Search results

  1. gubegubekubwa

    Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino

    Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili. ==== Serikali...
  2. gubegubekubwa

    Barabara kuu Dar-Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino

    Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili.
  3. gubegubekubwa

    Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

    Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni: 1. Saratani (Cancer) 2. Vidonda vya tumbo 3. Kisukari Ongezeeni mengine hapo
  4. gubegubekubwa

    Mbona kama utabiri huu unataka kutimia!

    Nimekumbuka video hii ya nabii mmoja huko Afrika kusini aliyasema haya mwaka jana, cheki hii iko you tube. hii issue ya kuuzwa bandari inaweza kuwa kosa la kwanza
  5. gubegubekubwa

    Rais Samia akiipanua tu hii barabara, nitaanza rasmi kumpigia debe

    Wakuu barabara ya kutoka Kibaha maili moja hadi Morogoro ni kelo Sana, maroli ni mengi sana hii barabara imezidiwa Sana. Unaweza ukatoka mkoani huko vzr tu unakuja kupoteza muda kipande hicho. Mimi mheshimiwa Rais Samia akiipanua tu hii barabara kuwa njia sita kuanzia alipoishia Magufuli...
  6. gubegubekubwa

    Hawa ndio waandishi wa habari Nguli wa enzi hizo

    David Wakati, Sarah Dumba, Eda Sanga, Jacob Tesha, Ananilea Nkya, Sango Kipozi, Omar Jongo, Ahmed Jongo, Barnabas Mluge, Idrissa Sadallah, Benjamin Kikomongo "Ben Kiko", Bartholomeo Kombwa "Bart Kombwa", Danstan Tido Mhando, Masoud Masoud, Yusuph Omar Chunda, Bujaga Izengo Kadago, Abisai Steven...
  7. gubegubekubwa

    Mwenye huu wimbo naomba jamani naupenda sana

    Mwenye huu wimbo naomba anitumie naupenda Sana, hapa nimefanya kuunga vipande tu ili niupate wimbo kamili. Vipande vyenyewe nilirecodi kwenyeTBC siku ya muungano mwaka 2014 na 2015 walipiga vipande tu ndio nikavirekodi. Mwenye nao full nisaidie.
  8. gubegubekubwa

    Tanzia: Balozi Jaka Mwambi amefariki dunia leo

    Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa mtu aliekaribu na familia hii ni kwamba, balozi mstaafu Captain Jaka Mwambi amefariki dunia leo
  9. gubegubekubwa

    Ticket za ATCL

    wakuu nimelipia ticket ya ndege ya ATCL kwa Tigo pessa tangu mchana, lakoni hadi muda huu sijarejeshewa taarifa yoyote hadi muda huu kama wamepokea malipo na ticket iko tayari. Wakuu nisaidieni wazoefu huwa munafanyaje?
  10. gubegubekubwa

    Katika awamu hii Mawaziri wengi wanachapa kazi ila Mhe William Lukuvi ni mto wa kuotea mbali

    Kwakweli waziri Lukuvi ni waziri anaeongoza kuchapa kazi, wapo pia akina Jafo, Kigwangala, Prof. Mbarawa na wengine, ila Lukuvi kwa awamu hii anaongoza. Nimeshindwa kuelewa may be awamu iliyopita alikuwa anapangwa sehemu asiyo fit. Kwa jinsi alivyoshughurikia migogoro ya ardhi na kutenga muda...
  11. gubegubekubwa

    Katika awamu hii ya tano ndio nimejua kuwa kuna watu wakubwa sana ila sio watanzania

    Nichukue fursa hii kwanza kumshukuru JPM kwa hatua zake za kudhibiti wizi wa rasilimali za taifa, maana kwa kufanya hivyo nimegundua kuwa kuna watu ni wanasiasa/viongozi wakubwa sana ila sio watanzania. Nasema hivyo kwasababu. 1. Tanzania kwenye madini ilikuwa shamba la bibi, JPM alivyo dhibiti...
  12. gubegubekubwa

    Msaada Passo yangu haina nguvu kabisa tatizo ni nini?

    Wakuu passo yangu ni four wheel drive tangu last month imekuwa na nguvu ndogo, yaani unakanyaga mafuta bado inakuwa inatembea polepole sana. Mlimani ndio kabisaa inataka hata kusimama. Kama kuna mafundi humu au wazoefu nisaidieni jamani tatizo litakuwa ni nini?
  13. gubegubekubwa

    Kwenye korosho kulikuwa na wapiga dili

    Kwenye korosho kulikuwa na wapiga hela zile za service levy ndio hao wana makampuni ya kununua korosho wakawa wanazitumia hizo hizo kununulia korosho kwa wakulima. Kwanini haya makampuni yashindwe kununua korosho mwaka huu kama mwaka jana wakati kazi ya hiyo hela ya service levy ilikuwa...
  14. gubegubekubwa

    Presentation ya Dr Rioba Sweden uko very poor

    Yaani Huyu jamaa kapresent shallow sana kama sio msomi vile, kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
  15. gubegubekubwa

    Ukakuzi wa magari madogo kwa Dar mbona kimya

    Wakuu mwishoni mwa mwezi wa Pili Mhe. Naibu Waziri wa mambo ya ndani alitangaza kuwa kuanzia tar 1 mwezi huu utaanza ukaguzi wa magari wadogo, lakini cha kushangaza hakuna ukaguzi wowote unaoendelea na wala hamna maelekezo yoyote kuhusu maeneo au vituo ambavyo vimeteuliwa kwaajili ya ukaguzi...
  16. gubegubekubwa

    Gerage gani nzuri maeneo ya MBEZI,kimara au UBUNGO

    Wakuu nilikuwa natengeneza passo yangu maeneo ya TABATA huko, sasa naona hawa mafundi hawana utaalam wa kutosha kila Mara wanasema nunua hiki nikinunua tatizo liko palele nahisi ni mafundi uchwara. Naomba anaye jua garage nzuri yenye mafundi mazoefu, wazuri na waaminifu ili niwe napeleka GARI...
  17. gubegubekubwa

    Mrejesho: Ushauri: Samsung Tv yangu imepasuka kioo, wapi nitapata mafundi wazuri?

    Wakuu, Juzi nilileta Uzi hapa kuomba msaada baada ya mtoto kupasua kioo cha Tv, nashukuru nilipata mafundi wazuri sana Kariakoo nimewekewa kioo kipya kwa Tsh.350,000/=, saizi mambo safi kabisa, Fundi mwenyewe anapatikana kwa namba hii 0655282973.
  18. gubegubekubwa

    Mrejesho: Ushauri:Samsung TV yangu imepasuka kioo, wapi nitapata mafundi wazuri?

    Wakuu juzi nilileta Uzi hapa kuomba msaada baada ya mtoto kupasua kioo cha TV, nashukuru nilipata mafundi wazuri sana k/KOO nimewekewa kioo kipya KWA Tsh.350,000/=, saizi mambo safi kama inavyoonekana kwenye picha
  19. gubegubekubwa

    Ushauri: Samsung TV yangu imepasuka kioo, wapi nitapata mafundi wazuri?

    Hello wana JF! Leo nimetoka zangu kazini kufika home nikakuta mtoto amepasua kioo cha TV flat screen nchi 42 ni Samsung na inaonyesha mistari tu yaani haionyeshi kitu. Naombeni msaada wakuu wapi nitawapata Samsung service center yao ili wanitengenezee au wapi nitapata nafundi wa kuweza...
Back
Top Bottom