Habari wadau wa Jf,
Mhe. Diwani wa kata ya Kilomeni Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro ameagiza Miche 34,000 kutoka kituo cha utafiti wa Kilimo Lyamungo kwa lengo la kufufua Kilimo hicho! Kilimo cha buni aina ya Arabica kilishamiri mkoani hapa miaka ya 90 kurudi nyuma.
Hata hivyo...
Nadhani hamjambo members wote!
Kuna kero kadhaa zinajitokeza sana kwa sisi tunaotumia mtandao wa AIRTEL.Kwa upande wa vifurushi vyao kuna kifurushi cha dakika 280 kwa SAA 24 ,Kifurushi hiki kina airtime fupi lakini dakika nyingi.
Mimi nawashauri angalau kifirushi hiki kiwe cha SAA 48 ili...
Habari za jioni ?
Wapendwa natumaini saa hizi mmepumzika baada ya kazi za ujenzi wa taifa.
Twende kwenye mada ,mapema jana niliona nipakue app ya PSSSF KIGANJANI kwa ajili ya kunirahisishia mawasiliano na mfuko wetu wa PSSSF .Kwenye profile yangu nimekuta jina limekosewa.
Niliwaandikia...
Wakuu habari za leo?
Naomba kuuliza endapo kundi la damu linaweza kusababisha mwanamke au mwanamme kuwa mgumba. Naamini wataalam hapa jukwaani watasaidia kutoa majibu sahihi.
Samahani kama unaona huna msaada unaweza kuupita huu uzi, badala ya kutoa kejeli.
Karibuni kwa mjadala[emoji120] .
Idadi kubwa ya binadamu siku hizi wanatumia condoms.
SWALI: (1)Je magonjwa niliyoyataja hapo juu yapo au yameshatokomea kama ugonjwa wa ndui?
(2)Kama yapo ni nini kinachochangia kuwepo kwa kuzingatia kuwa mipira inatumika kujikinga na UKIMWI.?
Wadau kumeibuka tabia siku hizi ya kuwalaumu walimu kuwa walifeli mitihani kwa ngazi zote form four kwa wale wa shule za msingi na form six kwa wale wa sekondari.Siku hizi hata watoto wadogo wanarusha madongo kwa walimu. Hivi ni mapungufu ya walimu wetu au mfumo m,bovu wa nchi yetu wa maandalizi...
Watoa huduma wa Vodacom Vifurushi vyenu ni vizuri.Rekebisheni utaratibu wa kumtaarifu mteja salio la kifurushi.TOENI KIPENGELE CHA NDUGU MTEJA UJUMBE UMEPOKELEWA UTAPEWA UJUMBE HIVI PUNDE , NA BADALA YAKE ONYESHENI SALIO LA KIFURUSHI MOJA KWA MOJA MTEJA ANAPOOMBA.INAKERA. UNAAMBIWA HIVI PUNDE...
Wadau naomba msaada,Nina mwanafunzi wa first year hana chumba na anahitaji kuchangia chumba na mwanafunzi yeyote atakayejitojeza.Kama yupo aweke mambo hadharani kwenye jukwaa letu hili.
Kila la kheri.
Wanajamvi kulingana soko la ajira kujaa sana nisaidieni.Kijana wangu amemaliza Diploma in nursing August mwaka huu.Kwa anayefahamu hospital ya mission iliyopo MOSHI,ARUSHA JIJINI au TANGA yenye nafasi ani-PM. U
Jamani wanajamvi ,Kwa yeyote anayejua ukweli kuhusu hawa wataalam wa mtaani waliozagaa Masokoni na kila mahali mitaani anijuze .Wanapima kwa utaratibu ufuatao:
(1) Kipimo kinawekwa kwenye kidole mkononi halafu anakuambia una ugonjwa wa moyo, figo na mengineyo.
(2) Baada ya vipimo matibabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.