Search results

  1. issac77

    Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    Mkuu sitaki za kulialia nataka zenye vibe
  2. issac77

    Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    Dah man acha kabisa hii kitu ukiendekeza maujinga haya unaweza hama kwenye raman
  3. issac77

    Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    Hapana mkuu music ni tiba boss
  4. issac77

    Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    Za kibongo itakuwa vzuri zaidi mkuu! Shukran
  5. issac77

    Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    🤣🤣shukrani mkuu ngoja niipakue
  6. issac77

    Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    🤣🤣shukrani mkuu ngoja niipakue
  7. issac77

    Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    Asante boss. Tiririka zingine
  8. issac77

    Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    Au tuseme internet bado haijarudi huko kwenu????
  9. issac77

    Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    Hamonize, sijalewa. Tayari hiyo!
  10. issac77

    Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    Nataka nidownload nizijaze kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wakati nafanya home workout. Msaada tafadhali waungwana!
  11. issac77

    Unapoongea na simu kuwa makini na nyakati hii

    Umenikumbusha kitu miaka 14 way back nadhan ilikuwa 2010 bado chalii mdogo nimeondoka kwa boss nimejitegemea nimepanga geto halafu nipo mji sina mwenyeji sasa nikaugua ghafla nikalazwa nikasema ngoja nimpgie nimjulishe tu ex boss wng ajue tu kwabwa nimelazwa... bwn bwn nikamvutia waya.. oy maza...
  12. issac77

    Taja faida za kuishi peke yako

    Pole kiongozi, ni kweli usemalo upweke unatesa sana aisee.
  13. issac77

    Muda wa kawaida wa tendo la ndoa ni dakika 3 mpaka 7, fantasy zinaua mahusiano na ndoa za watu

    Raha ya tendo kumwaga mapema aisee unachochea zaidi ya dk kumi haikitoki mara uanze kuvuta hisia za mbali hapana hii kwangu ni kero namba moja
  14. issac77

    Unajisikiaje unaposababisha vifo vya watu kwa ajali na kufanikiwa kukimbia?

    mkuu tangu mdogo sijaanza hata primary mpaka sasa nina over 30 yrs jamaa anapeta maisha anasongesha na familia yake
  15. issac77

    Unajisikiaje unaposababisha vifo vya watu kwa ajali na kufanikiwa kukimbia?

    Nina shemej yangu akisikia yowe la mwizi anawahi na panga kwenda kummaliza mwenyewe. Kwahiyo watu tunatofautiana mioyo mkuu.
  16. issac77

    Tuchel aizungumzia Real Madrid kuelekea Nusu fainali ya UEFA

    kama kwa mazembe jana kwa mpira ule ungetegemea waondoke na goli tatu?
Back
Top Bottom