Search results

  1. Baba_Enock

    Yu wapi Pastor Faustin Munishi?

    Huyu Mtumishi wa Mungu nilimkubali sana miaka ya mwanzo ya 90 (1990-1991). Yu Wapi Pastor Faustin Munishi???
  2. Baba_Enock

    AZAM TV Dealer/Installer - Tegeta/Bunju

    Naomba msaada wa mawasiliano kwa yoyote anayefahamu AZAM TV Dealer/Installer - Maeneo ya Tegeta/Bunju. Caller centre number ya AZAM TV ni AIBU!!!!!!!!
  3. Baba_Enock

    Bunju 'B', Dar: Viwanja vya Mradi vyageuka mapori

    Bunju "B" - Viwanja vya Mradi (Karibu na soko jipya) vimegeuka kuwa mapori na hii inatishia usalama wa wakazi wa eneo hilo. Kwa kuwa hii kero imekuwa ya muda, sasa kuna maadalizi ya kumualika Mh. Waziri ili atupe mwongozo ni nini hasa kifanyike dhidi ya wenye umiliki wa hivi viwanja. Kama una...
  4. Baba_Enock

    Airtel mmezima mitambo ya mawasiliano?

    Mwenye taarifa atujulishe ni tatizo gani wamelipata Airtel siku ya Leo?
  5. Baba_Enock

    Bagamoyo kulikoni leo?

    Misafara ya magari ya watawala kuelekea Bagamoyo ni mingi mno leo
  6. Baba_Enock

    Mgomo wa Madereva tena?

    Kwa hali ninavyoiona kwa asubuhi ya leo nahisi kama madereva wamegoma kwa mara nyingine.....
  7. Baba_Enock

    Speech of President Obama addressing The Africa Union in Addis Ababa

    Remarks by President Obama to the People of Africa Mandela Hall African Union Headquarters Addis Ababa, Ethiopia 2:07 P.M. EAT THE PRESIDENT: Thank you. (Applause.) Thank you so much. Madam Chairwoman, thank you so much for your...
  8. Baba_Enock

    Fundi Tally Printers anahitajika haraka

    Wakuu Nahitaji fundi wa kutengeneza printers aina ya Tally - hasa hasa T2280+ na T2265+ Waweza ku-PM au tuma text/piga simu nambari +255766140044 Natanguliza Shukrani
  9. Baba_Enock

    Man cuts off penis in restaurant...!

    Duniani kuna mambo... Habari kamili hii hapa BBC NEWS | UK | England | London | Man cuts off penis in restaurant
  10. Baba_Enock

    Airtel - WTF!!!!

    Hii WTF nadhani siyo sahihi sana...!!!
  11. Baba_Enock

    Uhaba wa kukosekana kwa Maji Dar - Tatizo ni nini?

    Takribani siku tatu, hapa DAR kumekuwepo upungufu au ukoseakanaji kabisa wa Maji (ya Bomba). Tatizo ni nini hasa???
  12. Baba_Enock

    Kwaya ya Barabara ya 13 Ulyankulu

    Hizi ndizo nyimbo/muziki bora wa Injili nilipata kusikiliza ************************************ 1. Katika Viumbe Vyote 2. Mmoja wa Wanasheria 3. Mtu Ajaribiwapo 4. Mtu Mkubwa Mmoja 5. Neno Alikuwa kwa Mungu 6. Nyumba Juu ya Mwamba 7. Samsoni Mnadhiri 8. Twasoma Mwezi wa Sita 9. Ufunuo wake...
  13. Baba_Enock

    Umeme wa "Solar" : Ushauri

    Wakuu Ni kampuni gani hapa Tanzania inayotoa huduma sahihi za "Umeme Jua"? Na gharama zake ziko je? Kwa mfano, umeme wa kutosheleza kuwasha vifaa vyote vya nyumbani: e.g. Friji, Pasi, TV/Radio, Taa, e.t.c Natanguliza shukrani BE
  14. Baba_Enock

    "Touch-Screen" V/S "Touch-Skin"...!

    Tangia alfajiri mpaka muda wa kwenda kulala mtu yupo "busy" ana-"touch-screen"...! Hii hali naamini kabisa inapunguza uwezo wa mtu wa ku-"touch-skin"...!
  15. Baba_Enock

    Tanzania National website!

    Sijui ni tatizo la kiutendaji au kiutawala Ingia kwenye website hii hapa Tanzania National website Scroll-down na utakutana hii
  16. Baba_Enock

    Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2013/14 ...!

    Wana-JF Hii imechukuliwa kutoka "National Website Of the United Republic Of Tanzania" Source: National Website of the United Republic of Tanzania
  17. Baba_Enock

    StarTimes - "Geuza Antenna yako iangalie Kisarawe..."!!!

    Baada ya familia kukosa "tamthilia" kwa karibia wiki mbili, jana nilienda kununua "decoder" ya StarTimes na "Antenna" na "Cable". Nilivunga kadri ya maelekezo lakini sikupata "signal"! Baadaye nikaamua kutumia "antenna na cable" ya zamani ya "analogia" ni kafanya "Search" nikapata "channels"...
  18. Baba_Enock

    Nusu kilo ya Sukari utaigawa vipi mara TATU....!

    Sikonge.... "Nusu kilo ya Sukari utaigawa vipi mara TATU" Huu wimbo uliimbwa na Band Gani? Una ujumbe mzito kwa wana MMU...!
  19. Baba_Enock

    Wapandaji Maua na Uharibifu wa Mitaro ya Barabara...!

    Hawa wapandaji wa maua kando kando ya barabara wanahusika kwa kiasi kikubwa kufanya uharibifu wa mitaro ya maji. Ili kupata maji ya kumwagilia maua, wanachukua "viroba" vilivyojaa mchanga na kuviweke kwenye mitaro ili "kukinga" maji. Matokeo yake ni kuwa maji yanapoongezeka yanapanda juu ya...
  20. Baba_Enock

    Mwanayumba - Chege - Kwa wale wote waliopotelewa na "Wapenzi"

    Huu wimbo sijui huwa unanikumbusha nini? Chege -- Mwanayumba (Official HD Video) - YouTube Jumapili Njema
Back
Top Bottom