mwulize mamakoMbona hamna amani? Si mshapewa idhini na mmewapa kila kitu sasa unahangaika nini?
Hivi wanawake waliopita menopause hupata joto pia?
Imagine asubuhi yote hii umeamka na DP world kulikoni? Si mlipitisha azimio kwa kishindo kipi kinakuwasha tena?
Afterall huyo unaempambania yakiharibika hana cha kupoteza atakimbilia kwao Oman wewe utaenda sagika kula mbilimbi Maneromango uko hovyo sana!
Heko.Bi Mkubwa hamna mpingaji mkisahihishwa siyo kuwa mnapingw, mnapewa challlenge mfanye vizuri zaidi.
Hii kampuni inaeleweka sana, no disputing, don’t bring a wedge kwenye itikadi na imani, sote tunaijua Dubai, it is a modern city na uendeshaji wake ni western oriented, kwa hiyo siyo kitu kigenI. Dubai hakuna mafuta na Ndiyo maana wana flamboyantly Emirate Airways, DP World; etc etc
Sema Samia siyo Sukuma gangHao maharamia wakiarabu wana kesi kila taifa walipowekeza, kwani huko kote kwenye hayo makesi waliyofunguliwa hakuna mabinti wakuelezea teknolojia ya kushusha mizigo? Jiheshimu.
Samia ni shetani msaliti.
Ni warundi hawa wanataka kutuletea fujo za kwao,Mbona Sukuma gang ndiyo wana makasiriko sana
Wapeleke Zanzibar kwanzaDP World wapo Dar, sasa hivi wameshaanza kuweka sawa mifumo ya TEHAMA.
Unafahamu kuwa Dubai ndiyo nchi iliyoanzisha kitu kinaitwa E Government kwa asilimia kubwa na mafanikio makubwa duniani? Wanatisha kiteknolojia.
Sasa wanauleta ujuzi wao Tanzania kwa kishindo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
We Kibibi tuache na Tanganyika yetu tafadhali. Endekea kula Tende kwa raha zako.Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾
Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI:
Hi
Jina langu ni Amna Ghanem.
Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa na DP World, mojawapo kati ya bandari zenye shughuli nyingi Zaidi (busiest) ulimwenguni.
Unashuhudia hapa teknolojia ya hali ya juu ambayo imesaidia sana kubadilisha njia za kupakia na kushusha makontena kwenye meli.
Tunaanza na mafunzo kwa kutumia “simulators” zinazoonekana kama kitu halisi. Baada ya mafunzo ya wiki mbili kwenye “simulators” mwanafunzi anakuwa tayari kuanza kazi. Udhibiti wa mbali (remote) unaturuhusu kuendesha kreni (cranes) kutoka umbali wenye usalama kwa kutumia “joysticks” na vifungo badala ya kupanda mita 50 za ngazi kwenda juu ya kreni. Kamera zenye Vihisio (sensors) hukimbiza data kwa njia ya mtandao, ambao unatupa usalama kwa kutywezesha kufanya kazi kwa mbali lakini kama tupo karibu, chini ya vyombo hatari.
Kila siku nikifika hapa DP World naendelea kujisikia kuwa na msisimko wa kazi kwani kila kitu kinabadilika kwa haraka sana, hakuna kitu kinachooneka kipo vilevile kila kukicha.
Ushauri wangu (kwa kijana mwenzangu) ni kulenga kwenda kwenye kazi zenye ugumu, usiende kwa ajili ya wepesi wa kazi, kazi zenye ugumu zitakufanya ujielewe na kujijua wewe ni nani.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Pambana mtaan kumechafuka hali tete! Pesa hakuna hivyo shikilia hapohapo kikubwa mkono uzame kinywani!!Kwa wataopedelea kusoma kwa Kiswahili kinachoelezwa kwenye post #1, warudi post#1 nimeweka tafsiri kwa msaada wa AI.
Mama anaupiga mwingi kimataifa.
Wewe ni mjinga sana.AlhamduliLlah, usimtishe Muislam kula.
Tunafahamu mtowa rizki ni nani.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.