Search results

  1. S

    Bike-surfer: Aussie daredevil rides on water in Tahiti (VIDEO)

    Ngoja nishauriane na nafsi yangu niamini au nisiamini juu ya nilichokiona.
  2. S

    Shairi: Nyoka mwenye makengeza amwaga sumu ghalani

    KIKAO CHA NYIKANI Sauti toka nyikani, naipaza kwa kulia. Mwenyekiti bwana Nyani, Kikao nawaitia. Sungura Swala Kongoni, na Sokwe muso mikia. Wanyama walao nyama, tuwatolee tamko. Wote mlao majani, wamatunda nanyi pia. Jongeeni kikaoni, na sasa nakifungua. Jengeni hoja makini, kikao...
  3. S

    SHAIRI: Mchakato wa katiba (tunatibu malaria kwa dawa ya usingizi).

    WAWATIBU MALARIA KWA DAWA YA USINGIZI. Mgonjwa wetu wa tanga, twamlilia nyikani. Na nduguye ni majanga, ni yule wa visiwani. Madokta wamewapanga, wawili wote wodini. Wawatibu malaria, kwa dawa ya usingizi. Hapa pana siri kali, kuwatibu watu hawa. Mara dozi ziwe mbili, wakasema wenye...
  4. S

    Shairi: Baby badili jina

    JINA LAKO LITANIPA TB. Mpango chupa za coka, umeleta sokomoko. mpenzi nawe wataka, chupa yenye jina lako. nimemaliza maduka, Kibaha mpaka Keko. Mpenzi badili jina, nisije pata TB. Nasasa nimeshafika, kiwandani Makondeko. Makreti napachika, godauni ndo niliko. Jinalako nalisaka, Nyaminzi mwana...
  5. S

    Wezi wa simu wakiona cha moto Sinza, Pikipiki yachomwa moto

    NINATUMIA STORY YAKE KAMA ILIVYO ILA NITAONGEZA UFAFANUZI KWENYE MABANO NA KUBADILI KIDOGO VITENZI(MANENO) ILA MZIZI WA KITENZI ( NENO) NITAACHA ILI KUBAKISHA MAANA HALISI. UKITOA MANENO KATIKA MABANO UTAPATA STORY KAMA ALIVYOANDIKA MWENYE MADA. Muda si mrefu (maeneo ya) hongera bar, kijana...
  6. S

    Shairi: Alokwenda kwa mjomba ameishia njiani

    ALOKWENDA KWA MJOMBA AMEISHIA NJIANI. Alitangaza safari, nduguze tukusanyike. Tukalipanga shauri, nauli tuchange kwake. Akatuaga kwaheri, kwa mjomba asifike! Alokwenda kwa mjomba, ameishia njiani. Alipofika mjini, wakamdaka wenzake. Wewe mjomba wa nini, muache apumzike. Walimu kwako ni nani...
  7. S

    Shairi: Twaboronga Kiswahili

    Upo sahihi wala hujaboronga. maana kwenye kunyumbulisha waweza kupta maneno zaidi ya sita kwa kutumia mzizi au shina moja la neno. mfn: Onya, onyo, onyana, onyeana, onyaneni, onyeaneni, onyeka, n.k.
  8. S

    Mpenzi hataki niende Jeshini

    Je aliwahi kukuambia anapenda ufanye kazi gani? na je amewahi kukuelekeza mamna ya kuipata hiyo kazi? Kisha angalia mtazamo na uchungu wake kwako juu ya kuishi bila kazi. Kama haonyeshi kuguswa na maisha yako ya kuunga unga basi hana upendo wa kweli kwako. Hapa picha ninayoipata kwake ni kua...
  9. S

    Mwanamke zake sifa, usiache kumsifu

    MWANAMKE ZAKE SIFA. Kipindi wamtokea, ulimsifia kwanza. Ndipo kakukubalia, leo ndio wake mwenza. Upendo unafifia, kusifu ukipunguza. Mwanamke yake sifa, usiache kusifia. Sio mali kutumia, eti utamtuliza. Nyumbani ukiingia, kama bubu wanyamaza. Mkeo anaumia, au mume namkwaza? Mwanamke zake...
  10. S

    Shairi:Tunda la ajabu

    Tunda halinishi hamu, kila siku najilia. Lina utamu adimu, siwezi kisimulia. Limenitoa fahamu, nakula huku nalia.
  11. S

    Shairi:Tunda la ajabu

    Tupo pamoja mkuu.
  12. S

    Shairi:Tunda la ajabu

    Pia uzuri wake hili ni jukwaa la mahuaiano, mapenz nk. si jukwaa la lugha tunalenga kuburudisha na kufundisha yanayohusiana na jukwaa husika ili hata asie mshairi achangie.
  13. S

    Shairi:Tunda la ajabu

    Ndugu yangu Jogi hata wewe kwenye ubeti wako katika mshororo (mstari) wa pili umeweka mizani 9 badala ya 8? pale ulipo andika "adhimu wengine hulia". Hakuna mkamilifu sote hughafirika kama alivyo kosea kwa bahati mbaya Mzee Raza. Ila wote ni wazuri nipenda tungo zenu.
  14. S

    Shairi:Tunda la ajabu

    Asante kushukuru.
  15. S

    Shairi:Tunda la ajabu

    TUNDA LA AJABU. Nimetulia mtini, nala tunda liso kokwa. Laini shinda maini, ladha kuku wa kupakwa. Chumvi nitake ya nini, nala bivu si kidakwa. Naulinda mti wangu, unatunda la ajabu. Tunda sikukuta chini, liangani likadakwa. Ladha yake ulimini, akili zangu zarukwa. Ladha zazidi...
  16. S

    Sifa za mke nimtakae (Shairi)

    Hahahahaaa. Nimekuelewa sana, sitofanya masikhara. Nitamganda kimwana, wasije wakanipora. Nitamtunza kichuna, ili azidi kung'ara. Nashukuru kuopoa, mrembo maridhawa.
  17. S

    Sifa za mke nimtakae (Shairi)

    Shukrani ndugu.
Back
Top Bottom