Search results

  1. Crocodiletooth

    Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

    NAJIULIZA KWELI SUALA HILO, PIA HAPA MAFIA TUNAKWAMA WAPI?
  2. Crocodiletooth

    MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

    All student or colleger sat under one measurement test! No matter what or what, final examination are ONE ONLY, labda baadhi ya vyuo vinashindwa kukidhi teaching equips, na mengineyo madogo madogo lakini muhimu EX-RIT-SPECIALIST! Megalodon!
  3. Crocodiletooth

    Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    Ningependa siku moja TL, atuthibitishie juu ya uuzwaji wa mbuga ambao amekuwa akiuimba kwa vielelezo madhubuti (sales documentations) ili serekali ijitokeze na reality! Nini kimefanyika! Amekuwa akiichafua mno, serekali kwa kusikiliza radio mbao!
  4. Crocodiletooth

    Tuboreshe kisiwa cha Mafia kama mbadala wa Zanzibar

    Allah aepushilie mbali hilo ni gumu sana.
  5. Crocodiletooth

    Tuboreshe kisiwa cha Mafia kama mbadala wa Zanzibar

    Haiwezi kuwa kama zanzibar, lakini tuelekee huko kwenye kuboresha, wakiona hayo watakaa kimyaaa!, utashangaa!
  6. Crocodiletooth

    Tuboreshe kisiwa cha Mafia kama mbadala wa Zanzibar

    Slow but sure, itafikia huko! WHY MAFIA ISLAND HAS BEEN DUMPED? ITAFUTWE NAMNA, KIPANGWE, KWA RAMANI SAFI, HISTORICAL SITE, ZIBORESHWE, CLEAN AIRPORT, CLEAN ROADS, CLEAN APARTMENT, CLEAN HOTELS & BEACHES!
  7. Crocodiletooth

    Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    KATIKA MFUMO WA CHADEMA, SIASA ZA AJABU AJABU ZA TUNDU LISSU, SIO SIASA ZENYE AKILI ZINAZOPENDWA NA MFUMO WA CHADEMA, MFUMO WA CHA CHADEMA UMEJENGWA NA VERY IRONICAL STRONG SYSTEM ZISIZO ZA KUROPOKA HOVYO HOVYO, IKUMBUKWE CHADEMA IMEJENGWA NA WATU WENYE AKILI TIMAMU HIGH I. Q, HIVYO TUNDU LISSU...
  8. Crocodiletooth

    Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    Wametoka na chama hicho mbali sana haiwezekani lazima wagawane fito na milunda 😀😀😀
  9. Crocodiletooth

    Ushirikiano mpya kati ya Zanzibar na Arusha kukuza utalii. Rais wa Zanzibar asema Zanzibar itawekeza Arusha.

    Safi Sana, tusiende mbali sana ni region cooperation. Mwanza na mtwara, Mbeya na tanga ruksa tu. NAOMBA NEXT COOPERATION IWE KATI YA KILIMANJARO NA MOROGORO!
  10. Crocodiletooth

    Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    Off course yes, lakini kwa chama ambacho ndicho kingekuja kusahihisha haya yote hakikupaswa kuwa na dosari za ulafi uliopindukia maana, sasa wanatuonyesha u-mbadala wa namna na aina gani kama chama ambacho ndicho labda kinajitanabai kuwa mbadala?
  11. Crocodiletooth

    Mwita Waitara acharuka Bungeni asema Kama kuna Masharti ya Ushoga hatutaki Misaada yao mura!

    Wazungu wqnatambua hilo ya kwamba Tanzania haipatani na uovu huo, hata walipojaribu kumtumia kibaraka wao juu ya haki za kifaragha lilishindikana mazima.
  12. Crocodiletooth

    Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    Jinsi yanga haipendi simba itpotee mazima, ndivyo tulivyo ccm, tunapo waambieni mambo ni juu yenu kuyafanyia kazi, kumbuka "NYANI HAONI KUNDULE MKUU"
  13. Crocodiletooth

    Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    Hali ndani ya chadema ni shwari?, kuwa tu muwazi maana uwazi ndiyo ujenzi wa chama chochote kile!
  14. Crocodiletooth

    Samia atikisa dunia akiwa Paris, akusanya zaidi ya dola bilioni mbili kwa ajili ya nishati salama

    Nishati safi kwa mwanamke wa Africa au Tanzania pekee?
  15. Crocodiletooth

    Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    Covid 19,ni wanachadema na tuwatariji katika Bunge lijalo! (time shall tell)
  16. Crocodiletooth

    Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    Kwa jinsi nilivyotonywa na paparazzi maalumu ambaye yu ndani ya chadema na ni mwanachama wao kinda kinda ki, wapo wanaopewa kipaumbele cha kifedha ili kujenga mahekalu yao na familia zao, kibaya zaidi wapo waliowekwa pembeni na hawaruhusiwi kuhoji lolote, suala hili linaleta shida na tabu kubwa...
  17. Crocodiletooth

    Godbless Lema aja na Robot aitwaye Chloe ambaye Majukumu yake ni Kukaribisha Wageni kama yule Eunice wa Bungeni

    Labda watafiti wa Tanzania waje na teknolojia ya robot linaloweza kushika ujauzito 😀!
Back
Top Bottom