Search results

  1. I

    Wadau nataka nikamate kitu Corola X, ushauri

    Wadau, kama nilivyosema hapo juu. Mimi ni kabwela tu hapa mjini "Common Man". Kipato kinategemeana na kupanda na kushuka kwa thamani ya dola. Sasa nimewaza, kutungua kitu show room siwezi. Kumvua mtu bei za Ist, Alex Runx kama zipo juu (Mind you hii ni kutokqna na uwezo wangu, usilete dhihaka...
  2. I

    Msaada juu ya Escudo

    Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Napenda kujua,maana mara nyingi escudo zenye shape hii,ona picha huwa ni v 6 cc 1990.Je kuna zenye Cc 1590. Na je kama watalaam wa magari mnanishauri kununua hiyo,maana ni gari ya zamani sana.Ninahofu upatilkanajinwa spare
  3. I

    Natafuta mke kiportable

    Jamani,kila mtu na vipaumbele vyake. Natafuta mke kiportabkr lakininawe na tako.Elimy kuanzia form 4 angalau. Awe na mtoto au laa,mm sina shida.Dm me
  4. I

    Mamlaka ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii SSRA bado ipo?

    Wadau,kulikuwa na Mamlaka ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii SSRA. Je bado ipo, mbona sisikii tena?
  5. I

    Je naweza weka engine ya CC1290 gari iliyokuwa na CC990

    Wadau habarini. Nina kamkweche kangu Kavitz. Kana Engine ya 1st fe Cc990. Je, naweza kuweka engine ya Cc 1290. Je ni vitu gani nitahitaji kubadilisha.
  6. I

    Hivi hakuna app za Magari zaidi ya Kupatana na Jiji

    Wadau habari.Hivi nauliza hakuna app za kuuza na kununua magari zaidi ya kupatana na Jiji. Na je hakuna channel au magroup ya wauza magari.Si unajua tena najitagutia ka mkweche.
  7. I

    Ninatafuta Corola X

    Wadau ninatafuta corola X. Namba siyo kigezo ila iwe katika hali nzuri. Bajeti yangu Mil 4 Tafadhali unaweza nipm au ukaja hapa.
  8. I

    Msaada nataka kununua Suzuki Swift

    Wadau habari,manzanita mwenzenu kulingana na haki ya uchumi nataka kununua kagari kanakolingana na hali yangu mm kablwela. Baada ya uchunguzi wa hapa na pale nikangukia kwenye Suzuki Swift old Model. Je uimara wake wa Engine,ukaji wake wa mafuta na mengineyo upoje.Je mnanishaurije. Carina bei...
  9. I

    Naulizia chuo cha umeme wa magari

    Wadau habari, naulizia chuo wanachofundisha umeme wa magari
  10. I

    Natafuta engine ya Pikipiki ya Honda, ACE 125

    Wadau, 1. Ni wapi wanauza engine za pikipiki za Honda maarufu kama Honda Manji. 2. Kama kuna mtu anauza iliyotumika bila kujalisha hali anijulishe. Wasalam.
  11. I

    Ushauri juu ya Suzuki Escudo Nomade V.6

    Wadau,habari.Naombeni ushauri juu ya gari hili 1.Upatikanaji wa Vipuri 2.Ulaji wa Mafuta
  12. I

    Naombeni ushauri jinsi ya kujihadhari nisiuziwe gari la wizi

    Habari wana jf.Nimekuwa nikipita pita kupatana.Unakutana na gari linaonekana lipo order sana,ila bei yake ni ndogo sana.Kuna muda huwa napata mashaka huenda gari hizo zimeibiwa. Naombeni ushauri je naweza kujihadhari vipi,endapo gari kweli ni zima ila labda lina simtofahamu ili nisije kuingia...
  13. I

    Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Corsa na Nissan Tilda

    Habari wadau, Poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Naombeni kikuzwa kuhusu magari haya. Hasa uimara, upatikanaji wa vipuri, utumiaji wa mafuta n.k 1. Toyota Corsa 2. Nissan Tiida. Nitashukuru sana
  14. I

    Kuna baadhi ya Miji mafuta hayapatikani. Serikali kwanini ipo kimya?

    Wadau, hii kero ya mafuta haivumiliki sasa. Baadhi ya Miji kwa mfano Ifakara, Mafuta ya petroli hayapatikani. Kwenye vituo mafuta yapo ila hawauzi. Matokeo yale kuna misusulu mirefu ya pikipiki, bajaji na magari. Wauzaji wamejifungia ndani ya vituo. Yakifika magari ya watu wazito mfano askari...
  15. I

    Tathimini yangu binafsi juu ya Bongo Flava Honours

    Hii nibtathmini yangu binafsi juu ya bongo flavour honours.Kwanza inaonekana waimbaji wa zamani bila kujalisha yupo au hayupo kwenye game bado wana mashabiki wengi ambao wangependa kuwa wanawaona wakiperform live.Kimbe ile imani iliyopo kwamba hawana audience ni feki kabisa. Tathmini yangu juu...
  16. I

    Naomba kuuliza kuhusu chevrolet inayofanana na swift

    Habari،naomba mwenye uzoefu anipe elimu juu ya hii gari naiona imeandikwa Chevrolet imefanana na Swift. 1.Ni gari gan Chevrolet gani 2.Upatikanaji wake wa vipuri 3.Matumizi yake ya maguta 4.Strength na weakness zake.
  17. I

    Hali ya upatikanaji petroli imeanza kuwa tete

    Wadau, kuna shida gani, nipo sheli hapa Ifakara town. Sheli zinatoa mafuta ni mbili tu. Foleni imeanza kumount taratibu. Shida ni nini, hebu tujuzeni.
  18. I

    Car4Sale Toyota vitz on sale

    Vitz inauzwa,ipo Ifakara.Ina issue ya engine,engine iliyopo inasumbua sumbua inahitaji matengenezo au mswaki(Msema kweli kipenzi cha Mungu.Biashara za kuambiana uongo zimepitwa na wakati) Bei maelewano. Kwa aliye interested anicheck inbox.
  19. I

    Tatizo la vikombe kugonga kwenye Cylinder Head

    Wadau habari, ili na mimi nisinyeshewe na mvua nina ka mkweche kangu ka vitz old model. Ni spana mkononi ila kananisave. Sasa block ilikuwa imepasuka, nilipopata nyingine fundi akakata cylinder head ili apachike block. Hakuwa makini vikombe akavirudisha kienyeji, gari inagonga sana. Nini...
  20. I

    JE KUNA UHUSIANO WQ ABS CONTROL MODULE NA SPEEMETER FAILURE

    Wadau habari zenu,najua humu kuna watu wabobevu sana wa masuala ya magari.Nina gari yangu Toyota Vitz Old Model.Ghafla tu speed meter na km haziomi kwenye dash board,km zipo zile zile na speed ni zero.Dash board ni ya digital.Nimeenda kwa mafundi umeme wa magari wawili tofauti.Kila mmoja naona...
Back
Top Bottom