Na cha ajabu ni kwamba kila wakienda mahakamani anashinda.sasa kama serikali ila ushahidi wa kutosha juu yake inakuaje inashindwa mahakamani.maana kwa nilivyosikia hii ni mara ya pili na zote anashinda.
Hebu pata picha,unaingia kwenye daladala..ile unaingia tu sura ya kwanza kuiona ni ya king majuto kakaa seat ya nyuma kabisaaaaa halafu anasmile au anaachia lile cheko lake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.