Search results

  1. PakaJimmy

    Shukrani kwenu wote kwa kunifariji baada ya kufiwa na mtoto kwenye ajali ya Lucky Vincent

    Habari zenu ndugu wadau. Ni siku nyingi kidogo tokea tumekuwa pamoja hapa. Ila nimegundua kuwa bado tuko pamoja sana kimawazo. Nawashukuru sana wadau wote wa hapa JF kwa support na wishes njema wakati wa shida kubwa sana iliyonipata ya kupotelewa na mtoto kwenye ajali ya wanafunzi kule Karatu...
  2. PakaJimmy

    SMS za simu na whatsapp vipi ?

    Naomba kujuzwa wadau. Hivi, kama vile zinavyokuwa screened message za kawaida za simu, ndivyo ilivyo kwa msg na picha za Whatsapp ?
  3. PakaJimmy

    Marufuku Kujadili Katiba Mtaani Huko Dodoma.

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi amepiga marufuku mijadala yoyote inayohusu Katiba na rasimu yake katika maeneo na viunga vyote vya mji wa Dodoma. Aidha amepiga marufuku mikutano ya hadhara au makongamano yoyote ya Katiba kwa maelezo kwamba vitendo hivyo vitawavuruga wabunge wa...
  4. PakaJimmy

    Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

    Kitu kama bomu kimelipuka Hapa Arusha maeneo ya MTK Bar Mianzini na kusababisha mshindo mkubwa sana. Taarifa zinasema baadhi ya watu wameumia. ======== UPDATES: - Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha amethibitisha kutokea kwa mlipuko wa bomu Arusha Night Park, hakuna vifo, idadi ya majeruhi...
  5. PakaJimmy

    T-Shirts...T-Shirts!

    Tafadhali ajuaye mahala naweza kuzipata na kuprint Tshirts quality kwa bei nafuu hapa Arusha. Natambua uwepo wa A TO Z, lakini quality za Tshirts zao sizo ninazohitaji. Tafadhali.
  6. PakaJimmy

    Binadamu ametokea kwenye Jua...?

    Langu ni swali dogo tu. Sayansi haiamini katika uwepo wa Mungu. Naomba kujuzwa kwa mujibu wa Sayansi viumbe hai asili au chanzo chake ninini? Jiografia inatujuza kuwa dunia hii hapo mwanzo ilikuwa kipande cha jua, ambapo ilimeguka na kuanza kupoa taratibu. Je viumbe hai walihamia...
  7. PakaJimmy

    Mdau LiverpoolFC Apata Msiba

    Wadau, Nasikitika kuwatangazieni nyote kuwa mwenzetu LiverpoolFC amefiwa na Baba-Mkwe wake hapo jana, na muda huu ndio yupo kwenye maandalizi ya safari kuelekea huko jirani na Ngorongoro kwa shughuli za maandalizi ya mazishi. Kwa harakaharaka amenijuza kuwa huenda mazishi yakafanyika kati ya...
  8. PakaJimmy

    Tunapata ujumbe gani hapa?

    "Serikali corrupt inakumbatia wenye fedha!"....Mwalimu Nyerere.
  9. PakaJimmy

    Ujana Wako Ulikula Na Nani?

    Nimesikia wimbo wa Kizazi kipya leo redioni, sijajua ni nani mtunzi na mwimbaji, lakini kijana huyo amefanikiwa kunitisha sana kwa maneno yake mazito. Baadhi ya maneno ya wimbo wake yanasema: "Ujana wako ulikula na nani?....Usije ukasumbua watu" "Pesa zako ulikula na nani.......Usije ukasumbua...
  10. PakaJimmy

    Simu ya Samsung kama Remote ya Tv.

    Wataalam Nimejuzwa na wadau leo kwamba simu aina ya Samsung inaweza kuzima au kuwasha Tv aina ya Samsung. Hata hivyo mdau hakuniambia kama ni Samsung smartphone au aina zote. Binafsi natumia Samsung, lakini sijajaribu, aidha sijajua jinsi inavyofanyika. Kuna mdau aliyepata kusikia hii...
  11. PakaJimmy

    Wadada na wizi wa aina mpya

    Jana nimepata msg toka kwa mtu nisiyemfahamu ikisema " dada nisaidie elfu 15 tu mwenzio nafukuzwa chuo na wamesema sitaenda Btp kama nisipomaliza kulipa." Nikampandia hewani mtu huyo kujua ni nani(maana huenda akawa ndugu yetu na huenda akawa na tatizo genuine). Du, ebana eeh, nilikutana...
  12. PakaJimmy

    Laptop Vs Simu, ipi inakula MBs nyingi?

    Nimeambiwa kuwa naweza kutumia simu kama moderm ya laptop aidha kwa Bluetooth, WI-FI au USB tethering. Swali langu ni kuhusu ulaji wa MB's zangu. Je ninapotumia laptop zitaisha haraka zaidi ya kuzitumia kawaida kwenye simu?(assuming sites zinazokuwa visited ni zilezile) Naomba nisaidiwe.
  13. PakaJimmy

    Mmiliki wa Tv 1 ni nani?

    Ghafla nimekutana na hii Tv station mpya ktk kingamuzi cha Startimes. Ni nani wamiliki wa kituo hiki?
  14. PakaJimmy

    Stendi ya Hood Morogoro Hovyo

    Hapa chini toilets za stendi ya Hood ya Morogoro kama nilivyokutana nazo leo. Nimeshindwa kubaini kwa kampuni kubwa kama Hood yenye mabasi makubwa yasiyopungua 50 kuwa na vyoo vichafu namna hii. Je issue ni priorities?
  15. PakaJimmy

    Fedha za mauzo.

    Wajasiriamali, Nina Changamoto. Wenzangu mnaondoka ondokaje na fedha ya mauzo toka eneo la biashara kuelekea benki au nyumbani? Binafsi niko kwenye taasisi ambayo kila tarehe ya kwanza ya mwezi inagenerate wastani wa 8million. Ishu huwa ni jinsi ya kuondoka na hiyo cash kuelekea...
  16. PakaJimmy

    Suleiman S. Suleiman athibitishwa kuwa Mkurugenzi TAA

    Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe amemthibitisha Bwana Suleiman Suleiman kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania (TAA) kufuatia kuwezesha ukamatwaji wa mama aliyekuwa anasafirisha madawa ya kulevya kuelekea Maau, kiasi cha pipi 68 pamoja na nyara za serikali...
  17. PakaJimmy

    Maajabu Ya Google+.

    Wadau, Leo imekuwa siku ya pekee sana kwangu, Sio kwasababu ni mwaka mpya, bali ni kwamba mnamo mwanzo mwezi wa December 2013 simu yangu Samsung GT S6802 ilitumbukia kwenye mtaro na kupotea jumla. Simu hiyo ilikuwa na kiasi kikubwa cha kumbukumbu pamoja na picha na video kadha. Nikajikatia...
  18. PakaJimmy

    Jimbo Katoliki la Arusha Latimiza Miaka 50 ya Uinjilishaji.

    Tumsifu Yesu Kristo. Tuko kwenye sherehe za Jubilei ya miaka 50 ya Jimbo Kuu la Arusha. Hakika mambo ni mazuri sana, na baraka za Mungu ziko wazi kwa kila mhudhuriaji. Ujumbe wa Jubilei ni "UINJILISHAJI WA KINA". Kuna wageni toka kila kona ya nchi, na ulinzi umeimarishwa sana. -Tuko...
  19. PakaJimmy

    Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    Ndege kubwa aina ya boeing 767 imetua Arusha baada ya rubani kupotea akidhani ni KIA. Ndege hiyo ina jumla ya abiria 213 na crew Cha ajabu rubani amegoma kabisa kushusha abiria kwenye ndege kwa madai kwamba mahali hapako standard. Pamoja na juhudi za kiwanja kuleta magari na ngazi za kushukia...
  20. PakaJimmy

    Ndege ya Precision Air yapasuka matairi yote manne huko Arusha!

    Nikiwa mmoja wa abiria tuliosafiri na PW kurudi Arusha leo, ndege ya shirika hilo yenye usajili No 5HPWI imepata kizaazaa wakati wa kutua baada ya tairi mojawapo kupasuka kwa kishindo, likufuatiwa na mengine yote ya nyuma ambapo yalipasuka pia na kuacha vipandevipande kwenye njia ya kurukia...
Back
Top Bottom