Search results

  1. Kaitaba

    Watengeneza kalenda

    Nahitaji watu / mtu atakayeweza kunitengenezea kalenda ya mwaka 2015. Anayeweza anijulishe. Nashukuru sana.
  2. Kaitaba

    Star times decorder

    Nahitaji kulipia decorder muda wa hewani, ila sifahamu jinsi ya kufanya, yahaani package ni bei gani,Nashukuru sana NB Natumia antenna sio ungo
  3. Kaitaba

    Quick book programm

    Kwa wataalamu wote wa mtandao, Natafuta mtaalaamu wa program ya quick book au progam yoyote itakayonisaidia kwenye biashara ya dawa, itakayo onesha kiasi cha dawa kilichoingia, kilichotoka na kilicho baki. Mwenye taaluma hiyo tuwasiliane niko hapa Dar.
  4. Kaitaba

    Vyeti vya chuo bado

    Mimi nimemaliza masomo ya chuo kikuu tangu 2013 july Kinachoniuma ni kwamba hadi leo hii 20\5\2014 vyeti bado hatujapata na wote tulifaulu na mahafali yalifanyika 14/12/2013 TUFANYEJE?
  5. Kaitaba

    Simu ya nokia asha

    Habari ya leo, simu yangu aina ya asha305 imekufa TOUCH, natafuta fundi, niko Dar TEMKE. yeyote anayejua kuirekebisha ani PM Tafahali. au anipigie 0652 210 584
  6. Kaitaba

    Kuagiza gari japani

    Habari za leo, Kama kichwa cha habari kinavyosema .Mimi natafuta wakala ambaye anahusika na uwakala wa kutuma magari Japani kuyaleta hapa nchini.
  7. Kaitaba

    Namba hii ni ya nchi gani

    leo majira ya saa kumi jioni nimepigiwa na mtu kwa kutumia namba hii +33174076097, amenihoji maswali mengi sana, nilipo muhoji lengo la mswali yake akakata simu, naomba mnisaidie hii ni namba ya nchi gani.
  8. Kaitaba

    chuo cha afya.

    ,Nimesikia redioni kuwa kuna chuo cha mafunzo ya afya kiko magomeni, kwa anaye kifahamu anijulishe, maana ninaye kijana anataka kujiunga
  9. Kaitaba

    Natafuta Kazi ya Udereva

    Dereva mwenye class B na D anapatikana hapa Dar 0717 302 371. Anaitwa Benson Yeyote anayemuhitaji anakaribishwa sana. Contact ni hiyo hapo juu.
  10. Kaitaba

    Vioo vya laptops

    Laptop yangu TOSHIBA imepasuka kioo, naweza pata wapi kingine na kuki~fix?
  11. Kaitaba

    car staring lock shop at dar

    Natafuta lock ya staring au ya gear level ya automatic car.
  12. Kaitaba

    Fundi wa BP

    Wajumbe, natafuta fundi wa kutengeneza (Kurepare ) blood pressure machine ya digital.
  13. Kaitaba

    Gari linatoa moshi, msaada wa kiufundi unahitajika

    Naomba msaada wa kiufundi, Gari langu linatoa moshi japo kidogo, pia linatumia fuel 8 km kwa lita, SPECIFICATION Spacio old model Petrol fuel SHIDA YA GARI INAKULA MAFUTA SANA INATOA MOSHI MSAADA JAMANI, shida ni kitu gani kwenye gari hili na nifanye nini?
  14. Kaitaba

    Nozzle natafuta

    Natafuta sana nozzle za gari; .spacio old model .Four cylinders Zinapatikana wapi na bei gani ?
  15. Kaitaba

    Nozzle za spaciao

    NaweZa kupata wapi spare hiZo Za gari la spacio, na ni bei gani.
  16. Kaitaba

    Majibu ya necta

    Kijana wangu ame reseat form IV 2011 kwenye private center kama private candidate, bahati mbaya amepoteZa namba yake ya mtihani hivyo tumeshindwa kupata matokeo yake, tufanyeje kupata hayo matokeo.
  17. Kaitaba

    Ugonjwa wa dengue

    Hivi ugonjwa huu bado upo au umetokomea? Naombeni majibu.
  18. Kaitaba

    Lcd flat screen

    Kwa maeneo ya mbagala Dar, naweza kupata wapi original LCD Flat screen.
  19. Kaitaba

    Simu za ndani kwa ndani

    Natafuta simu za kuweza kutumika ndani kwa ndani yaani hazitumii mtandao wowote ila frequency tu na ni ndani ya distance maalumu tu. Naweza kuzipata wapi?
  20. Kaitaba

    Million 100

    Hizo milion 100 walipwe usarama wa Taifa ndio wamesomea masuala ya uchunguzi.
Back
Top Bottom