Ukiniuliza kiongozi gani unampenda mimi bila ya kupepesya macho nitakutajia Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!
Swali; Kwanini unampenda Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!
Jibu;
Nampenda kwa sababu zifuatazo
Nikiongozi wa Nchi...
Kwa mtazamo wangu bila kwenda mbali, nikwamba Islael kashindwa vita! alichobaki nacho ni War Madness!. Amebaki kupiga huko na huku akiua watu wasiyo na hatia akidhani anawaua watesi wake, kitu ambacho siyo! Mji wa mwisho kuuteketeza utakuwa ni Rafah, lakini nako ataambulia patupu na mateka...
Ndomaana Mayahudi yameweka mkia tumboni mamakke walijua kitakachofuata ni moto na nahisi wamejipima wakaona kina ni kirefu maana hata Bwanake alisema ukiyatimba mimi siji kukugombelezea!!!
Huyo ndiye muajemi katika vitabu vitakatifu katajwa kama taifa lililokuwa na nguvu sana! Hawakuwahi kushindwa vitya na inasemekana kuwa ndilo taifa pekee lilikuwa na wahandisi wengi na wenye vipaji yawezekana kila unachokiona middle east to Cairo walijenga wao!
Hii match unarudiwa kwa ustadi mkubwa pia na Israel anawaza jinsi yakuanza USA anaona hii vita siyo ya kwenda kizembe pale kuna Nuce war head aipigwi na air difence systems
Unakuchaa nenda milembe siyo bure Iran kateketeza maeneo muhimu vituo vya nishati vituo vya kijeshi,pia Drone zina kwenda 180+/mph halafu unasema zinaanguka hiyo iliyoanguka Jordan ilitunguliwa na US Navy wenye base hapo! Au wewe unasikiliza vyombo vya kidini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.