Search results

  1. bagabe

    Mrejesho: Nataka Kumuacha, sina pa kuanzia

    Wakuu hatimaye nimefikia uamuzi wa kumuacha rasmi baada ya kuishi nae almost miaka mitano..Rejea uzi nataka kumuacha ila sina pa kuanzia. Ipo hivi; Nilileta kisa humu ndani kuomba ushauri juu ya binti fulani nimeishi nae 5 years ila nilipotezea hisia nae na kuhitaji kuachana nae.Wapo...
  2. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Wakuu kuna binti nimekua nae kwenye mahusiano almost miaka mitano. Tumepitia changamoto nyingi kwenye maisha lakini still tuko pamoja. Sababu kubwa iliyonileta hapa ni kuomba ushauri wenu ndugu zangu juu ya hili suala. Huyu binti nimeshatoa barua kwao ilibaki mahali tu ili nifunge nae pingu za...
  3. bagabe

    Naishi naye bila hisia

    Wakuu nimeona nilete hii case Kwenu wana jf ili muweze kunishauri nini cha kufanya. Ipo hivi; Kipindi namaliza chuo miaka takribani 6 iliyopita huko kanda ya ziwa nilikutana na msichana mmoja(mpole,mzuri kiasi,ana shape imekamilika,kiufupi anafaa) katika mazingira fulani tukabadilishana namba...
  4. bagabe

    Watoto wangu wote hufariki baada ya kuzaliwa au mimba kuharibika

    Wakuu poleni na majukumu ya kujenga nchi.. Nimekuja kwenu kama mwana Jamii Forums nikiwa na uzoefu wa takriban miaka 10 na huu mtandao wetu pendwa unatusaidia kwenye mambo mbalimbali kwenye maisha. Nipo mkoani Dodoma kwa sasa ambapo nafanya biashara zangu na kupata riziki. Nikiwa kama kijana...
  5. bagabe

    Simiyu: Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa Mwanza

    Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu. Mkuu wa Wilaya ya Busega (DC), Gabriel Zakaria amethibitisha kutokea...
  6. bagabe

    Yaliyonikuta 2021

    Mwishoni mwa mwaka jana muda kama huu nilipata msichana nikafahamiana nae na kufanya nae mapenzi kwa mara ya kwanza na kupata ujauzito.Alinitafuta ili anipe taarifa bahati mbaya sikua hewani kwa siku kadhaa,nakuja pata taarifa tayari ni mwaka mpya 2021 kua ana ujauzito wangu wa wiki kadhaa...
  7. bagabe

    Nahitaji usafiri wa kusafirisha mizigo Dar-Mbeya

    wakuu..wapi ninaweza pata usafiri wa kampuni yeyote ya kutuma mizigo toka Dar kwenda Mbeya iwe lori au usafiri wowote rahisi..mizigo hiyo ni vitu vya ndani k.v fridge,masofa,kitanda etc..Naombeni msaada wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. bagabe

    Nimeambiwa ana ngoma

    wakuu leo nilikua kiwanja fulani hapa kitaa na washikaji tukipata 1 moto 1 baridi...katika zoezi hilo kuna mhudumu mmoja alimfata jamaa yang kipind naangalia mpira ye akipiga vyombo kua ananielewa...nimemaliza kuchek mech nikakuta kidem kinanisubiri...nikaongea nacho tukajuana then nikamwambia...
  9. bagabe

    Mtu kufariki punde baada ya kuonana au kuongea na wewe

    Wakuu hii ni mada maalumu kwa wale wote ambao wamekutana na mkasa wa kuondokewa na mtu awe ndugu,jirani,rafiki au mtu yeyote kwa njia yeyote k.v.ajali,maradhi,n.k mara tu badaa ya kuonana au kuongea na wewe. Mimi nakumbuka pindi nipo form5 kuna jamaa yangu wa karibu sana huko nyumbani alikuwa...
  10. bagabe

    Ajali Mbinga-Ruvuma: Gari lapata ajali na kuua Padre mmoja na Makatekista sita

    Ajali Ya gari lililobeba wanafunzi wa shule ya CTC huko Mkoani Ruvuma, Wilayani Mbinga, Kijiji cha Kigonsera lateketea kwa moto baada ya kupata ajali. Inasemekana watu wapatao watano wamefariki na wengine kuungua vibaya akiwemo mmiliki wa Shule. NB:AJALI HIYO IMETOKEA JIONI YA LEO WANAFUNZI...
  11. bagabe

    Kupima HIV inahitaji moyo

    Wajemeni katika vitu vigumu kufanya kwenye maisha ni kupima HIV/UKIMWI hasa ukiwa hujatulia michepuko mingi, miezi ya juzi kati nilifululiza kupiga papuchi, nilikaa kwa mda nikaona bora nikacheki afya yangu hospital. Wakati nasubiri majibu nilikuwa natetemeka sana kwa woga hadi pale dokta...
  12. bagabe

    Nitapata lini!

    habari zenu wana mmu! Kuna binti nimeanza nae mahusiano kama mwezi uliopita.Katika maongezi yake ameonyesha ugumu kwenye suala la kufanya mapenzi ikiwa alishaniambia kuwa ni bikra.Naombeni mnisaidie ushauri ili niweze kufanya nae mapenzi maana nina mzuka na pakutolea hakuna zaidi yake
Back
Top Bottom