Maji poa safari rally

MANI

Platinum Member
Feb 22, 2010
7,320
6,376
Kwa wale wadau wa mashindano ya magari jumapili hii waliyani kisarawe kutakuwa na mbio za magari ya maji poa rally mnakaribishwa.
 
Je yanaanzia wapi na mpaka wapi na washiriki magari mangapi? Pls nicheki ktk namba hii 0713425729 yaani mm ni mkeleketwa wa mchezo huo ya mwezi wa saba nilikuwepo bago to talawanda mpaka rugoba
 
Je yanaanzia wapi na mpaka wapi na washiriki magari mangapi? Pls nicheki ktk namba hii 0713425729 yaani mm ni mkeleketwa wa mchezo huo ya mwezi wa saba nilikuwepo bago to talawanda mpaka rugoba
route sijaipata lakini leo asubuhi wanayakagua golden tulip hotel na kesho yatakuwa huko kisarawe kwenye section kadhaa.
 
Duh mashindano yameisha
1474812568571.jpg
 
Bila kusahau kijana wetu wa Tanga Toto tundu
1474812691336.jpg
 
Back
Top Bottom