Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa!
Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Huu ulinzi wao umezidi mipaka, unatisha na wala haupo sambamba na hali halisi ya nchi yetu! Kumbuka tu tunasema kuwa nchi yetu ni ya amani na utulivu...
Kampuni ya utengenezaji wa magari ya Ashok Leyland India, imepokea oda ya thamani ya USD 170 milloin kwa ajili ya usumbazaji wa magari na spea toka kwa serikali ya Tanzania. Pamoja na usumbazaji wa magari hayo, Kampuni hiyo inategemea kutoa mafunzo ya aina mbalimbali kwa matumizi ya magari yake...
Ethiopia’s tourism revenue jumped 20.7 percent in 2015 to a record high of $3.5 billion from $2.9 billion in the previous fiscal year lifted by increased number of foreign tourists visiting the East African nation, data from the Ministry of Culture and Tourism showed.
The country’s revenue was...
Mwimbaji Shakira ameingia kwenye rekodi ya Dunia ya kuwa na marafiki/fans wengi zaidi katika Facebook, kuliko mtu yoyote hapa duniani. Jana aliweka rekodi hiyo kwa kufikisha fans milioni 100!
Mara ya kwanza kuingia katika mji wa Arusha ilikuwa ni mwaka 1977, nikitokea mji wa Dodoma, kwa njia ya barabara. Safari hiyo ilichukua jumla ya masaa nane. Nilifika Arusha mjini usiku wa saa mbili. Tulipokfika Ngarenaro mji ulikuwa umajaa taa za mafuta, ukimulika giza la mji huu, kupita dirisha...
Katika World Cup hii Sony wamesema kuwa watakuwa na moving camera za 4K ambazo zina uwezo mkubwa wa kutoa picha bora zaidi ya Camera za 3D.
Kwa wataalamu wa moving camera ni nini sifa za 4K na kuna tofauti gani na 3D aidha ni TV ya aina gani ambayo unaweza kuenjoy iwapo utapata matangazo ama...
AFRICANGLOBE The People of African Descent in Ukraine are passing through difficult times.
The ongoing political unrest has brought about unexpected economic and other crises among most people living in the country. However, the People of African Descent bear the most brunt for obvious...
Item
Total
Number of schools
864
Number of classrooms
3,930
Number of teachers
7,421
Pupils per school
385
Pupils per classroom
85
Pupils per teacher
45
Law of Mother Earth sees Bolivia pilot new social and economic model based on protection of and respect for nature.
Bolivia is to become the first country in the world to give nature comprehensive legal rights in an effort to halt climate change and the exploitation of the natural world, and to...
Imefika wakati wa kujiuliza mara mbili mbili kama kweli Jeshi la Polisi lipo chini ya maslahi ya CCM
Ni vema tukaangalia kwa kina juu ya utendaji wa jeshi hili na hali halisi ya mwananchi wa kawaida hapa TZ, huku tukijiuliza nafasi ya jeshi hili katika usalama wa jumla kwa wananchi!
Hivi ni...
Wale wapinga muungano, leo watafanya sala ya Ijumaa katika viwanja vya Maisara. Tayali mamia ya watu wameanza kukusanyika toka pande zote za Unguja.
Sipo mbali na eneo la tukio, nitajaribu kuupdate yanayojili...
Kitendo cha Rais kwenda kwenye msiba wa Marehemu Kanumba, kimenifadhahisha sana! Na ni kutokana na kuvuruga kabisa uchunguzi wa kifo cha marehemu. Awali lawama zangu zinakwenda moja kwa moja kwa jeshi la polisi kwa kushindwa kuliweka eneo hilo chini ya uchunguzi!
Polisi wameonyesha wazi ni...
Iwapo mtu amefia nyumbani kwake na mwili wake ukabidi kwenda kuhifadhiwa hospitalini, kwa nini haubebwi na ambulance?
Na iwapo utabebwa na kwa njia nyingine yoyote, kwa nini mwili hawaufuniki?
Na wanapofika hospitalini, kwa nini sio wahudumu wa hospitali wanaowajibika kuutoa mwili huo badala...
Tanzania employs the highest form of bureaucratic bottlenecks to the movement of goods and services in the East African Community, a new report shows.
Kenya, Uganda and Burundi follow in that order in imposing administrative and technical requirements that act as obstacles to trade, reveals...
Ni ukweli usiofichika kuwa social network imeweza kuondoa kabisa ile ya habari ya adults, usijali sana kuhusu jukwaa la wakubwa hapa JF, bali jaribu kuangalia njinsi mambo yanayokwenda.. Mfano NN anaovyotongoza vimwali vya hapa JF, na jinsi mijimama inavyotongoza vijana hapa JF. Au angalia jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.