Search results

  1. LoyalTzCitizen

    Kenya overtaken by Uganda and Tanzania in infrastructure developmet

    The battle for economic supremacy in East Africa seems to be getting hotter as Tanzania and Uganda lead Kenya in prospective infrastructure projects for 2019. According to Debtwire, an intelligence service that researches and reports on corporate debt situations, the value of Tanzania’s...
  2. LoyalTzCitizen

    Shamba linauzwa Kibaha

    SHAMBA linauzwa Kibaha Misugusugu 3 Kms kutokea Morogoro Road, Hekari 4.6 Lina michungwa lipo Karibu na viwanda vya wachina Karibu na Miyomboni, umeme na maji karibu, no dalalali 8M kwa Hekari niPM kwa details Kama uko interested. Karibuni sana
  3. LoyalTzCitizen

    Gharama za kusafirisha ng'ombe kutoka kanda ya ziwa

    Hanari za leo wakuu! Kama kichwa kinavyosema hapo juu, naombeni msaada kwa yeyote anayejua anisaidie kunipa taarifa ya gharama za kusafirisha ng'ombe kutoka maeneo ya Karagwe, Mwanza, Shinyanga, Tabora na Ngara mpaka Metropolitan Dar Es Salaam. Gharama zilenge kwa kila ng'onbe aka kwa kichwa...
  4. LoyalTzCitizen

    Flat screen inahitajika haraka

    Habari wakuu! Nina uhitaji wa haraka wa used flat screen ya inch 50 kwa budget ya shs laki tano, yes 500,000/= please pm me!
  5. LoyalTzCitizen

    Van/truck for hire

    Kama title na picha zinavyojieleza, nakodisha kwa short au long term truck yangu kwa shughuli zozote zile hapa Dar na Tanzania kwa ujumla. Truck lipo ktk hali nzuri sana! Mfano- Katika removal ( kuhamisha mizigo), usafirishaji magodoro, maji packed, stationeries, nguo, vyakula vya kuku...
  6. LoyalTzCitizen

    Nauza Suzuki Escudo kwa bei cheee

    Escudo ipo ktk hali nzuri inauzwa kwa bei chee!! 7M Make: Suzuki Model:Escudo Body type: Station Wagon Year of Manufacture:1996 Engine capacity: 1.5l petrol Transmission: Manual & 4WD Imported: from Japan Registration: B Doors: 5 Price: 7M Maongezi yapo (Only serious buyers please thanks!!)...
  7. LoyalTzCitizen

    Nauza toyota harrier

    Year; 2000 mileage; 75000kms condition; outstanding tr; automatic colour; metallic black rd licence; till sept 2015 all duties paid, imetembea tz mwezi mmoja na kwa sasa ipo imepakiwa tu price 20M more infos, nitumie pm no time wasters tafadhali natuma picha
  8. LoyalTzCitizen

    Huge Plot For Sale @ Madala

    Plot at Madala Mikoroshini exactly 1 acre, 37 healthy coconut trees 15 orange trees, 9 guanabana trees, natural trees, close to Kawawa estate near a well known Flamingo area. Also close to all other amenities e.g Kisauke schools, close to Madala new Police station, hospital and public transport...
  9. LoyalTzCitizen

    Hii imekaaje? Mtoto wa Kigogo na Kilimo kwanza

    Wakuu poleni na kazi kwanza. Leo kuna kitu kimenisumbua kichwa yangu sana baada ya kuona hii kuhusu project ya Kilimo kwanza, cha kushangaza ktk ile pdf yao yenye orodha ya majina ya watakaokuwa au waliokuwa involved kulikuwa na categories nyingi tofauti tofauti tu, ambapo majorities ni...
  10. LoyalTzCitizen

    Tanzanian expert jailed for keeping woman as slave

    News UK news Crime...
  11. LoyalTzCitizen

    Msaada jamani! Nini kifanyike?

    kWANZA HABARI ZA MISHUGHULIKO WAKUU! Najua humu kuna wakuu wenye knowledge, skills na peofessionals tofauti na ndio maana tukaitwa great thinkers. Sasa mategemeo yangu pia nitapata mawazo mazuri yanayoeleweka na yenye manufaa sababu nipo katika njia ya panda na niko desperate sana ya kuomba...
  12. LoyalTzCitizen

    Black women are less prettier and attractive than others! Mmmh!

    Duuh! hii kali, ama kweli ubaguzi unapamba moto! vipi wakuu mnakubaliana na hizi findings? maana mimi binafsi nimegoma! the most beautiful woman in the world is a black woman! Shabaash!! Are Black Women Less Attractive? Blogger Says So
  13. LoyalTzCitizen

    New hope!?dawa ya ukimwi! 100% uhakika

    Wakuu wenzangu kwanza habari za mahangaiko, leo ktk pitapita yangu nilibahatika kuona hii habari ambayo nadhani mimi binafsi na hata sisi wote kwa ujumla haswa my beloved Africa especially Tanzania tunaweza kupata hope ya ugonjwa unaopoteza mamia kwa mamilioni ya ndugu zetu tunaowapenda na...
  14. LoyalTzCitizen

    Nyerere! Huyu mzee kiboko!

    Nimeshindwa kujizuiz leo baada ya kuiona hii ya Hayati JK wa ukweli alipoongea 1995!, Tumekwishaaaaaaa!
  15. LoyalTzCitizen

    Ione tanzania ktk corruption list

    Government Statistics > Corruption (most recent) by country Showing latest available data. Rank Countries Amount # 1 Iceland...
  16. LoyalTzCitizen

    Chadema wakwepa mtego mwingine pwani

    Ben Komba/Pwani-Tanzania/Monday, January 10, 2011/22:11:41 Chama cha demokrasia na maendeleo mkoani Pwani kimevunja mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike katika kiwanja cha Maili moja mjini Kibaha kutokana na ilichodai kujionyesha wazi kwa Polisi kutaka kuvuruga mkutano huo, baada ya...
  17. LoyalTzCitizen

    Breaking news! Abood laua kibaha sasa hivi

    Habari nilizozipata sasa hivi ni kwamba basi la Abood lililokuwa linaelekea Morogoro toka Dar limepinduka Kibaha Maili Moja na limeua watu kadhaa! mwenye habari kamili na idadi atupe Thank you!!
  18. LoyalTzCitizen

    Nimekosea nini TENA MODS!??

    Kama nimewakweza kwa kutuma thread mpya na hamkuipenda mamods mtanisamehe! ila nataka kujua kitu gani nimefanya wrong kutetea JF ktk kitu nilichoona very unethical! naomba sababu ya kuifuta thread yangu ambayo sikuona kama ina matataizo yoyote ktk kufunza jamii! na pia ningependa kutoa hoja kama...
  19. LoyalTzCitizen

    Kero za TRA! Msaada!

    My friends wote katika JF, leo nimeamua kutoa dukuduku langu ambalo limekuwa likinisumbua sana nafsi yangu kuhusu utendaji wa hawa watu wa TRA (haswa pale Dar port customs). Kuna kamzigo kamzigo kangu(motokali) kamefika 2 months ago hapo, ila mpaka kufikia usawa huu kichaa karibu kitanipanda...
  20. LoyalTzCitizen

    Msaada Malfunctioned USBs & JACKS

    Wakuu nimejitahidi kuwa brave kutatua tatizo hili la Usb ports na Jacks za laptop yangu ambazo zimegoma for some reasons bila mafanikio. Naomba msaada kama kuna mtaalam ambaye amesha come across the same problem au anayejua kulitatua nitashukuru sana! siwezi fanya chochote na imekuwa ikininyima...
Back
Top Bottom