga🤣🤣🤣
  16. ngosha wa mwanza

    Uzi wa vyakula tu

    Usisahau na maziwa ya mgando pembe na kwa unavyootupia mapishi naona sontojo litakua 💥💥
  17. ngosha wa mwanza

    Uzi wa vyakula tu

    Hapo kwenye ugali na sontojo la sato utakua umeniweza 😋😋😋
Back
Top Bottom