Search results

  1. Soulbrother

    hospitali zetu jamani! am FED up

    Nilifika hospitali moja kubwa iliyopo maeneo ya Mikocheni juzi, jumatatu... sikukuu ya pasaka, baada ya kuhisi nina homa kali Niliingia chumba cha kumwona daktari nimwelezee matatizo yangu baada ya kulipa Tsh10,000 consultation fee na nilikutana na harufi mbaya sana. Daktari huyo mwenye asili...
  2. Soulbrother

    Barua za Shaaban Robert

    Ningependa kupata nakala ya kitabu hiki lakini sijui kinapatikana wapi. Wadau, naomba msaada... ni pm kama unafahamu wanapokiuza na bei yake
  3. Soulbrother

    World cup rules and regulations FOR WOMEN ONLY

    1. Between 11 June and 11 July 2010, you should read the sports section of the newspaper so that you are aware of what is going on regarding the World of Soccer, and that way you will be able to join in the conversations. If you fail to do this, then you will be looked at in a bad way, or...
  4. Soulbrother

    Eti mademu pia wanaangalia

    Kuna dada mmoja wa Jf kanitumia ujumbe kusema hata wao pia wanacheki cheki washikaji. Haswa kifua. Kina dada kuna ukweli hapa na mkicheki, mnaangalia nini?
  5. Soulbrother

    Thread iliyovunja mbavu zako

    Personally thread ya Diana-Dabodiff akijitambulisha kwa JF na majibu aliyopata iliniacha hoi. Sijawai kufurahia thread nyingine kama nilivyoifurahia hii Diana-dabodiff ndani ya nyumba. Naitwa Diana lakini mtaani kwetu huku...
  6. Soulbrother

    Je ni kweli, men have a problem, lazima waangalie

    Hebu nisaidieni, kuna dada anasema eti sisi wanaumme tukiona kitu kizuri lazima tukikague kwa macho. Amepatia?
  7. Soulbrother

    kumwambia "tufunge ndoa"

    Je ni njia gani "romantic" ya kumwambia wakati umefika wa kufunga ndoa?
  8. Soulbrother

    Ingrown nails (kucha kukua ndani ya nyama

    Naomba msaada kucha zangu za miguu zinakuwa ndani ya nyama, ingrown, wanasema. Zina maumivu sana na madaktari waliniambia nifanye operasheni ya kuzitoa... nimetoa mara mbili lakini wapi, zinakua vile vile... je kuna dawa ama haya ni maumivu ya milele sasa hivi natinga open shoes kila siku...
  9. Soulbrother

    Acharya institute of management studies

    Je kuna mtu ana information zozote kuhusu chuo cha Acharya? Nataka kuapply for a course na nimeambiwa wana local agent hapa bongo. Anyone? Chuo " ACHARYA INSTITUTE OF MANAGEMENT & SCIENCE URL; www.acharyaims.ac.in email: admissions@acharyaims.ac.in Tel: +91 80 6567 9112 Fax: +91...
  10. Soulbrother

    Jogoo hakuwika mjini

    Nilikuwa na rafiki wa kike (sio mpenzi) wa siku nyingi ambaye nilikuwa namtamani lakini niliheshimu urafiki wetu nikanyamaza kwa miaka mingi. Januari nilikutana naena tukaanza mawasiliano tena. katika mazungumzo nikagundua kuwa hata yeye alikuwa ananipenda na alikuwa aliogopa kusema. Basi...
  11. Soulbrother

    Demu myeyushaji

    Nanukuu "Nilikutana nae kwa mshikaji, kaniambia walikuwa wanasoma pamoja nikakutana nae mtaani, nikamnunulia msosi, tukabadilisha namba tukaanza kuchati, mambo ya message usiku kucha, nikampeleka slipway mara mbili, movie mara moja Kaniambia ananipenda, nami nikampenda tena kwa dhati...
  12. Soulbrother

    Alan Turner wa executive solutions afariki dunia

    Nimepata taarifa kuwa Alan Turner,mmoja wa waanzilishi wa executive solutions amefariki. Nasikia Agrey Mareale na wafanyikazi wa Executive solutions wana huzuni kuhusu hicho kifo poleni RIP
  13. Soulbrother

    Mambo ya Valentine's

    Niliamua kukaa nyumbani siku hii na kipenzi changu. Je ulitoka na siku hii ilikuaje?
  14. Soulbrother

    Anasema bikra

    Jana rafiki yangu, niliyesoma naye kijijini, amekuja na mchumba wake kunitembelea. Kabla hajafika alinipigia kuniambia kuwa mchumba ni bikra, anasubiri mpaka "wedding night" na nikampa hongera zake. Wamefika jana jioni,nimewafuata ubungo na nikabaki mdomo wazi. mchumba ni demu niliyekuwa...
  15. Soulbrother

    Leo nataka kuwatega!!!!

    Kitendawili? Siwaoni, siwasikii, siwafahamu ila tuko beneti???
  16. Soulbrother

    Leo ni "Tell me day"

    Marafiki, wasomi, wana jamii wenzangu na hata wapenzi wangu, leo ni World tell me day, hivyo basi naomba mniambie kila kitu, iwe siri au mambo ya kawaida. Yote nitayaweka moyoni (in confidence) hadi world tell them day. Ahsanteni
  17. Soulbrother

    Do you need Proofreader/website content writer, graphic design au copywriter

    Guys and gals, I offer the following services for those in the advertising industry, those with businesses or those in need of writing services. Copywriting- coming up with attractive copy for your adverts, kiswahili na kiingereza Website content writing- in both English and Swahili...I...
  18. Soulbrother

    Tangazo la TBL live on your PC

    washikaji nimepata link ya TVC ya kili... lakini link ilizua mjadala, angalia posts chini basi nimeiondoa, mtu yeyote atakayeitaka ani pm, nitamtumia privately
  19. Soulbrother

    Best Tanzanian radio and TV ads

    Je, ni matangazo yapi ya radio na TV yaliyotamba mwaka huu? Personally lile la TV... Duh, tigo, lilikuwa bomba
  20. Soulbrother

    Birthday Ex

    Washikaji leo birthday yangu lakini hiyo sio ishu, ishu ni kwamba ex wangu wa mwaka wa 99 amenipigia kunipa hongera na anataka nikachukue zawadi ambayo ameniambia laiv kuwa ni ule mchezo wa siku zote. Tatizo ni kwamba aliniacha long time: nilikuwa nahangaika sina hili wala lile sasa mambo...
Back
Top Bottom