Search results

  1. MANI

    Mkandarasi atishia kusitisha ujenzi terminal 3

    Siku za hapo nyuma tulielezwa kuwa mkuu baada ya kufanya ziara ya gafla na kumtumbua yule mama wa hazina alitoa maagizo madai ya kampuni ya bam yalipwe. Sasa mbona leo kwenye taarifa ya habari saa mbili azam tv, kuna habari kuwa mkandarasi ametoa notisi ya kusitisha ujenzi. Swali la kujiuliza ni...
  2. MANI

    Maji poa safari rally

    Kwa wale wadau wa mashindano ya magari jumapili hii waliyani kisarawe kutakuwa na mbio za magari ya maji poa rally mnakaribishwa.
  3. MANI

    Jamani kuna ukweli!

  4. MANI

    Kiwanda cha magondoro (Comfy) chaungua

    ndugu wana bodi moto mkubwa umetokea kiwanda cha magodoro comfy chang'ombe. Updates to come!
  5. MANI

    Elections 2010 Kuelekea uchaguzi 2010: Tanzania tunahitaji viongozi bora na si bora viongozi

    Wana jamvi, katika kipindi hiki ambacho tunaelekea uchaguzi mkuu watanzania hatuna budi kutafakiri kuwa tumetoka wapi,tupo wapi na tunaenda wapi.Maana ya kusema kuwa tunahitaji viongozi bora na si bora viongozi ni kutokana na kuwa nchi yetu iliacha kuwa na viongozi bora baada ya kuvunja azimio...
  6. MANI

    Elections 2010 CCM wanategemea kura za nani kushinda uchaguzi?

    Jamani Waungwana wezangu mimi nashindwa kuelewa matamshi ya viongozi wakuu wa CCM kuelekea uchaguzi mbona hayaendani na chama kinachotegemea sanduku la kura kupata ushindi. Mwenyekiti wao alisema hahitaji kura za wafanyakazi kwa hiyo hawezi kuwaongezea mshahara hata kama hawatampigia kura, jana...
  7. MANI

    Kiwanda cha karatasi mgololo kimefungwa?

    Wanajamii kama kuna yoyote mwenye habari juu ya kiwanda hiki cha karatasi Mgololo atueleze kwani kuna uvumi kuwa kimesimama uzalishaji karibu mwezi sasa kutokana na kutokuelewana kwa bei ya magogo na wizara ya misitu.
  8. MANI

    HI

    Hello wana jf, Wakubwa wangu shikamooni na rika langu hali zenu, nipokeeni ili tuchangie pamoja.
Back
Top Bottom