Search results

  1. Mvinyo mpya

    CRDB bank ni noma, mashine pekee ya wakala wananipa kwa milioni moja

    Pole...hicho chombo cha kazi ilipaswa iwe bure!
  2. Mvinyo mpya

    House4Sale Ghorofa linauzwa Mtoni Kijichi, Dar

    Nyumba ya 600m wanaichukulia poa! Sijui bei ya eneo lakini hilo ghorofa ni dogo sana.
  3. Mvinyo mpya

    Kocha pekee aliyefika Fainali 6 za UEFA Champions League

    Madrid watahangaika na makocha wakikwama wanamrudisha anceloti
  4. Mvinyo mpya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tarehe 19 gemu kama zote tulale naye mbele
  5. Mvinyo mpya

    Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

    Ingekua mimi ningeshamgongea nyagi zamani!!!
  6. Mvinyo mpya

    Leo Tottenham kumpokonya Man City Ubingwa

    Toti anapigwa toti 4 za haraka haraka
  7. Mvinyo mpya

    Alala na kula Serena kisha kutokomea bila kulipa deni la milioni 21, adakwa na kufikishwa mahakamani

    Labda alikua mteja wao loyal. Mtu mwenye hela zake anadaiwa siku ya kucheck out! Unagiza tu mazaga wanaweka bill kwenye room yako mpaka siku unasepa ndo unalipa siyo lazima kila ukiagiza msosi au kinywaji ulipie hapo hapo
  8. Mvinyo mpya

    Kwa Nini CCM Hujitambulisha Zaidi Kwa Uovu Kuliko Wema?

    Ukiwa ccm una haki ya kufanya jinai na usichukuliwe hatua! Job ndugai, na pauline gekul. Yaani ccm ni kichaka cha kufanya utakavyo
  9. Mvinyo mpya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Calculations zipo sawa mkuu! Stake za laki tano mpka 2 m kawaida kwa baadhi ya wadau, anatupia single match.
  10. Mvinyo mpya

    Huu Mwenge usiwe unakimbizwa Dar es Salaam, unatuchosha na kutupotezea muda

    Ila Njerere au basi! Enzi hizo primary tunaimba mwenge ooooh mwenge!!! Mbioo mbiooo mwenge tunaukimbiza!!! Mbio mbio hadi makao makuu mbio mbiooo!!
  11. Mvinyo mpya

    Leo na kesho ubingwa utaota mabawa kwa Mancity na Arsenal

    City ikifikaga hatua hii anashinda mechi zote!
  12. Mvinyo mpya

    Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Heee yaani nimtupie tu kuku kwenye maji moto bila kuchinja
  13. Mvinyo mpya

    Huyu Mwalimu anaishi kwa mbinu Gani nchi Tanzania?

    Duh amezaje kukopa hivyo ile rule ya 1/3 haifanyi kazi?
  14. Mvinyo mpya

    Unafahamu kwanini matajiri wa Tanzania wanaogopa kumiliki ndege binafsi

    Watakua wanaogopa kashikashi za serikali, kodi za parking, maintance, etc .
Back
Top Bottom