Kupitia mtandao wa ICSID kuna taarifa za kutia moyo kuwa Katibu Mkuu wa ICSID amesajili maombi ya kubatilishwa kwa tuzo yaliyowasilishwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa maombi hayo, ICSID imesitisha kwa muda utekelezaji wa tuzo iliyotolewa dhidi ya Tanzania kwenye kesi iliyofunguliwa...
Wadau, yupo ndugu yangu ambaye anasumbuka kwa muda sasa na amejaribu vipimo sehemu nyingi. Ilianza kidogo kidogo sasa inamsababishia shida, hawezi kulala vizuri. Kichwani anasema anahisi kama kuna vitu vina nguruma na pengine sikioni na huwa ni kama kuna mvumo fulani na wakati mwingine...
Katika hukumu iliyotolewa leo tarehe 5 Agosti, 2020, Jopo la Majaji watano wa Mahakama ya Rufani limekubaliana na Serikali kuwa kifungu cha 148(5) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai ,Sura ya 20 ya Sheria za Tanzania kinachozuia dhamana kwa makosa makubwa ya jinai yakiwemo mauaji...
MAHAKAMA YA RUFANI TANZANIA YASIKILIZA RUFAA YA SERIKALI KUPINGA UAMUZI WA MAHAKAMA KUU KUFUTA KIFUNGU CHA 148(5) CHA SHERIA YA MWENENDO WA MASHAURI YA JINAI KINACHOZUIA DHAMANA KWA BAADHI YA MAKOSA
Jopo la Majaji Watano wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania likijumuisha Majaji Mhe. Jaji Mhe...
Shauri la Kikatiba Na.12 la mwaka 2020 lililofunguliwa na Asasi ya Civic and Legal Aid Organization dhidi ya Mhe. Spika, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Cecil Mwambe ili kupinga ubunge wa Mwmbe imetupiliwa mbali Leo tarehe 15 Juni,2020 na Mahakama Kuu.
Hii ni mara ya pili ambapo Mahakama Kuu...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya Mhe. Spika aliyoitoa Bungeni kumtambua Mhe. Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge.
Mahakama Kuu kupitia...
Dkt Rugemeleza Nshala, sisi wanachama wenzio wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) tunakuandikia kwa masikitiko makubwa sana kuhusu malalamiko yafuatayo:
Tumesikitishwa sana na Tamko lako la tarehe 23 Septemba, 2019 ulilotoa kwa Umma lenye kichwa cha habari kinachosomeka TLS GOVERNING COUNCIL...
Uamuzi wa ile kesi iliyofungu Mhe. Kabwe dhidi ya Spika kuhusu suala la CAG unatolewa leo saa 3 asubuhi mbele ya Mhe. Jaji Luvanda.
Leo tena mchana wa Sasa 7 itafahamika hatima ya ile kesi tuliyosubiria uamuzi ya Ado Shaibu dhidi ya Mhe. kuhusu uteuzi wa AG. Mbele ya Jaji Kiongozi.
Wiki...
Baada ya kubanwa sana katika kesi waliyofungua dhidi ya Serikali ya Tanzania, leo Acacia wameuthibitishia ulimwengu kuwa kampuni hiyo ilikuwa ikiibia nchi hii utajiri wake kwa kuomba kusitisha kesi walizofungua nje ya nchi na kukubali Tanzania imalizane na na Barrick.
Acacia inasadikika kuwa...
Serikali ya Tanzania imeshinda Kesi hii iliyofunguliwa na Familia ya Valambhia nchini Marekani.
Mahakama imeona kuwa Wameshindwa kuthbitisha kuwa shughuli zinazohusisha Mkataba wa Kampuni ya Valambhia na Serikali ya Tanzania zilifanyika Marekani (suject matter jurisdiction).
Tanzania itabaki...
Taarifa za hivi punde kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma ni kuwa, Joshua Nassari ameshindwa katika Shauri alilofungua Dhidi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya kupinga kuvuliwa Ubunge.
Kesi hiyo ambayo uamuzi wake umetolewa leo katika hatua ya...
Taarifa hii imeandikwa na Wakili wanaodai kutetea Haki za Binadamu akina Jebra Kambole kwa nia ya kujipatia kesi kinyume cha taribu za taaluma ya Mawakili na kusambazwa mitandaoni:.
"..Ndugu yeyote wa washtakiwa waliohukumiwa jela leo kifungo cha maisha awasiliane nami inbox au Wakili Jebra...
New Barrick Gold Chief Looks to End Tanzania Dispute
Mark Bristow wants to resolve the tax and revenue-sharing fight; he says asset sales are possible, too
Villagers searched for flecks of gold contained in rocks discarded...
Monday 17 December 2018 3:07pm
Acacia shares drop amid reports of fraud office probe
Acacia's chief executive Brad Gordon stepped down last year (Source: Getty)
Shares in Acacia Mining dropped earlier amid reports that the Serious Fraud Office is looking into the company’s affairs in...
Britain’s Fraud Office Investigates Acacia Mining
The allegations over corruption in Tanzania are also being looked at by Tanzanian officials
Barrick Gold Executive Chairman John Thornton has proposed a resolution to the tax dispute between Tanzania and Acacia Mining...
THE Director of Public Prosecution (DPP), Biswalo Mganga, has refuted claims published by some local and foreign media, including Acacia Gold Mining Company's website that his office took to court officials of three mining companies due to pressure exerted by higher authorities.
Mr Mganga...
Brad Gordon, a former chief executive of Acacia Mining agreed that the Mining Development Agreement with Tanzania were bogus. Gordon was quoted by Telegraph Saying this:
Acacia boss Brad Gordon: The mining industry can be its own worst enemy
Lissu akajipange tena. Acacia hawajawahi kufungua kesi yeyote dhidi ya Tanzania katika Mahakama ya Usuluhishi popote duniani. Tujuavyo ni kuwa, Acacia waliyasukuma Makampuni ya Madini ya Kitanzania (Pangea Minerals Ltd, Bulyahulu Mines Ltd kufungua kesi.Deo Mwanyika wala Lugendo kisheria...
The Acacia official working with North Mara Gold Mine in Tanzania (NMML) (Marteen Van Der, Johanness Jensen) were on 10 October, 2018 were brought before Tarime Resident Magistrate’s Court being charged for serious corruption offences under the Prevention and Combating of Corruption Act, No...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.