Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni .sehemu nyeti kama hizo huwezi kusikia rocket au bomu limepita.

Iran katuacha vinywa wazi jumamosi iliyopita baada ya kupitisha Ballistic missiles juu ya Bunge la Israeli siyo kitu cha kawaida.

Ushauri wangu hii ni dharau kubwa sana kwa taifa kama la israeli hatua za haraka sana tena za nguvu zitumike kuijibu Iran kwa kitendo hiki ambacho hatujaona kikitokea katika nchi zingine mashuhuru hapa ulimwenguni (japo Israel ni nchi ya mchongo).

View attachment 2966784
Kuna Raha yake ata ivyo mnaendesha bunge huku mnasikirizia milindimo ya mizinga juu👍
 
Akina Netanyahu na war cabinet wanapsawa kupelekwa rehab maana naona wamepata psychological torture kutoka kana na hii hali

Huku huudhi.huku hamas .
Huko lebonon huku irana inawapapasa hadi makalio ukisikia kuchangamyikkwa ndo huku sasa. Na matelka hawajaptikana
War cabinet wanavikao sasa hv hii inaenda wiki vikao haviishi lakini lile shambulizi lingekuwa limefanywa na syria au hamas saa hz washaanza mashambulizi ya kulipiza kisasi hila kwa Iran vikao km vya harusi
 
Hapo ndoo pabaya kuliko bunge, huyo Israel atulize mshono,ataumia? kwahiyo angeamua yasheke kwenye vinu yangeshuka hapo hapo?
Angalia basi.Israel wamekubali Barabara ya kurukia ndege na ndege moja na jengo Iran ililodhania lina vifaa vya kijeshi vyote vilipigwa kwa kulengwa shabaha kutoka Iran,za idi ya kilomita elfu kutoka hapo.
1713436798897.png
 
Huyo ndiye muajemi katika vitabu vitakatifu katajwa kama taifa lililokuwa na nguvu sana! Hawakuwahi kushindwa vitya na inasemekana kuwa ndilo taifa pekee lilikuwa na wahandisi wengi na wenye vipaji yawezekana kila unachokiona middle east to Cairo walijenga wao!
wanahisabati waislamu ambao hizo habari za anga wanazoringia Israel na Marekani walikuwa na uhusiano na eneo la Persia ingawa walikaa zaidi Iraq.
Marekani wanapopiga Iraq,Iran na Syria wana malengo zaidi ya vita,Ni kutaka kuficha historia kwamba waislamu walijua vyote wanavyovijua sasa karne kadhaa kabla ya wao.
 
Kila baruti lilidakwa juu kwa juu. Iran bado.
imagine mifumo ya ulinzi inadaka baruti!!!hiyo mifumoina shida sana,na kweli Iran ilirusha makombora mengi feki ili kuuweka bize mfumo huo wa mchongo wa ulinzi huku yale makombora ya kweli yapate kupiga kwenye target,sasa Iran wangekuwa siriaz siku ile leo si tungekuwa tunawaombeleza wateule wa mchongo???
 
Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni .sehemu nyeti kama hizo huwezi kusikia rocket au bomu limepita.

Iran katuacha vinywa wazi jumamosi iliyopita baada ya kupitisha Ballistic missiles juu ya Bunge la Israeli siyo kitu cha kawaida.

Ushauri wangu hii ni dharau kubwa sana kwa taifa kama la israeli hatua za haraka sana tena za nguvu zitumike kuijibu Iran kwa kitendo hiki ambacho hatujaona kikitokea katika nchi zingine mashuhuru hapa ulimwenguni (japo Israel ni nchi ya mchongo).

View attachment 2966784
Iran wamedhihirisha kuwa wanaweza.
 
Aahaaa
 
Back
Top Bottom