Search results

  1. John Sule

    SoC04 Umuhimu wa mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi, Mashirika ya Umma

    Hapa siyo tu tunaibua bali mawazo hupatikana hapa, Nadhani hata JamiiCheck.com imetokea hapa kama sikosei🤔
  2. John Sule

    SoC04 Umuhimu wa mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi, Mashirika ya Umma

    Ni wazo zuri, mimi binafsi nimelipenda ila najua ni refu kimaelezo na hapa hujamaliza kila kitu....fanya likitoka hapa lipeleke kwa wahusika kupitia njia rasmi litafika tu kwa wahusika.
  3. John Sule

    SoC04 Umuhimu wa mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi, Mashirika ya Umma

    Kwenye kuhusu usalama pia watawekwa watu wa Cybersecurity kuulinda huoo mfumo, kuhusu uwajibikaji kwa maana wanaouendesha nao ni watu, ndiyo pale unakuja na swala la uwazi kwenye huo mfumo...
  4. John Sule

    SoC04 Uzinduzi wa awamu ya Nne wa Shindano la Stories of Change 2024, Zaidi ya Tsh. Milioni 50 Kushindaniwa

    Hapa shida siyo uandishi bali ni wazo bora, unaweza ukawa mwandishi lakini usiwe na wazo bora🤠
  5. John Sule

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    You guys promoting porns now.....🤔😎
  6. John Sule

    Uchumba wenu ulichukua muda gani Kabla ya ndoa?

    Uchumba sugu🤣😂😅
  7. John Sule

    Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Na wao wakiji huku kwa passport itakuaje?
  8. John Sule

    Wazanzibari ni wazalendo wa nchi yao ila Watanganyika sijui tuna matatizo gani!

    Swali uzalendo ni nini? Kigezo kipi kimekufanya kusema Watanganyika siyo wazalendo kuliko watu wazanzibari? Uzalendo wao ni upi?
  9. John Sule

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Shida hawa jamaa wakitoa ripoti ya madai haiwagi clear inauacha umma na maswali mengi...
  10. John Sule

    Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

    Acha imani za kishirikina nenda Church kama mkristo..... au Msikitini kama Muslim mrudie mungu wako achana na imani potofu🙌🙌🙌🙌
  11. John Sule

    Je, ni sahihi mambo haya kufanywa na wanandoa?

    Hoja nyepesi sanaa hizii..... Embu ngoja uingie kwenye ndoa utajionea mwenyewe "Mapenzi hayana mwalimu" vile vile ndoa haina mjuajiiii kila mtu anaangukia puaaaa! Ndiyo maana wenzetu wa ulaya na marekani kuna ndoa za aina tofauti tofauti ili kuondoa hivi vitimbwi vya ndoa...."NDOA NDOANO".
  12. John Sule

    Kwa Bajeti ya Tsh. 50,000 napata wapi chumba standard Dar es Salaam?

    Ataangalia mwenyewe kama anataka kukaa karibu na mjini TANDALE inamfaaaa, nje ya mjini ni MBAGALA
  13. John Sule

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Kazi yake ni kufanya mambo ambayo wana-ccm wengine hawawezi kuyafanya, ambayo ni yale kutoa kauli zenye utata na muksheliii kwa umma
  14. John Sule

    Huu muonekano wa neno GOOGLE leo una maana gani?

    Hujui kusoma hata picha huoni??😳🤣 hiyo michoro imekaa kilama ya maandishi yenye maana ya "GOOGLE"
  15. John Sule

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sichezei pesa kwa kuweka pesa! Betting ni kuchezea hela kwenye pesa🤠
  16. John Sule

    Kwa Bajeti ya Tsh. 50,000 napata wapi chumba standard Dar es Salaam?

    Mbagala, Tandale n.k huko kwa 50,000/= unapata chumba kwa hiyo bajeti yako.
Back
Top Bottom