Search results

  1. Pretty

    Mwezenu nina furaha!!!

    .......Yaani nina furaha hadi nashindwa kula, nahisi tumbo limejaa. Je umewahi kupata furaha ya jinsi hii?
  2. Pretty

    Mume wa jinsi hii........kama mke utavumilia kweli?

    ........Wana MMU mambo zenu!! Haya leo kuna hili, wewe mdada umeolewa na mwanaume ambaye anakujali. I mean anakupa huduma zote kama chakula, malazi na mavazi. Yaani chochote unachotaka kama ana uwezo nacho anakupa. .......Ila sasa huyu mwanaume ana matatizo yake, nayo kama hivi: Mvivu...
  3. Pretty

    Kuzaa baada ya 40's!! Inakuwaje?

    ........Hivi mtu unapozaa after 40, tena mtoto wa kwanza unapata kwenye umri huo unafikiri nini? Siku hizi baadhi ya wanawake kwa wanaume wanapata mtoto kwenye 40 au zaidi ya hapo.......je hawa watu hawafikiri baada ya miaka 15-20 si watakuwa wameezeka? Huyo mtoto si atakuwa kama mjukuu...
  4. Pretty

    Uvaaji wetu!!

    .......Wana JF nadhani mpo salama, leo nimeona si vibaya kuongelea mavazi haswa yanayoendana na umbo lako. Kuna hii tabia haswa kwa wanawake wenzangu unajua kabisa tumbo lako limelegea na wewe unataka kuvaa kutokana na fashion, kwa nini usitafute shapewear? .....Wearing clothes that are too...
  5. Pretty

    Kifungua kinywa

    ......Leo na mie nawaletea kifungua kinywa, ni rahisi sana kuandaa na vile vile ni healthy. Unatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo, -mayai 2 -vijiko 2 vya maziwa ambayo ni fat free. -vijiko 2 vya margarine -slice 4 za mkate, vizuri zaidi ikiwa whole wheat bread. -fresh apple,peaches au tunda lolote...
  6. Pretty

    Soma kwa usalama wa afya yako.

    After the World War II, the Russians also experimented with microwave ovens. From 1957 up to recently, their research has been carried out mainly at the Institute of Radio Technology at Klinsk, Byelorussia. According to US researcher William Kopp, who gathered much of the results of Russian and...
  7. Pretty

    My gorgeous little boy is here!!!

    Hello wapendwa wanajf!!! .......Hope you are all well, I'm so happy and thankful....God has blessed me with a healthy and beautiful baby boy.....I had a C section due to medical reasons, ila sasa nipo okay naendelea vizuri. I'm so proud to be a mother.......safari ya miezi zaidi ya 9 ya...
  8. Pretty

    Mmmmmm!! Kaka hanielewi baada ya kuvunja ahadi

    ........Hello wana JF Mwenzenu simuelewi my bro, kipindi nilivyotaka kuolewa alipinga sana kwa kigezo bado nasoma japokuwa mie sikuona tatizo lolote kwa elimu ninayosoma haipo ngumu sana hadi nishindwe kuolewa kwa sababu ya masomo............kaka alipinga sana na kutaka nije kuolewa baada ya...
  9. Pretty

    Ujauzito umenivunja nguvu na je pilipili ni salama kwa mwanamke mjamzito?

    ............Mwenzenu Mungu amenishushia baraka za ujauzito, lakini imenivunja nguvu sana. Yaani muda wote naishiwa nguvu na njaa kuuma kila wakati. Kila baada ya nusu saa nahisi njaa kali sana.........hata nikila vp lakini muda mfupi tu njaa.Huu ndio ujauzito wangu wa kwanza basi naogopa huko...
  10. Pretty

    Hatua za kupitia ili kuanzisha NGO

    .......Shukrani kwa wote mlionitumia kwa kupitia my email address/PM.
  11. Pretty

    Wapendanao na 2010!! Happy New Year!!

    ........Hallow wapendwa wa jukwaa hili la malavidavi na urafiki, I hope mlienjoy vizuri mwaka 2009 kwenye uhusiano, kwa wale wasienjoy basi hayo yalikuwa ni mapito tu maana kwenye mahusiano sio kila siku ni tambarare, kuna milima na mabonde. ........ 2010 is just around the corner, hivyo...
  12. Pretty

    Mwanamume anahitaji nini? Wale wanandoa hebu mnijuze!!

    ........Kama swali linavyojieleza hapo juu, hivi mwanaume aliyekuwa kwenye uhusiano haswa kwa wale wanandoa anahitaji nini toka kwa mke wake? Najua kuna vitu kama upendo, heshima na usafi hivyo ni muhimu sana. Lakini bado kuna vingine pia muhimu, nadhani nimesahau.......hebu wanajf...
  13. Pretty

    Msaada pls!!

    -----Ninaulizia Jacksi Plaza nimeambiwa ipo nyerere road.Anayejua tafadhali anielekeze ipo eneo gani na imepakana na jengo lipi.Najaribu kusearch google ili nione ipo eneo gani sioni. Tafadhali anayejua anifahamishe hiyo Jacksi plaza ipo eneo gani ukitokea tazara. Mods liache hili...
  14. Pretty

    Utafanyaje kwenye situation kama hii?

    -----Ni mdada unatarajia kufunga pingu za maisha hivi karibuni. Wakati mpo kwenye maandalizi ya harusi mnaanza kutambulishana kwa ndugu. Kumbe huko nyuma kabla ya kukutana na huyu mume mtarajiwa, mdogo wake alishawahi kukutongoza na ukamkatalia, na kipindi hicho wala hukujua kama hawa watu ni...
  15. Pretty

    Sitafutwi na mtu, kama yupo aje Bariadi - CHENGE.

    Na Bahati Mwiko, Bariadi 28 October 2009 MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Bw. Andrew Chenge amesema hakuna mtu anayemsaka kwa ufisadi na kama yuko amfuate Bariadi amkamate. Vile vile Bw. Chenge amewataka wapiga kura wake kuwapuuza wanasiasa aliosema wanaeneza uvumi huo kwa madai kuwa ni wanasiasa...
  16. Pretty

    Outing kwa wanandoa.

    ----Imekuwa kawaida watu wakiwa katika kipindi cha uchumba wanapenda kwenda outing kwa pamoja, utakuta mara nyingi haswa siku za weekend watu tunatoka out kujiburudisha/ kujiliwaza baada ya uchovu wa kazi na majukumu ya week nzima. Mnaweza kwenda kuhang out clubs, bar,beach, pub au...
  17. Pretty

    Mawifi jamani, hivi wana nini?

    Habari zenu wanaJF, Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno maneno. Ana kazi na familia yake lakini bado tuu ananisema, eti anataka nimpigie magoti...
  18. Pretty

    msaada tafadhali!!

    Hivi kama umeturn on lap top kwa muda wa saa moja, then inapata moto chini tatizo ni nini?
  19. Pretty

    Natamani kuwa malaika

    http://www.youtube.com/watch?v=ObVZiy-gJN8&feature=related I like lady jaydee, because she's pretty and cool too. I like her song, natamani kuwa malaika. Hata mie natamani to be a little girl/angel.
  20. Pretty

    Msiba Alabama

    Tanzanians in Birmingham Alabama (JUTABI), together with the families of Mang’enya and Lubala would like to announce a sudden death of their beloved ANDREW KITENGE MANG’ENYA. Andrew passed away suddenly on Friday August 7th 2009. Arrangements are being made to transport his body to Tanzania...
Back
Top Bottom