Search results

  1. Rugas

    Polisi wawazuia waliopitia JKT kuandamana Dar

    Binafsi naona sasa haya makundi yakianza kuungana! Ndo chanzo cha kutengeneza uasi na amani kutoweka! Ni kama limetengenezwa jeshi la kujitegemea! Likipata vifaa! Itakuwa balaaa!
  2. Rugas

    Mh haya mambo ya haki sawa,akina mama waomba kutembea vifua WAZI

    Waswahili wanasema majuu hamnazo,kweli hamnazo..akina mama wa Marekani wanaimba sheria ya nchi yao iwaruhusu kutembea vifua wazi kama wanavyoruhusiwa wanaume.Sasa wameaanzisha siku inaitwa NATIONAL GOTOPLESS DAY Haya sasa na wabongo iga na hiyo!National GoTopless Day, Venice Beach, California -...
  3. Rugas

    "Nitawapeleka wachochezi mahakama ya ICC"-Maulanga

    Huyu bwana RISASI MWAULANGA huwa namsikia japo sijuhi ana status gani hasa katika siasa za TANZANIA.LEO KATIKA KIPINDI CHA TUONGEE ASUBUHI,STAR TV amesema anaandaa mashitaka ya watu waliowahi kutoa kauli za uchochezi hasa katika majukwaa ya siasa...kama kauli ya "serikali isipofanya jambo fulani...
  4. Rugas

    Msaada , iphone 3G troubleshooting!

    Wakuu,heshima mbele! Nina I phone 3G, baada ya kuwa slow sana nikaomba ushauri kwa fundi mmoja, akaniambie ni i reset na kufuta contents zote.Nimecommand reset, tangu jana....mpaka sasa imedisplay tu logo ya apple juu na hakuna kinachoendelea.. Je nifanyeje hapo!
  5. Rugas

    Kcmc selected undergraduate out!

    Nimeona leo kcm college wametoa majina ya undergraduate ( direct entry), haya hapa.Kilimanjaro Christian Medical University College | We Train Medical Health Professionals - Home Lakini kwa wanaolijua hili naomba msaada kidogo. Kwenye barua zao za offer wanataka ulipe 1Million kwa wale wa...
  6. Rugas

    I-phone settings! please help!

    I have got a new i-phone 4s, But I can't do much with it more than phone calls and sms! I have tried some functions like internet---is too slow! Camera--photo quality poor! Sync with my computer is also not possible! I think the problem may be is settings or the phone is not original from...
  7. Rugas

    umakini wa wapiga picha wetu wa sasa!

    Siku hizi naona wapiga picha wanaenda into-details mpaka wanapata na images za ndani kabisa!dada zetu kuweni tu makini nao
  8. Rugas

    Afande naye atumia mistali ya Biblia kulamba rushwa kwa father! Math 5.25-26

    Kasisi mmoja akiwa anawahi kutoa 'huduma' mahali pa sherehe ya heshima alisimamishwa na askari trafiki aliyejifanya serious akimzushia yule Kasisi kwa kukiuka sheria za barabarani. Kasisi alijua hana kosa la kimsingi isipokuwa mapungufu yasiyoepukika kama ubora wa gari ya kitanzania; mara...
  9. Rugas

    Ngeleja alamba red card!

    huyu jamaa ana mikosi kweli! Red card kwenye siasa,na sasa kwenye kambumbu! Amepewa red card kwenye mchezo kati ya bunge la tz na bunge la Eac.
  10. Rugas

    Mhuu!Kwa mtindo huu misaada ya Cameroun tutaipata tu!

    Akina mama nao wanaweza!
  11. Rugas

    Man on ARV develops abnormal breasts

    Aisee wataalam wa mambo ya afya hii imekaaje!haya madawa yako hivi,au jamaa kalogwa? A.N Mvati, AfricaNews reporter in Dar es Salaam, Tanzania Some Tanzania men on anti-retroviral (ARV) drugs have experienced abnormal breast enlargement similar to that of women. There are even cases where...
  12. Rugas

    Sheria ya Ewura,ina mapungufu au inapindishwa?

    Wakuu Habari! Mi kwa siku kadhaa najiuliza juu ya sheria hii ya Ewura! iliyotumika kuifungia Bp kuuza mafuta kwa miezi mitatu baada ya kukaidi compliance order! Baada ya Ewura kutoa zuio,vituo vya Bp havikuuza mafuta km siku 4 hivi,baadae nikashangaa kusikia tena kuwa kilichozuiwa ni kuuza...
  13. Rugas

    Wivu mwingine bwana!!!!!!

    Hebu ona huyu mama alivyoliwa na houseboy kizembe!!!! The husband and his wife were not on good terms. In fact, the wife was convinced that he was carrying on with the pretty housemaid, so she laid a trap. One evening she suddenly sent the maid home for the weekend, but didn't inform the...
  14. Rugas

    Wasimamishwa kazi kwa tuhuma za kushabikia siasa

    Send to a friend Wednesday, 01 June 2011 21:09 0diggsdigg Tumaini Msowoya, Iringa HALMASHAURI ya Wilaya ya Makete, imeamua kuwasimamisha kazi watumishi wake watano kwa tuhuma za kujihusisha na masuala ya siasa kinyume cha kanuni za...
  15. Rugas

    Nyomi kwenye mkutano wa Nape Huko Swanga.

    Kweli siasa ni kazi.....Yaani toka dar mpaka Sumbawanga,alafu watoto tu ndo wanakuja kukusikiliza...Hebu cheki hii,iko kwenye top page ya mwananchi la leo 02.06.2011
  16. Rugas

    Noti mpya(tshs) kwenye atm

    Wakuu! Binafsi natumia atm za Umoja,na NBC,,,Mwenzi wangu anatumia CRDB na NMB....Katika ATM zote hizo hatujawahi kukutana na noti mpya! Nauliza hivi ni kweli noti mpya hazipatikani kwenye ATM mashines? Na tatizo ni nini? AU hizi note haziko compatible na atm zetu......kuna nini hapo!
  17. Rugas

    Hii ni kama utani wa kweli vile!

    Most 'First Class' students get technical seats, some become Doctors and some Engineers. * The 'Second Class' pass, and then pass MBA, become Administrators and control the 'First Class'. * The 'Third Class' pass, enter politics and become Ministers and control both. * Last...
  18. Rugas

    Nimeipenda!Good.

    RAY THE GREATEST
  19. Rugas

    CCM inavyotafuta kura....

  20. Rugas

    white party in london,wabongo wanauza sura...

Back
Top Bottom