Issa Shivji: Rais Kabila ameonesha nia ya kujiunga na EAC

Kabila hatakiwa kule DRC. Wacongoman wanamhitaji kwa udi na uvumba Moise Katumbi. Huyu naye ni dikteta uchwara tu hanana lolote.
 
Sababu saivi Tanzania tuna maslahi manono na Congo muasisi akiwa Kabila basi atawale tu mpaka tutekeleze mipango yote.



Mafuta ya congo atapitisha katika bomba linalokwenda Tanga
Akija rais mwingine atapitisha kenya,bora huyu huyu tu
 
Hii jumuiya itakuja kuwa moja ya jumuiya za kikanda ambayo ni mfano mbovu zaidi duniani kutokana na kuwa na marais wanaong'ang'ania madarakani.
 
Back
Top Bottom