Search results

  1. Phenomenon Lady

    Msaada - kioo cha Ipad 2

    Habari zenu wakuu, Naomba kwa anaeweza kunitengenezea/kunielekeza mahali husika. Kioo cha ipad kinakua kama kinavujia wino,hii ni baada ya mtoto kuiangusha chini,na sijajua mahali husika pa kutengenezea. Msaada wenu tafadhali. Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. Phenomenon Lady

    Kwa wanaume walioko kwenye ndoa

    Samahani kama nakosea lakini nina.swali,kwanini wanaume wengi wenye ndoa zao wanapenda kwenda club au sehemu starehe za night kali bila wake zao?? Kuna rafiki yangu alikuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa juzi kwahiyo akaamua kwenda club na friends zake wengine anaosoma nao chuo,kufika huko...
  3. Phenomenon Lady

    Msaada wakuu

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada wenu maana sielewi kama hii ni hali ya kawaida au kuna tatizo. Nina week moja tu ujauzito wangu ufike miezi nane(8),lately nasikia mifupa yote kuanzia kiunoni hadi kwenye maungio ya mapaja,inaniuma sana Sielewi kama kuna tatizo kwasababu sijawahi jisikia hivi...
  4. Phenomenon Lady

    Malezi ya watoto

    Malezi ya watoto ni jukumu la baba na mama lakini kwanini kina mama ndo huwa wanaonekana ni chanzo cha watoto kuharibika?yani anabebeshwa lawama zoooote
  5. Phenomenon Lady

    Roast ya maini

    Habari zenu wakuu,naomba kuelekezwa jinsi ya kupika roast ya maini saaaaafi
  6. Phenomenon Lady

    Inakuaje hapa jamani?

    Habari ndugu zangu, Hivi jamani inakuaje mimba nibebe mimi halafu kisirani awe nacho mume wangu?yani utasema ye ndo mjamzito...mara kanuna mara awe kawaida yani inshort vurugu mechi wakuu hata sielewi namfanyaje huyu baba yangu jamani Inanipa stress sana
  7. Phenomenon Lady

    Happy new year wana MMU

    Asante Mungu kwa kibali na neema ya kuuona mwaka 2014
  8. Phenomenon Lady

    Abortion

    Unaweza toa mimba ya miezi minne?
  9. Phenomenon Lady

    Hivi kwanini wanaume wanapenda kusikikiza maneno ya watu??

    Yani unakuta mtu kanuna kabisa kisa maneno ya kuambiwa halafu maneno yenyewe unakuta hayana ukweli hata kidogo!! Wanaume wanapenda sana kusalitiwa,usipomsaliti atafanya juu chini mpaka umsaliti hata kwa hasira
  10. Phenomenon Lady

    Hivi mume wako akifuta sms anazoandikiwa na wanawake wengine ni kwamba hataki uumie ukisoma au ana m

    Kwamba labda anakusave na stress za kujua kuna wanawake wanamsumbua au anafuta kwasababu na yeye anawaandikia vitu ambavyo hataki uvione(ana mahusiano nao)?
Back
Top Bottom