Search results

  1. Mfagio

    Kiwanda cha kutengeneza rainboot (Danlop) kiko wapi?

    Msaada kwa anayejua kilipo kiwanda cha kutengeneza rain boot (wanavyotumia wakulima) kwa hapa Dar es Salaam. Natanguliza shukran.
  2. Mfagio

    Computer4Sale Desktop inauzwa bei nafuu

    Hdd : 1TB. Location : DSM. Price : 700,000.
  3. Mfagio

    Msaada wa mawasiliano Himo industry

    Naomba msaada wa masiliano ya kiwanda na Himo industry kinachotengeneza vifungashio.
  4. Mfagio

    Computer4Sale Dell optiPlex 3080 ipo sokoni

    Type : Desktop Brand:dell Intel:core i5 10G Clock speed:3.2G Hdd: 1TB Price : 500,000 Condition: new Location Dar.
  5. Mfagio

    Msaada maswali ya programming/ Developer

    Naomba msaada wa maswali ya programming/Developer wanayopenda kutoa utumishi kwenye mitihani yao , naomba kutanguliza shukrani.
  6. Mfagio

    Msaada wa connection za kazi za ICT

    Mimi ni kijana wa 25 mkazi wa mbeya mjini .nimemaliza chuo kwa levels ya degree nimesoma ICT katika iyo field niko vizuri kwenye database ususani katika oracle na mysql katika kufanya designing (ERD) na Database administration. Kwenye programming language ni java, java scripts, php na python...
  7. Mfagio

    Computer4Sale Pata PC kwa bei sawa na bure

    Nauza pc aina ya Toshiba satellite C50-B930. Specification Ram 4GB HDD 500 CPU dual core Inakaa na charge Karibu sana
  8. Mfagio

    Ushauri wa haraka unahitajika

    Mimi ni kijana wa miaka 25 nilikuwa nakaa kwa kaka yangu ambaye nilikuwa na msaidia sana kazi za shamba na nyumbani, tatizo likaja mimi nililima shamba kama ekari 1 bila kumwambia sasa ajakugundua baada ya kukundua kanyangasha langu pia sikatai kuwa rasilimali zingine nilikuwa na chukua shambani...
  9. Mfagio

    Natafuta kazi

    Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya IT nina uwezo mkubwa katika maswala y a DATABASE, NETWORKING NA WEB DESIGNING. Natanguliza shukrani Namba yangu ya simu
  10. Mfagio

    Tuzijue alama za kwenye noti zetu

    Jamani kila siku tumekuwa tukitumia noti zetu katika shughuli mbalimbali ila watu wengi tumekuwa hatujui maana ya alama zilizopo kwenye hizi noti,basi kwa yoyote anayejua maana ya hivi alama kwenye noti zetu haweze kutujuza
  11. Mfagio

    Naomba msaada ipi comb nzuri kati ya HGL na HGE

    Jamani naomba msaada kati ya hz comb mbili ipi ni nzuri
Back
Top Bottom