Search results

  1. kibarango

    Ujenzi wa Bwawa la Umeme Rufiji, Je ISO 9001:2015 & ISO 45001:2018 Zilifuatwa?

    Matanzania mengi ni matahira. Mafuriko yako nchi nzima. Mvua wanaziona ila rujifji ndiyo imekuwa kamapeni. Mwanza watunwamekufa mabatin. Dar Es Salaam nyumba, watu na magari vimesombwa. Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
  2. kibarango

    M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Na baada ya hapo wataungana na kuoata nguvu zaidi. Watataka Kigoma, Geita, Kagera na Tabora. Mwezi mmoja uliopita Waziri Biruta wa Rwanda alisema hata Waha wa Tz ni Wanywarwanda Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
  3. kibarango

    M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Hutaki hiyo tafasiri. Jana PK kaulizwa kama anaunga mkono M23 akajibu haoni sababu ya kutowaunga mkono. Thats means anawaunga mkono. Hivyo tafasiri ni kutokana na maneno ya PK. Kama M23 ni nduguzo waambie waache kuuwa raia wa DRC. Africa tumechoka vita za Watutsi. Tangu na tangu kila vita...
  4. kibarango

    M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Majina hayajatajwa. Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekiri kuwa anawaunga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao. Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC. ===== Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye...
  5. kibarango

    Waasi wa M23/AFC walalamika Tanzania kumkamata kiongozi wao aitwae Eric Nkuba na kumkabidhi kwa Serikali ya DRC

    Bro za siku. Nimekumiss madini yako Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
  6. kibarango

    Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

    Mbina kwenye US host hujataja Japan S na Korea Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
  7. kibarango

    Waasi wa M23/AFC walalamika Tanzania kumkamata kiongozi wao aitwae Eric Nkuba na kumkabidhi kwa Serikali ya DRC

    Waasi hao walalamika kuwa Bwana Eric Nkuba alikamatwa katika uwanja wa JK International Airport Dar es Salaam. Mamalaka za Tanzania zilimkabidhi jamaa huyo kwa mamlaka za DRC na huko jamaa kashughulikiwa vibaya na kutema siri zote za waasi hao. Pia ametaja Rais Msitafu J. kabila ni mfadhili wa...
  8. kibarango

    Ni rahisi Wasukuma kudhibitiwa wasiongoze nchi, ila ni upuuzi kuwaza Sukuma Gang inaweza kudhibitiwa isiongoze nchi!

    Wasukuma wako juu kwa sababu ya kuheshimu kazi. Penda uchukue watoa dada zako sababu wanauchumi. Haha nenda kijiji kwenu uone Ng'ombe. Kwa sababu ya kazi. Leo Katavi na Morogoro ni sukuma land. Vijijini huko kuolewa na Msukuma ni bahati hahaha. Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
  9. kibarango

    Ni rahisi Wasukuma kudhibitiwa wasiongoze nchi, ila ni upuuzi kuwaza Sukuma Gang inaweza kudhibitiwa isiongoze nchi!

    Mama yake Nyerere aliitwa Nyangeta jina la Kijita. Mama yake mdogo aliitwa Mgaya na Mgaya Maana yake Msukuma. Very contradictory Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
  10. kibarango

    Ni rahisi Wasukuma kudhibitiwa wasiongoze nchi, ila ni upuuzi kuwaza Sukuma Gang inaweza kudhibitiwa isiongoze nchi!

    Babu tangu yuu na miaka 98. Namuonaga kama amepungukiwa utambuzi kwa umri na afya yeke hukazania mambo mawili kila siku. 1. Rais Nyerere ni msukuma wa Nassa Busega Simyu. 2. Rais mwinyi ni msukuma wa Kayenze, Ilemela Mwanza. Ukimuuliza ufafanuzi hata haelewi. Na Kikwete ni mkwere ali wakwere...
  11. kibarango

    Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

    Hii ndi ndoto. Tangu 2000 hadi leo RDF RPA, RDC CNDP na matawi yake yote hawajawahi kuwa na upper hand mbele ya SADC. Kuna msema kuwa kamanda wenye akili hushinda vita bila kupogana. Hadi sasa M23 na shina lake RDF wamepoteza vita ya diplomasia hii ni hatua ya kwanza katika kushindwa vita ya...
  12. kibarango

    M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

    M23 hawamiliki mji ama kijiji chochote kivu ya kusini. Kama kipo taja. M23 wako Kivu ya Kasikazini yenye wilaya 5. Goma Walikale Lubero Masisi Rutchuru. Kati ya hizo wilaya tano M23 wako wilaya mbili. Masisi na Rutchuru. Na kati hizi mbili hakuna hata moja wanayomiliki kwa silimia 100. Ni...
  13. kibarango

    M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

    M23 ni Jina la RDF wakia DRC. Hivyo number ya RDF ndiyo number ya M23. Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
  14. kibarango

    M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

    Umelewa na propaganda za online. Kwa DRC SADC hawajafanya offensive strick mpaka sasa. Bado wako na deployment na logistics. Note TZ advance team imefika DRC January 26, 2024. Wanafanya assessment zao kumjua adui ni nani ana silaha gani. Na mitindo yake ya mapigano. M23 walijaribu SADC...
  15. kibarango

    Nyerere akiongelea kinachoendelea sasa Congo, Wakongo wanapenda mipaka lakini hawataki watu flani ndani ya mipaka ila hawataki kuwapa nchi yao

    Kwa taarifa yako Tutsi huko DRC hawana ardhi ya kabila lao. Ni kama hapa Tz niambie wilaya ya Wahindi ama Waarabu. Inakadiliwa kwa sasa Watutsi ni kama 200k tu Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
  16. kibarango

    DRC: Rwanda imeingiza mizinga ya kushambulia ndege

    Hali imekua tata. Nika Rwanda inajipanga na all out war. Imepoa tangazo la conscription. Kupeleka vijana jeshi kwa dharula.
  17. kibarango

    DRC: Rwanda imeingiza mizinga ya kushambulia ndege

    Kwa mjibu wa gazeti la Le Monde la huko Ufaransa linataja Jeshi la Rwanda RDF kuingiza vifaa vya kutungua ndege na drone kusaidi waasi wa M23. Ikumbukwe kwa sasa wanakabiliana na majeshi ya Kongo na SADC na sehemu kubwa ya jeshi la nchi kavu la SADC likiwa na askari toka Tanzania hii kwangu...
  18. kibarango

    Ili kumaliza migogoro inayoendelea Congo, inabidi malalamiko yote ya waasi yasikilizwe

    Lengo la Watutsi ni kupata Mikoa ya Kivu kusini na kivu Kasikazini waitawale. Kisha wampindue rais Mhutu wa Burundi. Akifika hapo wamege Magahribi wa Tz hilo eneo la Kivu Burundi Rwanda na Magharibi ya Tz ndiyo wanataka liwe taifa lao. Jumlisha kusini Magharibi ya Uganda. Genocide na FDRL ni...
  19. kibarango

    James Kabarege na team ya Rwanda wako Zanzibar siku 5 kabla ya Mapinduzi day

    Leo nimemuona Rais wa Rwanda akiwasili Mapinduzi Day Zanzibar. Siku tano nyuma kwenye match ya football niliona Waziri na Mkuu wa majeshi msitafu wa Rwanda Bw James akiwa uwanjani Amani Stadium akifuatilia Match ya APR Vs Mlandege na ile ya Simba Vs Singida BS. Kunusa nusa nikabaini Rwanda...
  20. kibarango

    DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

    Wapeleke Zanzibar kwanza
Back
Top Bottom