Search results

  1. K

    Lengo la Lissu ni kuua ndege wawili kwa wakati mmoja. Wenye akili tumemuelewa, ila wasio na akili hawajamuelewa

    Mwezi huu Lumumba lazima posho zipandishwe!! Makame Mbarawa ni mzanzibari,inakuaje anaongoza wizara ya ujenzi na uchukuzi wakati sio mambo ya Muungano?!! Mtu asie Shaka ni DC huku Bara ilihali mzanzibari,Watanganyika wamekwisha?!! Zanzibar Mtanganyika haruhusiwa hata kua Diwani wala kupiga...
  2. K

    Huyu Dogo naye rasmi kwa wajenzi huru!

    Duh, kudadadadekii !
  3. K

    Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

    Anasubiria mwakani kwenye May Mosi kutoa rushwa ya uchaguzi na kufanya propaganda ya kura
  4. K

    Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

    Na je wanawake mkipigwa deki mna enjoy?!! Kama kitu hukifurahii kwneye mapenzi,upo tayari kukifanya kwa ajili ya kumfurahisha mwenza tu?!!
  5. K

    Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

    Kwa hiyo bila ya kuwaza hivyo unapenda kutuma Salam studio?!!
  6. K

    Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Hakika,ni yeye na ameingia na jeshi Zima,vyombo vyetu vya ulinzi sivioni hapo!!
  7. K

    Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

    Binafsi wife kashawahigi huko nyuma kutaka kunyonya, kiukweli nilimuzuia kidizaini fulani then nikashika hatamu na kumpa hukumu ya haki yake. Kwangu binafsi naona ni utumwa kwa kweli na mara nyingi wanawake huridhia kwa ajili ya kumgurahisha mwanaume. Kwa sasa na na hali hizi za UTI ndio...
  8. K

    Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Ushauri wako kwa Taifa na vizazi vijavyo ni upi?!!!
  9. K

    Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu. Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani, swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri...
  10. K

    Vyama 11 vya Siasa vyalaani kauli za Tundu Lissu

    CCM imetuma mgambo wake!!
  11. K

    Nape amuombe radhi Tundu Lissu, sio kosa kumuita Rais Samia Mzanzibari, ni takwa la Katiba ya Zanzibar

    Kuna matamko watu wanayatoa bila fikra,kwa ufupi wanabwabwaja tu
  12. K

    Nape amuombe radhi Tundu Lissu, sio kosa kumuita Rais Samia Mzanzibari, ni takwa la Katiba ya Zanzibar

    Kwa kua kuna watu wamempa madaraka makubwa, pengine kushinda uwezo wake basi hatuna budi kumkemea na kumtaka aombe radhi na ajitafajari,kukaa kimya ni kuunga mkono impunity yake
  13. K

    Nape amuombe radhi Tundu Lissu, sio kosa kumuita Rais Samia Mzanzibari, ni takwa la Katiba ya Zanzibar

    Salam Wakuu, Tumemuona Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano akimkemea na kumwagia shombo Lissu ndani ya Bunge kua Lissu amefanya ubaguzi kumuita Rais Samia mzanzibari ambae anatawala Tanganyika. Naomba tusome kidogo katiba ya Zanzibar Tumsikilize Rais Samia mwenyewe...
  14. K

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Ndio ndani ya mwezi mmoja awe na nyota 3 na ukomando juu?!! Zoom picha yake uwanja wa Taifa akiwa anafanya show kwa mheshimiwa na halaiki
  15. K

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja...
  16. K

    TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa

    Tanga mjini leo umekatika zaidi ya mara 4 kuanzia asubuhi mpaka usiku saa 2 na ni kawaida kila siku kukatika
  17. K

    Jinsi Iran ilivyotekeleza shambulio lake dhidi ya Israel

    Iran sio Hezbollah. Kule Iraq USA walimuua kamanda Mkuu wa IRGC,Kasim Suleiman,Iran akast atajibu,Iran akaitwanga kambi ya jeshi la Marekani kwa makombora,Marekani akaufyata akakaa kimya!!
  18. K

    Jinsi Iran ilivyotekeleza shambulio lake dhidi ya Israel

    Kama propaganda kwa nini Israel inataka kujibu na USA anamkataza asijibu?!
Back
Top Bottom