Search results

  1. Gigo

    SoC02 Ile ndoto

    'Mama Kibandiko Unajua kupika kila kitu!'-" Pishi la Leo Maharagwe tena yame changanywa na Tui la Nazi!!'. ..."Basi Shibe yangu imekua Balaa". "Huwa nahisi raha Sana, pia najisikia Amani kula Chakula kilicho pikwa na Mke Wangu"- Nakumbuka nilimsifia Mkwe wangu kwa maneno hayo Mara Badaa ya...
  2. Gigo

    UBUNIFU FLANI OLD SCHOOL

    Unaonaje - unasikia aje ? Tatizo Ni Nini?
  3. Gigo

    LimbeArts

    www.reverbnation.com/limbe
  4. Gigo

    Just have a look about populism.

  5. Gigo

    Je, unamiliki kifaa gani cha zamani na bado unakitumia?

    Hapa natarajia Baiskeli ya swala inahusika!
  6. Gigo

    Kwanini JK Hakwenda China?

    Nilivutiwa sana nafunguzi wa Mashindano ya Olympic!!!! Leo tarehe 8 mwezi wa 8 mwaka 2008..Huko China.. Bush..Raisi wa Marekani alikuwepo! Raisi wa Congo alikuwepo,!!!... Raisi wa Ufaransa alikuwepo ......Shangaa... ati Jakaya Mrisho Kikwete Hakuwepo!!!!....Hii ni nini?..... Nilipoteza...
  7. Gigo

    Ufisadi Na Utandawazi….

    Mafisadi wametoa mchango Mkubwa katika kutoa Elimu na Ufahamu kwa vitendo!!! Elimu hii iame enea kwa watu wengi kwa pamoja kwa kasi hari katika zama hizi za UTANDAWIZI….Ufahamu wa Dunia ya sasa, yenye ndoto mpya na jehanamu Yenye Utapeli wa kisasa , Mafisadi wamezusha-Maswali Endelevu!! Hii...
  8. Gigo

    Pongezi Kwa Waziri Membe!!

    Pongezi Kwa Waziri Membe!! Niefurahi sana Waziri wangu wa mambo ya Nje Mheshimiwa Membe!! kwa jinsi alivyo sema!! >Ati….. Mugabe ame Funga goli la kuotea!! ……….***! Fantastic ever thought before!! Ni kweli!! Tanzania sasa ina panda !!!!! SORRY inapenda mpira wa miguu!! Na Bora iwe...
  9. Gigo

    BARUA YA WAZI –kwa Mheshimiwa Lowasa! C/o Mizengo Pinda

    Lowasa… Mambo vipi? Hivi unafikiri Mkapa na Chenge wana hisi nini?... Ok!!........mmmmh!Samahani SANA- ….. Nimekosea, nilipaswa nianze kwa kusema- Shikamoo!! Kama ilivyo kawaida na*destuli yetu… Ukizingatia,…….mmmmh!! - na- ni - ukweli kabisa!! Mimi ni Bwana mdogo..waweza kua ni Babu...
  10. Gigo

    Mugabe ana kichaa!!

    Mi nafikiri Mugabe alikua anafuata mkumbo...tu..Kwamunonekano wake!! ni dhahili kabisa anakichaa!!!..au malaria sugu!!..Na hii yote imesababishwa na marafiki zake wa karibu kupoteza kabisa Dira ya yale walio kua waki yazungumza ujanani..!!yawezekana walimfundisha ushujaa kabla topic haija isha...
  11. Gigo

    Kumbe Babu ataka Kusena ....Yupo sawa?...............

    I will die poor rather than stealing from Tanzanians through fake contracts and dubious ownership of Tanzanians' Natural Resourse... Vipi yupo sawa? Ima naana ana akili zaidi Ya Mzee Nwana kijiji?
  12. Gigo

    Lowassa aandika Kitabu

    Ina shangaza Siku zina pita...nyie kama viongozi Bado Hamuonyeshi upendo kwa wananchi wenu Wanao wachagua..Hamchangii vizuri fikra zenu Kama inavyo stahiki... Hai vuutii kwa kiongozi kama wewe Kujitetea Hovyo hovyo kama una vyo fanya...Mimi bado nina amini ulitapeliwa...sema ukweli Lowasa...
  13. Gigo

    Ujinga Ni Nini?

    Rushwa...wizi...!? Japo elimu sio wingi wa vitabu ulivyosoma !!bali hata Ufahamu Ni Roho (spirit) uliyozaliwa nayo ...sasa Inapokuaja kwenye tuwe Ujinga!? wajinga?..Nataka kujua zaidi! Hivi Ujinga ni nini?
  14. Gigo

    Mzee-Mwanakijiji,....... Yupo sawa?

    Mwanakijiji Yupo sawa, japo sina uhakika..Kwasababu -bado sina muda mwingi wa kusoma Post zake zote kwa uzuri..Ila nina amini akili yangu ! katika kutoa maamuzi ya nini niseme au nini nisiseme labda mpaka baadae.. Hapa nina mzungumzia Mwanachama mwenzetu wa JF -Mzee-Mwanakijiji Nina...
  15. Gigo

    Umasikini ni nini?

    Kama Mswahili-una Akili kiasi hiki.basi tuanze Kuona Mafanikio- tumechoka kusubiri-! Lakini,Hatuwezi kuendelea kwa Kasi hiyo..Twendeni 'hatua kwa hatua'-Tutengeneze mambo ya msingi-Ulinzi na Usalama- Hapo-nikiwa nina maanisha Elimu yetu-Ufahamu wetu,Lugha yetu,Sisi na wenzetu!,Upendo wetu,Amani...
  16. Gigo

    Hotuba ya Waziri Wa Michezo

    Ndugu Wananchi... Napenda Kuchukua Nafasi hii Kuwatoa majonzi Makubwa !! Yalio Tukumba!! Lakini Ina weza Ikawa sio Majonzi Bali Ni kama Jambo la kushangaza...Pamoja na kwamba Msumbiji Ime tu kwamisha Kwa goli moja tu,- Lililo tufanya tushindwe Kuendelea na furaha yetu Ya ushindi wa...
  17. Gigo

    Ugonjwa wa Tetekuwanga (Chicken Pox): Maambukizi, dalili, madhara na tiba

    Kuna jamaa yangu ameugua ugonjwa wa tete kuwanga.Na yeye ni zaidi Ya miaka 14 sasa naona ameshamuambukiza kaka yake mwenye umri wa zaidi ya miaka 24. Nimepata wasiwasi huenda anayefuatia kuugua ni mimi,lakini nilishawahi kuugua kabla. Je, naweza kuugua tena kwa mara ya pili? Je, nini kinga na...
  18. Gigo

    Kitabu Gani uli-kisoma week hii?

    Nitajie Jina la muandishi, jina la kitabu........ au ...unafikiri kime-kusaidiaje? Una weza kikanivutia na mimi nika kitafuta kukisoma!! hii ni seehemu ya kufaamiana...
Back
Top Bottom