Wajasiriamali nauliza soko la uhakika la samaki aina ya kambale au Catfish....Hivi kuna hotels ambazo wanatumia hawa samaki.? au naweza je kufanya value addition.?
Natengeneza raised ponds kwa kutumia liners na ma banzi...hii njia n8 cheap na hauhitaji kuchimba chini ardhi yako. Karibu nikufanyie kazi nzuri....0768520042
mngejua walioko kwenye hiyo tume mngejuta! walewale waliosimamia zoezi la assistant inspector na wao wenyewe kuweka ndugu zao ndo wamepewa tume! what do you expect? mmoja wao ni subira Kaporo ambaye mdogo wake mangunda Kaporo nar kachaguliwa kwenye ngazi ya assistant inspector! mengine...
Asprin Mi naona na huu unafuu wa internet hadi viganjani jukwaa limeingiliwa na watoto sasa inabidi tukae mbali maana unaweza kuta uko na mkweo hau mwanao humu. hizi generation za divion 5 plus xaxa xema sweerie mi siziwezi lol.
Hakuna ambaye hakuwa na Kimemo..kwanza waziri ndo aliyeengoza kupeleka vimemo kwa taarifa yenu..Katibu mkuu pamoja na kupeleka vimemo vyake vya kutosha alihakikisha pia kuwa wazanzibari wanaingia tena hata hawana sifa za kutosha wengine...Kwa ufupi kila mtu alikuwa na vimemo vyake. SWALI LA...
Yaani nawashangaa sana watu kufurahia hii kidogo...I wish mngejua kiasi cha uchakachuaji kilichofanyika kwenye nafasi za Mkaguzi msaidizi mngelia. Huko Konstebo na Koplo ni cha Mtoto. Fatilieni yale majina yayalioongezwa kwenye website ya wizara baada ya listi ya kwanza kutoka. HAPA NAONGELEA...
Nataka kuanzisha shule ya Chekechea ambayo itakuwa darasa 1 la watoto wasiozidi 40! nahitaji kama shilingi ngapi kuanza hii project? na usajili ni lazima? process yake ikoje?
fanyeni networkmarketing, its simple, mtaji usiozidi million 1 ambayo inaweza kukufanya utengeneze not less than 3 m monthly in two years! achenI kulalamika btw no body cares! anayetaka inbox me niwaonyeshe opportunity ya kujiajiri
Mimi naamini business yoyote inahitaji uwe risk taker...so as long as it pays back mtaji wako na haichukui muda wako mwingi esp kama huna kingine cha kufanya, just go for it..hiyo dola 400 si nyingi kivile ya kufanya watu waogope..by the time hiyo pyramid scheme inacolapsi unaweza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.