Search results

  1. HARUFU

    Muwe makini sana, yamenikuta

    Mwaka mmoja uliopita ilinilazimu kufanya shoo ili nijipatie pesa. Nilipomaliza kupafomu nikiwa natoka ukumbini kuelekea nyumbani kumbe nyuma yangu kulikuwa na Mrembo akinifuatilia tokea nlipokuwa jukwaani mpaka nilipopaki mkoko wangu Mercedes Benz SL. Nilishtuka sana nilipomuona Mlimbwende...
  2. HARUFU

    Matukio ya kukumbukwa mwaka 2014

    Naomba tujikumbushe matukio yaliotokea na yanayoendelea kutokea ndani ya mwaka huu ambayo yameleta gumzo kubwa sana. Nakaribisha matukio yote iwe michezo, siasa n.k. Iwe ndani ya nchi, nje ya nchi au kifupi naweza sema Ulimwenguni. Mimi nitaanza na machache na wandugu wengine mtaendelea...
  3. HARUFU

    Harufu ana kwa ana na Mheshimiwa Rais Kikwete

    Ndoto nlio ota usiku wa kuamkia leo, inaelekea hii ni dalili ya neema
  4. HARUFU

    Kuna ukweli wowote kuhusu ndoto?

    Nimekuwa nikisikia kuwa ndoto huwa haimaliziki na endapo utakapomaliza ndoto basi itakuja ndoto nyingine ambayo itakatika labda kwa kuamshwa au sababu nyingine ambayo itakufanya uamke. Hapa nina uhakika nitapata jibu muafaka. Haya tiririkeni kwa faida yangu na wengineo
  5. HARUFU

    Wale wanaopenda visingizio

  6. HARUFU

    Nauliza

    Nimekuwa nasumbuliwa sana kutaka kufahamu, ngoja nianze na mimi mwenyewe binafsi ni hivi:- Kabla mama yangu mpendwa hajanileta hapa duniani jee nilikuwa najihisi hisi vipi? Je nyie wenzangu manaweza nisaidia kutatua hili suala maana mimi nimestukia niko ulimwenguni tayari, sasa nisaidieni...
  7. HARUFU

    Faiza Foxy ameuteka moyo wangu

    Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku. Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa
Back
Top Bottom